Nkuruzinza at your best!Mjadala sio saizi yako kaendelee kusoma after four thirty ya Ngugi wa Thiong'o ndio unachoweza!

Hii nchi kwa hakika inaharibiwa na Wanasiasa. Kuna wakati unafika mpaka nafikiria pengine ni bora zaidi kurudi chini ya koloni la Mwingereza na hapa TZ kuwe na Waziri Mkuu tu. Futilia mbali vyama vyote vya Siasa. Labda tutasonga mbele na kuyaona maendeleo ya kweli.Hakika umenena, angeanza na mchuchuma au Liganga ungesikia wamefanya sivyo..
Zitto aliwahi kutoa ushauri sukari ya nje isiingie ndani (vibali vifutwe) serikali mpya ilipoingia madarakani ikafuta vibali vyote sukari ikawa adimu, ghafla wakaanza oooh wamekosea sukari imeadimika na Bei imepanda sana
Mkubwa mwenzangu Zitto
Hilo ni jicho la kisiasa, kiuhalisia haliwezekani hata robo. Sayansi ya viwanda haiku kama unavyofikiri na haitakuwa hivyo. Kwanza niseme kitu kimoja ambacho kinaziumiza nchi zinazoendele kuwa ni wanasiasa, waweza waita watawala ili upinzani uonekane hauhusiki, lakini wote ni wale wale na wana lao moja. Mikataba mnayoingia ndo huwa inaharibu kila kitu hata kabla ya uzalishaji wenyewe. Mbaya Zaidi huwa mnafanya makusudi kwa kujua asilimia 100. Mfano mzuri ni nyumba za bei nafuu mlizojenga, sijui unafuu mliangalia watu wa kipato kipi. Hivyo waweza kuta chuma kutoka china kikawa na bei nafuu kuliko chuma cha mchuchuma na liganga, sababu ikiwa ni virushwa wakati wa kuingia mikataba.
Nije kwenye mada:
moja:
Chuma na makaa ya mawe tayari ni viwanda viwili. Mwekezaji haweza wekeza kwenye makaa ya mawe kwa ajili ya kulisha kiwanda kimoja cha chuma pekee, atapata hasara.
Kiwanda cha chuma hakiwezi kujengwa kwa kuangalia soko la reli pekee, ambalo huwa halizidi hata miaka kumi linakuwa limetosheka. Hapo yawezekana ndo anaanza kurudisha faida. Hii na hapo juu ni kwa sababu bei za za makaa ya mawe na chuma huhitaji uzalishaji mkubwa ili kutengeneza faida, ndiyo maana viwanda vingi bongo hutumia vyuma chakavu.
mbili:
Kiwanda cha chuma mchuchuma na liganga hakitakuwa na uwezo wa kuzalisha chuma cha pua (pure iron). Kupata chuma cha pua ni kiwanda kingine tena ambacho kitahitaji uhakika wa soko, (si reli pekee kama hapo juu)
Kiwanda cha chuma cha pua hakitaweza tengeneza mataruma ya reli, nacho kitahitaji soko tena Zaidi ya reli kuweza simika kinu cha kusafisha chuma kuwa PURE IRON.
Huyu wa pure iron hataweza tengeneza mataruma yareli, hivyo hicho ni kiwanda kingine ambacho kinahitaji uhakika wa soko kiweze kusimikwa.
tatu:
Kuna chemikali ambata na spea (reagents and spares) ambazo hatuna kiwanda cha kuzizalisha humu nchini, mwekezaji atahitaji uhakika wa kuzipata kwa bei nafuu na kwa wakati (SUPPLY CHAIN isiyo na longolongo wala rushwa!!)
nne:
Hivyo vyote wakati wa mwanzo vitahitaji wataalamu wa kuja kuwafundisha wazawa ambao huwa ni fly in/fly out katika muda mfupi mfupi
tano:
Ukiangalia mlolongo hapo juu, lazima kimoja kianze kistawi kiweze vutia cha pili yake, hivyo si swala la miaka mitano mtu aje azalishe pure iron baada ya mchuchuma kuanza.
Wa pure iron akianza, wa mataruma naye atachukua muda kupata uhakika wa soko kuanza kuzalisha tena.
Kwa mlolongo huo waweza ona kama una nia ya kujenga reli kwa chuma chako utachukua si chini ya miaka 15 mpaka huo uwezo upatikane.
Kuna mambo mengi, wanasiasa wanasema yaliyofichika, lakini yapo wazi hivyo ni bora kununua chuma na kujenga reli kuliko kusubiri viwanda ambavyo huna uhakika vitakamilika lini, hili la kusubiri laweza kuwa chanzo cha kuwabembeleza wawekezaji kwa kuwa kuna uhitaji, hivyo wakatupiga kama buzwagi na wengineo
MIMI NINGEFANYA KAMA MAGUFULI NA SERIKALI YAKE !!
Kama una concemp na umeitafakari over and over.... and find out based on your experience that it is the best option, then hayo siyo maneno matupu....Ni rahisi sana kusema lakini sio kutenda.
Turudishe mpira kwako Mbunge wa Kigoma mjini: Huko kwako umefanyaje nje ya sera ya serikali kuu?
NingefanyaTofauti
Na Zitto Kabwe
KWA miaka mingi nimekuwa mtu ninayeamini katika kujipa muda wa upweke na kutazama dunia iliyonizunguka na kujiuliza maswali ama kunihusu mimi binafsi au kuhusu nchi yangu na Afrika. Waingereza wangesema self reflection lakini ninapenda kutumia neno la lugha ya Kiswahili; kutafakari. Ninaamini kwamba ni muhimu kwa kiongozi kupata muda huu muhimu.
Siku chache zilizopita, nilijipa muda huo wa utulivu kwa ajili ya tafakari. Swali kuu nililokuwa nikijiuliza ni hili; kwamba kama ningekuwa nimepewa mamlaka ya kuongoza Tanzania nini ningefanya tofauti na wanaoongoza sasa?
Katika tafakari hii nilikumbuka safari niliyofanya wilayani Ludewa mwaka 2011 kukagua na kutoa nguvu kwa uwekezaji wa kimkakati wa uchimbaji wa madini ya chuma na makaa ya mawe na kuweka msingi wa viwanda mama nchini kwetu. Unaweza soma chapisho la blogu ya safari hiyo hapa An Eye Opener Week-long Visit to South Tanzania 1500MW Electricity Complex. Nadhani ningeanza na mradi huu kabla ya kitu kingine chochote. Nina sababu za kufikia hitimisho hilo.
Mchuchuma na Liganga ni nini?
Madini ya chuma na makaa ya mawe ndio msingi wa maendeleo ya viwanda duniani kote. Nchi yetu ina madini haya yote kwenye eneo moja, wilayani Ludewa mkoa wa Njombe. Hakika Mungu alitupenda, maana aliumba dunia na akaisanifu Ludewa na kuiweka Tanzania ili iwe chanzo cha viwanda mama.
Katika eneo la Mchuchuma kuna mashapo yenye tani bilioni 1.2 makaa ya mawe yenye uwezo wa kuzalisha Umeme 600MW kwa miaka 150. Makaa hayo pia hutumika kuyeyusha chuma na kuzalisha chuma cha pua. Vilevile eneo la Liganga lina mashapo ya madini ya chuma tani bilioni mbili ambayo ndani yake kuna madini yenye thamani kubwa ya Titanium na Vanadium.
Ujenzi wa kilometa moja ya reli unahitaji chuma cha pua (steel) chenye ubora wa hali ya juu kiasi cha tani 40 mpaka 60. Tanzania tunajenga kilomita 1200 za reli kwa sasa hivi na baadaye zitaongezeka kwa vipande vya Tabora - Kigoma, Kaliua - Mpanda - Karema, Uvinza - Musongati na miradi mingine kama Mtwara - Mbamba Bay, Ruvu - Tanga, Tanga - Musoma - Kigali nk. Kwahiyo basi, Tanzania itahitaji sio chini ya tani 500,000 za chuma cha pua (steel) katika kipindi cha miaka michache ijayo.
Afrika nzima inajenga reli za kisasa na zote zinahitaji chuma kwa ajili ya kujenga njia za reli. Kenya na Ethiopia wamemaliza hatua za kwanza za reli zao ambapo Kenya imeshajenga kilometa 485 kutoka Mombasa mpaka Nairobi na Ethiopia kilometa 760 kutoka Addis Ababa mpaka Djibouti. Miradi yote hii mataruma ya reli yameagizwa kutoka nje na kuletwa Afrika na hivyo kuzalisha ajira huko kwenye nchi hizo (ambazo mataruma hayo yamezalishwa ).
Fedha za miradi hii zitakwenda nje ya nchi, Waafrika hawatafaidika kabisa. Tanzania nayo inakwenda njia hiyo hiyo licha ya kwamba ina madini ya chuma na makaa ya mawe ya kuzalisha chuma cha pua ambacho huzalisha mataruma ya reli na bidhaa nyingine kadha wa kadha za ujenzi wa reli. Tanzania ingeamua, ingeweza kulisha miradi yote ya reli chuma kutoka Ludewa katika nchi za Kongo, Zambia, Angola, Uganda na Rwanda ambao wote wana miradi ya ujenzi wa reli na wamepanga kuagiza chuma kutoka China na kwingineko.
Bei ya tani moja ya chuma kwenye soko la dunia ni dola za Marekani 600 mpaka 1000. Kwa hiyo Tanzania ikizalisha chuma tani milioni moja tu kwa mwaka, inaweza kupata mapato ya fedha za kigeni kati ya dola milioni 600 mpaka dola bilioni moja kwa mwaka. Kwa mashapo yaliyopo Tanzania, tunaweza kuzalisha kiwango hicho cha chuma kwa miaka zaidi ya 2000 na chuma cha Ludewa kisiishe.
Kwa hakika mahitaji ya chuma yatakuwa ni makubwa na tunaweza kuzalisha na kuuza nje mpaka tani milioni tano kwa mwaka. Hivi sasa nchi ya Australia ndio inaongoza duniani kwa kuuza chuma kingi zaidi. Mwaka 2017 waliuza tani milioni 49 za chuma na kupata dola za marekani bilioni 49.
Jambo kubwa sana ambalo Tanzania imebahatika ni kwamba mashapo ya chuma yana madini mengine yenye thamani kubwa zaidi. Kwa mfano Vanadium ya Ludewa inauzwa tani moja dola 50,000 katika soko la dunia. Katika kila tani milioni moja ya chuma kutoka Ludewa, kuna tani 80,000 ya Vanadium. Tukiuza madini haya tunapata fedha za kigeni dola za kimarekani bilioni nne kwa mwaka.
[HASHTAG]#NingefanyaTofauti[/HASHTAG]
Unapokuwa na mamlaka ya uongozi wa nchi unakumbana na changamoto nyingi sana na moja ya changamoto ni kuamua uanze na nini katika vipaumbele vya nchi ili kupiga hatua za kimaendeleo. Kiongozi mwenye maarifa huanza na mambo ambayo yatamwezesha kupata rasilimali fedha ili atekeleze majukumu mengine. Ni dhahiri hapa Tanzania tuna changamoto ya miundombinu ya usafirishaji, reli, barabara na hata usafiri wa anga.
Viongozi wetu wa sasa wameamua kuanza na hayo kwa kutumia fedha za kodi au mikopo ghali yenye riba kubwa kutoka mabenki ya biashara ya nje. Wameanza na ujenzi wa reli wa dola bilioni saba, ununuzi wa ndege wa zaidi ya dola bilioni moja ( Dreamliner ‘Terrible Teen’) imenunuliwa kwa dola milioni 224 na hata ujenzi wa bwawa la kuzalisha umeme la Rufiji maarufu kwa jina la Stiglers Gorge litakalogharimu dola bilioni 3.5.
Yote haya yanahitaji kukamua kodi wananchi na kuchukua mikopo inayokuza Deni la Taifa. Yote haya yanasababisha mzunguko wa fedha nchini kuwa mdogo kwa sababu fedha zinatoka nje ya nchi kulipia wakandarasi na kununua malighafi kama chuma.
Ningekuwa na mamlaka ningeyafanya haya yote, lakini kabla ya kufanya hayo, ningeanza kwanza kwa kufanya jambo moja kubwa ambalo lingenipa fedha za kufanya hayo. Ningefanya tofauti.
Ningeanza na mradi wa Mchuchuma na Liganga kwa kuhakikisha kuwa uwekezaji unaanza mara moja na uzalishaji wa chuma na makaa ya mawe unafanyika bila kuchelewa. Ningehakikisha kuwa ndani ya miaka 2 tunaanza uzalishaji wa chuma, Vanadium na Titanium.
Mauzo ya Vanadium peke yake ni sawa na dola bilioni nne kwa mwaka ambapo kwa kuwa haya ni bidhaa ambatana na chuma maana yake 80% ya mapato haya yangekuwa ya nchi. Kwa hiyo mwaka wa kwanza tu wa uzalishaji ningeweza kupata dola bilioni 3.2. Kwa fedha hizo, tungejenga reli kuanzia Dar mpaka Dodoma kwa mara moja bila kuungaunga na kubakia na chenji ya dola bilioni moja ambazo ningeweza kujenga hospitali tano kubwa kama Mloganzila katika kanda tano za nchi; Mbeya, Mtwara, Mwanza, Kigoma na Arusha.
Ningeweza kujenga vyuo vya VETA kila Mamlaka ya Serikali za Mitaa nchini ( Wilaya, Miji, Manispaa na Majiji ) kwani unahitaji shilingi bilioni 750 tu kujenga vyuo hivyo vilivyokamili na vifaa vya kutosha vijana kupata mafunzo.
Ningeweza kujenga vyuo vikuu vipya vitatu aina ya UDOM kwani UDOM moja ina thamani ya shs bilioni 800 tu. Haya ni mapato ya mwaka wa kwanza tu. Kumbuka kuwa tunaweza kuendelea kuchimba chuma tani milioni moja kwa mwaka kwa miaka 2000!
Tungeamua kuzalisha tani milioni tano kwa mwaka maana yake mapato ya Vanadium peke yake kwa mwaka yangekuwa dola bilioni 16 ambazo ni sawa na kumaliza reli yote mpaka Kigoma na Mwanza na kuiwezesha Air Tanzania kuwa na ndege kubwa na ndogo sawa na Shirika la Ndege la Ethiopia na hata kuzalisha umeme zaidi ya 10,000MW ndani ya miaka mitano kwa kutumia makaa ya mawe, geo thermo, gesi asilia, upepo na jua – yote hayo bila kuathiri hifadhi ya Selous.
Iron and steel metallurgical Complex
Liganga Iron Ore project
Located in Ludewa District, about 850 km Southwest of Dar es Salaam. It is the biggest iron ore resources identified in the country with the proven reserve of 126 million tones. The iron ore deposited in Liganga is known as Vanado- Titanium Magnetite. Iron ore is a resource for steel manufacturing industries and other ferrous based industries. The project is being developed by Tanzania China International Mineral Resources Ltd (TCIMRL) as an integrated project with Mchuchuma. TCIMRL, which is a joint venture company between NDC and Sichuan Hongda Group of China, will invest USD 1.8 billion at Liganga for establishment of 2.9 mt/y iron ore mine and Iron and steel Complex to produce 1.0 mt/y of iron and steel products, vanadium pentoxide and titanium dioxide following successfully bankable feasibility study. The Liganga project is expected to start operation by 2018/19.
Sponge Iron Product
The sponge iron plant will be established in Ludewa district utilizing iron ore from Maganga Matitu (part of Liganga) and coal from Katewaka to produce sponge iron. Maganga Matitu Resource Development Limited (MMRDL) is implementing the project and the shareholders are NDC and MM Steel Resources Public Limited Company (MMSR PLC). Project due diligence and bankable document are being finalized. The project intends to establish a 400,000 tpa of Sponge Iron Plant that will be used to produce 300,000 tons of iron and steel products per year. Production is expected to start in 2018/19.
Kwa kuzalisha tani milioni tano kwa mwaka tungezalisha chuma, Vanadium na Titanium kwa miaka 400 mpaka kumaliza mashapo yote tuliyonayo. Kwanini hatuwekezi Mchuchuma na Liganga?
Kungoza nchi kunahitaji MAARIFA. Hakika [HASHTAG]#NingefanyaTofauti[/HASHTAG]
Makaa yenyewe unaweza kutumia kuzalisha umeme huku makaa hayo hayo yanaenda kuyeyusha Chuma, kabla hujauliza maswali jishughulishe kujua hata matumizi ya makaa ya maweJe wapi unapata umeme we kuzalisha chuma liganga na mchuchuma?
Tuanzie hapo
Mbona unajikomba komba?Don't be naive, Zitto katoa njia mbadala iwapo yeye angekuwa rais angafanyaje. Hakuna popote alipolazimisha kujifanya anajua kila kitu. Ww tetea au onyesha wazo lako badala ya kumuona anajifanya mjuaji. Tatizo la Zitto hapa ni huu mchezo wake wa kuja na wazo kisha kulibwaga hapa bila kurudi na kutoa ufafanuzi wa baadhi ya post hata chache.
CC: Zitto
Mianya ya rushwa imezibwa so utaisikiaje?
Nchi nyingi za afrika ikiwemo Tanzania, tunaweza kubadilisha vyote isipokuwa taasisi ya Urais, pale anaingia mtu mmoja anazungukwa na watu wale wale wa miaka nenda rudi, kuna kudhani kwamba wao ni supermen wanajua kila kitu..which is wrong, very wrong!! bahati mbaya hata wapinzani nao hawaoni kama hili ni tatizo linalowaathiri hata wao. Tunapochagua Rais anapaswa azungukwe na watu wapya takribani wote hasa hapo ikulu ili nchi ipige hatua haraka, mambo ya kurecycle ideas hayatatufikisha popote..NingefanyaTofauti
Na Zitto Kabwe
KWA miaka mingi nimekuwa mtu ninayeamini katika kujipa muda wa upweke na kutazama dunia iliyonizunguka na kujiuliza maswali ama kunihusu mimi binafsi au kuhusu nchi yangu na Afrika. Waingereza wangesema self reflection lakini ninapenda kutumia neno la lugha ya Kiswahili; kutafakari. Ninaamini kwamba ni muhimu kwa kiongozi kupata muda huu muhimu.
Siku chache zilizopita, nilijipa muda huo wa utulivu kwa ajili ya tafakari. Swali kuu nililokuwa nikijiuliza ni hili; kwamba kama ningekuwa nimepewa mamlaka ya kuongoza Tanzania nini ningefanya tofauti na wanaoongoza sasa?
Katika tafakari hii nilikumbuka safari niliyofanya wilayani Ludewa mwaka 2011 kukagua na kutoa nguvu kwa uwekezaji wa kimkakati wa uchimbaji wa madini ya chuma na makaa ya mawe na kuweka msingi wa viwanda mama nchini kwetu. Unaweza soma chapisho la blogu ya safari hiyo hapa An Eye Opener Week-long Visit to South Tanzania 1500MW Electricity Complex. Nadhani ningeanza na mradi huu kabla ya kitu kingine chochote. Nina sababu za kufikia hitimisho hilo.
Mchuchuma na Liganga ni nini?
Madini ya chuma na makaa ya mawe ndio msingi wa maendeleo ya viwanda duniani kote. Nchi yetu ina madini haya yote kwenye eneo moja, wilayani Ludewa mkoa wa Njombe. Hakika Mungu alitupenda, maana aliumba dunia na akaisanifu Ludewa na kuiweka Tanzania ili iwe chanzo cha viwanda mama.
Katika eneo la Mchuchuma kuna mashapo yenye tani bilioni 1.2 makaa ya mawe yenye uwezo wa kuzalisha Umeme 600MW kwa miaka 150. Makaa hayo pia hutumika kuyeyusha chuma na kuzalisha chuma cha pua. Vilevile eneo la Liganga lina mashapo ya madini ya chuma tani bilioni mbili ambayo ndani yake kuna madini yenye thamani kubwa ya Titanium na Vanadium.
Ujenzi wa kilometa moja ya reli unahitaji chuma cha pua (steel) chenye ubora wa hali ya juu kiasi cha tani 40 mpaka 60. Tanzania tunajenga kilomita 1200 za reli kwa sasa hivi na baadaye zitaongezeka kwa vipande vya Tabora - Kigoma, Kaliua - Mpanda - Karema, Uvinza - Musongati na miradi mingine kama Mtwara - Mbamba Bay, Ruvu - Tanga, Tanga - Musoma - Kigali nk. Kwahiyo basi, Tanzania itahitaji sio chini ya tani 500,000 za chuma cha pua (steel) katika kipindi cha miaka michache ijayo.
Afrika nzima inajenga reli za kisasa na zote zinahitaji chuma kwa ajili ya kujenga njia za reli. Kenya na Ethiopia wamemaliza hatua za kwanza za reli zao ambapo Kenya imeshajenga kilometa 485 kutoka Mombasa mpaka Nairobi na Ethiopia kilometa 760 kutoka Addis Ababa mpaka Djibouti. Miradi yote hii mataruma ya reli yameagizwa kutoka nje na kuletwa Afrika na hivyo kuzalisha ajira huko kwenye nchi hizo (ambazo mataruma hayo yamezalishwa ).
Fedha za miradi hii zitakwenda nje ya nchi, Waafrika hawatafaidika kabisa. Tanzania nayo inakwenda njia hiyo hiyo licha ya kwamba ina madini ya chuma na makaa ya mawe ya kuzalisha chuma cha pua ambacho huzalisha mataruma ya reli na bidhaa nyingine kadha wa kadha za ujenzi wa reli. Tanzania ingeamua, ingeweza kulisha miradi yote ya reli chuma kutoka Ludewa katika nchi za Kongo, Zambia, Angola, Uganda na Rwanda ambao wote wana miradi ya ujenzi wa reli na wamepanga kuagiza chuma kutoka China na kwingineko.
Bei ya tani moja ya chuma kwenye soko la dunia ni dola za Marekani 600 mpaka 1000. Kwa hiyo Tanzania ikizalisha chuma tani milioni moja tu kwa mwaka, inaweza kupata mapato ya fedha za kigeni kati ya dola milioni 600 mpaka dola bilioni moja kwa mwaka. Kwa mashapo yaliyopo Tanzania, tunaweza kuzalisha kiwango hicho cha chuma kwa miaka zaidi ya 2000 na chuma cha Ludewa kisiishe.
Kwa hakika mahitaji ya chuma yatakuwa ni makubwa na tunaweza kuzalisha na kuuza nje mpaka tani milioni tano kwa mwaka. Hivi sasa nchi ya Australia ndio inaongoza duniani kwa kuuza chuma kingi zaidi. Mwaka 2017 waliuza tani milioni 49 za chuma na kupata dola za marekani bilioni 49.
Jambo kubwa sana ambalo Tanzania imebahatika ni kwamba mashapo ya chuma yana madini mengine yenye thamani kubwa zaidi. Kwa mfano Vanadium ya Ludewa inauzwa tani moja dola 50,000 katika soko la dunia. Katika kila tani milioni moja ya chuma kutoka Ludewa, kuna tani 80,000 ya Vanadium. Tukiuza madini haya tunapata fedha za kigeni dola za kimarekani bilioni nne kwa mwaka.
[HASHTAG]#NingefanyaTofauti[/HASHTAG]
Unapokuwa na mamlaka ya uongozi wa nchi unakumbana na changamoto nyingi sana na moja ya changamoto ni kuamua uanze na nini katika vipaumbele vya nchi ili kupiga hatua za kimaendeleo. Kiongozi mwenye maarifa huanza na mambo ambayo yatamwezesha kupata rasilimali fedha ili atekeleze majukumu mengine. Ni dhahiri hapa Tanzania tuna changamoto ya miundombinu ya usafirishaji, reli, barabara na hata usafiri wa anga.
Viongozi wetu wa sasa wameamua kuanza na hayo kwa kutumia fedha za kodi au mikopo ghali yenye riba kubwa kutoka mabenki ya biashara ya nje. Wameanza na ujenzi wa reli wa dola bilioni saba, ununuzi wa ndege wa zaidi ya dola bilioni moja ( Dreamliner ‘Terrible Teen’) imenunuliwa kwa dola milioni 224 na hata ujenzi wa bwawa la kuzalisha umeme la Rufiji maarufu kwa jina la Stiglers Gorge litakalogharimu dola bilioni 3.5.
Yote haya yanahitaji kukamua kodi wananchi na kuchukua mikopo inayokuza Deni la Taifa. Yote haya yanasababisha mzunguko wa fedha nchini kuwa mdogo kwa sababu fedha zinatoka nje ya nchi kulipia wakandarasi na kununua malighafi kama chuma.
Ningekuwa na mamlaka ningeyafanya haya yote, lakini kabla ya kufanya hayo, ningeanza kwanza kwa kufanya jambo moja kubwa ambalo lingenipa fedha za kufanya hayo. Ningefanya tofauti.
Ningeanza na mradi wa Mchuchuma na Liganga kwa kuhakikisha kuwa uwekezaji unaanza mara moja na uzalishaji wa chuma na makaa ya mawe unafanyika bila kuchelewa. Ningehakikisha kuwa ndani ya miaka 2 tunaanza uzalishaji wa chuma, Vanadium na Titanium.
Mauzo ya Vanadium peke yake ni sawa na dola bilioni nne kwa mwaka ambapo kwa kuwa haya ni bidhaa ambatana na chuma maana yake 80% ya mapato haya yangekuwa ya nchi. Kwa hiyo mwaka wa kwanza tu wa uzalishaji ningeweza kupata dola bilioni 3.2. Kwa fedha hizo, tungejenga reli kuanzia Dar mpaka Dodoma kwa mara moja bila kuungaunga na kubakia na chenji ya dola bilioni moja ambazo ningeweza kujenga hospitali tano kubwa kama Mloganzila katika kanda tano za nchi; Mbeya, Mtwara, Mwanza, Kigoma na Arusha.
Ningeweza kujenga vyuo vya VETA kila Mamlaka ya Serikali za Mitaa nchini ( Wilaya, Miji, Manispaa na Majiji ) kwani unahitaji shilingi bilioni 750 tu kujenga vyuo hivyo vilivyokamili na vifaa vya kutosha vijana kupata mafunzo.
Ningeweza kujenga vyuo vikuu vipya vitatu aina ya UDOM kwani UDOM moja ina thamani ya shs bilioni 800 tu. Haya ni mapato ya mwaka wa kwanza tu. Kumbuka kuwa tunaweza kuendelea kuchimba chuma tani milioni moja kwa mwaka kwa miaka 2000!
Tungeamua kuzalisha tani milioni tano kwa mwaka maana yake mapato ya Vanadium peke yake kwa mwaka yangekuwa dola bilioni 16 ambazo ni sawa na kumaliza reli yote mpaka Kigoma na Mwanza na kuiwezesha Air Tanzania kuwa na ndege kubwa na ndogo sawa na Shirika la Ndege la Ethiopia na hata kuzalisha umeme zaidi ya 10,000MW ndani ya miaka mitano kwa kutumia makaa ya mawe, geo thermo, gesi asilia, upepo na jua – yote hayo bila kuathiri hifadhi ya Selous.
Kwa kuzalisha tani milioni tano kwa mwaka tungezalisha chuma, Vanadium na Titanium kwa miaka 400 mpaka kumaliza mashapo yote tuliyonayo. Kwanini hatuwekezi Mchuchuma na Liganga?
Kungoza nchi kunahitaji MAARIFA. Hakika [HASHTAG]#NingefanyaTofauti[/HASHTAG]
Mbona unajikomba komba?
Siongei na mbwa, naongea na mfuga mbwa. Zitto mwenyewe ndio anapaswa kujibu. Acha kiherehere.Ningekuwa nategemea ajira au kusaka ajira ningejipendekeza. Mimi nimejiajiri na nimeridhika na hili pato langu dogo. Mnaojipendekeza ni nyie mlionunua magari na kuishi maisha ya juu, bila kujipendekeza kwa wanaume wenzenu hamtoboi.

Siongei na mbwa, naongea na mfuga mbwa. Zitto mwenyewe ndio anapaswa kujibu. Acha kiherehere.
Mda aliotumia kuandaa hili kwanini asitumie kuandaa desa ni jinsi gani kama mbunge atawasaidie ili wanufaike na zao la chikichi?

Ha ha ha, imekuchoma eeenh?Nenda nyumbani kwa Zitto au ofisini kwake na sio hapa kwenye social media ambapo kila mtu anaingia kwa MB zake. Na huko nyumbani kwake hatotumia hilo shimo lako la makinikia hapo uani maana ana mke.