Zitto Kabwe: Kama ningepata mamlaka ningefanya tofauti

Zitto Kabwe: Kama ningepata mamlaka ningefanya tofauti

Ni rahisi sana kusema lakini sio kutenda.

Turudishe mpira kwako Mbunge wa Kigoma mjini: Huko kwako umefanyaje nje ya sera ya serikali kuu?
"Messi kashindwa kufunga penalty ambayo ilikuwa ni wazi tu, ingekuwa mimi ningefunga bila tatizo lolote!
 
Mada nzuri ispokuwa imekosa tathmini ya uwekezaji unaotakiwa ili uanze kupata hizo revenue. Je unahitaji kiasi gani kama mtaji wa kuanza miradi hiyo. Kipi bora mkopo au kutumia fedha za ndani?@ZZK
 
Inauma sana tunapoona tunapotea njia na hatuwezi kufanya chochote..

Leo hii wazabuni wa serikali wako hoi, wastaafu mafao hawapewi, wafanyabiashara wanabambikiziwa kodi yote hii tunajenga chumi za wengine
Maajabu ya taifa hili bado kuna wengine wanashindwa kabisa kuona hayo!!! Na moja ya machungu yangu makubwa ni mparaganyiko wa sekta binafsi na hili tuliongea mapema sana kwamba mheshimiwa anaenda kuivuruga sekta binafsi hususani SMEs!!

Sio siri tena kwamba, hapo kwenye SMEs, mdogo anakufa... size ya kati anarudi kuwa mdogo!!
 
Mada nzuri ispokuwa imekosa tathmini ya uwekezaji unaotakiwa ili uanze kupata hizo revenue. Je unahitaji kiasi gani kama mtaji wa kuanza miradi hiyo. Kipi bora mkopo au kutumia fedha za ndani?@ZZK
Zitto ana tabia za mastaa wetu... kwamba, ana-post mada, kisha huyooo, anasepa!! Hana muda kabisa wa ku-engage na members... BIG MISTAKE!

Kwa sie, tuliowahi kufanya vibarua vya hapa na pale vinavyohusiana na social networking kwenye cyber world, hapa Zitto anafanya kosa kubwa sana kwa sababu, wakati kwa upande mmoja ameamua, na mazingira ya kiasiasa Tanzania yanalazimisha kuwekeza nguvu kwenye cyber community, kwa upande mwingine Zitto na wenzake wanashindwa ku-capitalize mwitikio wa hii community kwa kushindwa ku-engage nao!

Back in the days, CRM (Customer Relationship Management) software zilibase kwenye biashara lakini kutokana na community shift, kutoka kwenye real/traditional world to cyber world, hivi sasa zipo hadi political CRM software zikiwa na lengo lile lile!!!

Hizi political software hivi sasa zipo kwa sababu political analysts wameshaona potential iliyopo kwenye cyber world!!!

Kwa maelezo hayo hapo juu, I doubt ikiwa Zitto atakuja kukujibu hilo swali kwa sababu hana tabia ya ku-engage na wachangiaji hata anapotoa mada zake mwenyewe; na wakati mwingine mada zinazohusu ACT moja kwa moja!!!

Na kwavile nina mashaka ikiwa atakuja kukujibu (sio kwamba hana jibu) hapa chini, binafsi I wish NINGEJARIBU kujibu mimi ningefanya nini kwa hayo mawazo ya Zitto ambayo nakubaliana nayo!!!
 
Zitto ....Anasepa!! Hana muda kabisa wa ku-engage na members... BIG MISTAKE!
I doubt ikiwa Zitto atakuja kukujibu hilo swali kwa sababu hana tabia ya ku-engage na wachangiaji!!
Nakubaliana nawe na pia nina utetezi kwa Zitto

Ni kweli mada kama hizi zinahitaji engagement ili kuleta maana iliyokusudiwa
Kuna mchangiaji kauliza 'pesa za kuanzia' zitoke katika mikopo au fedha za ndani.
Zitto angekuwa na nafasi nzuri ya kufafanua

Kwa upande mwingine, huenda hajibu hoja kwasababu kinachozungumziwa sicho alichoeleza

Mfano, mada yake inaeleza makaa ya mawe, chuma na uwekezaji katika uchumi hasa nishati
Kinyume watu wanamuuliza kafanya nini jimboni, ni kigeugeu au haaminiki.
Atakuja kujibu nini?

Pamoja na ukweli huo, kuweka mada na kuondoka si kutendea haki wasomaji na wachangiaji

Hivyo Zitto afikirie kujibu hoja za maana akipuuuza hoja nyanya.
 
Mh Zitto ametoa maoni yake mazuri kabisa,Ila kama siasa tulizungumza Sana awamu zilizopita hasa umeme na atcl..Nachoshukuru tumepata Kiongozi angalau anafanya action.Na kupanga ni kuchagua ameamua mradi wa Stiglers ameamua kufufua atcl.Tuache siasa mingi tutende tu
 
Watanzania Bwana tunaanza na kupinga hoja badala ya kutafakari hoja kwa sababu aliyesema si wa upande wetu wa kisiasa.
Njoo basi nawe na hoja wewe ungefanya nini ungekua Raisi.
Ili hoja iwe nzr sema basi nawe maono yako kwa ajili ya Taifa
Ningekuwa prezida, ningewatia mimba mawaziri wote weupe, makuwadi wote waliowafuatilia matajiri wa kihindi na Masada poa wote ningewapa u DC. Makofi kwangu tafadhali.
 
Back
Top Bottom