ofisi ya msajili

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. A

    JamiiForums Tanzania KERO Ofisi ya msajili maabara (HLPC) kuchelewesha matokeo ya mtihani wa leseni

    Habari! Naomba kuwasilisha kero hii. Mimi pamoja na wataalamu wenzangu wa maabara tulifanya mtihani wa leseni tangu mwezi wa tatu (March) mwaka huu lakini hadi hivi sasa matokea hayajatoka hali inayopelekea kutokupata leseni kwa wakati na tunashindwa kufanya maombi ya kazi kwa kuambiwa kuwa...
  2. R

    JamiiForums Tanzania Golugwa: Tunaisihi Ofisi ya Msajili waandike barua kiutawala, CCM wakiandikiwa barua huzisikii huzioni zikitoka, kuwe na uweledi

    Naibu Katibu Mkuu wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA), Amani Golugwa amesema chama hicho kinaisihi Ofisi ya Msajili wa Vyama Vya Siasa nchini kufuata taratibu za kiutawala katika Mawasiliano yake kwani wamedai kuwa mara kadhaa taarifa za kimawasiliano baina ya chama hicho na msajili...
  3. K

    JamiiForums Tanzania Ofisi ya Msajili hata Mende hawaipendi! Imepitwa na wakati

    Yaani kuna ofisi watu wanalipwa na serikali kazi yao ni kuandikia barua Chadema! Wakati nchi ipo kwenye uangalizi mkubwa
  4. M

    JamiiForums Tanzania Zitto Kabwe: Zama za Ofisi ya Msajili wa Vyama kuwa mchezaji namba 12 wa CCM FC zimekwisha

    Zama za Ofisi ya Msajili wa Vyama kuwa mchezaji namba 12 wa CCM FC zimekwisha. Dola isome alama za nyakati. The writing is on the walls! Msajili STOP THIS NONSENSE ya kutaka kufuta CHADEMA. Utafutwa wewe, No doubt about this! Tume ya Chande iliyoundwa na Rais imetoa Taarifa inayosema wananchi...
Back
Top Bottom