Uchaguzi 2020 Zitto Kabwe avamiwa kwenye Uchaguzi mdogo Muhambwe

Amevamiwa?
Hawa apiga kura wake aliokuwa akijitambia walikuwa wapi?
E1cf-X4XoAIdQco.jpeg
 
Ila CCM kwa ukongwe wake ni wa kutembea na mapanga kweli? Hebu wabadilike kwani kumpa kila aliye kwenye gari revolver kuna ugumu gani?

Ujue ukiwa na revolver unaweza mwambia mtu wewe usalama wa taifa na akatii sasa ukiwa na panga utasema wewe ni mganga unaenda kuchimba dawa au?
Wewe itakuwa la sita C . Ina maana huwajui CCM? Mawazo aliuwawa umbali kiasi gani kutoka kituo Cha polisi?CCM wote Ni majambazi
 
Wenye akili nyingi walimwonya huyu Fala kuwa "hawa CCM wamelaaniwa Kwenye wizi wa Kura" lkn alikaza shingo.
Chadema sio wajinga mpaka wakatae kushiriki uchaguzi haramu
CCM walimdanganya kuwa akishiriki uchaguzi ataachiwa hizo nafasi ili aweze kuunda kambi rasmi ya upinzani bungeni
 
Inasadikiwa kuwa na kura zilizokwishapigwa! Kwahiyo unataka na sisi tusadiki?! Upinzani wa Nchi hii una siasa za kijinga sana!

Pamoja na kwamba Zito ni kigeugeu, lakini hiki anachosema ni kweli kufanyiwa. Ccm haina uwezo tena wa kushindana kwa njia ya kura, Machafuko pekee ndio suluhisho la huu uhuni wa ccm. Sasa hivi wananchi wengi wameshaamka ndio maana hawajitokezi tena kupiga kura, na hyo uchaguzi wa leo ulikuwa na wapiga kura wachache sana. Kwa sasa kilichopo ni kuanza kuzomea viongozi wanaoingia madarakani kwa uporaji wa kura, kutowapa ushirikiano. Kisha kufanyike uhamasishaji wa machafuko ili kulitoa hili dude liitwalo ccm.
 
Kiongozi wa chama cha ACT Wazalendo Zitto Kabwe,akiwa na mgombea ubunge wa Jimbo la Muhambwe Julius Masabo wamevamiwa na watu waliokuwa kwenye magari matatu yanayosadikiwa kuwa ya CCM yakiwa na namba za Usajili T281BFG, T195JV na T148DFA...
Zitto alishasema waisiojulikana wakimuibukia wanakutana na ziwa
 
Back
Top Bottom