Kadhi Mkuu 1
JF-Expert Member
- Feb 4, 2015
- 17,057
- 18,406
Kwa akili hizo haya ukiliwa tigo sawa tuNajuta kuzaliwa Tanzania. Bora ningezaliwa panya Ulaya
Kwa akili hizo haya ukiliwa tigo sawa tuNajuta kuzaliwa Tanzania. Bora ningezaliwa panya Ulaya
Jiongeze basi na wewe..Mbunge wa Kigoma mjini, Zitto Kabwe ambaye alikuwa akiilaumu serikali kuhusu mbaazi kushuka bei, amepewa somo na wa CCM kuhusu suala hilo
Mbunge huyo amesema kushuka kwa mbaazi haifai kulaumiwa serikali kwa kuwa India wenyewe ndio waliamua nchi yao isiingize mbaazi kutoka nchi nyingine kwa kuwa wakulima wa mbaazi wa nchi hiyo wanakosa soko, na ndipo ikapiga marufuku mbaazi kutoka nchi za nje na Malawi na Tanzania kuathirika
HIZI NI VITA ZA KIUCHUMI, WW UNAPIGA POROJO ZILE ZILE ZA SIASA ZA KIJINGA ZA CCM. DIPLOMASIA. YA UCHUMI SERIKALI HII HAMNA NI ZIRO. Na bado mazao mengine yatafuatia ndio utapiga siasa maji taka za kitz vzr...Kumbe bungeni kuna vichwa zaidi ya waropokaji kina zitto wasiofanya research..mama kumbe alikuwepo hadi bungeni india siku ya mjadala wa mbaazi..
Kina zito wanataka mbaazi ziuzwe tu nje kisha badae wanarudi wanasema serikali itangaze kuna njaa..kweli hawa wanasiasa uchwara kulikuwa na umuhimu sana wa kuwadhibiti kama magufuli alivyofanya..maana wanawapa sumu sana watanzania
ACHA AKILI FUPI, HII NI VITA YA KIUCHUMI, WENYE AKILI WANALIONA HILO, Unaifahamu population ya INDIA au unabwabwaja tu.Umeshaambiwa wame over produce..sasa diplomacy business inaingiaje?? Yaani wanunue tu hivyo hivyo hata zikiwaozea wanunue tu..
Mambo yao ya usambazaji wa ndani yanatuhusu nini?.... mama anatoa fact wewe unatoa porojo ili ujielezee ulifika India... Haya uliwahi kupanda ndege hongeraHakuna cha ku-overproduce, unaijua India na population yake wewe? Juzi juzi nimetoka mji mmoja unaitwa Gandhinagar katika jimbo la Gujarat watu wanatafuta mbaazi siyo kawaida yaani kwenye masoko yao hazimo! Na kama utazikuta basi ni za kugombania! Tuache propaganda za kijinga!!
kama unaijua hiyo hotuba tueleze acha mbwembweAcha ujinga.
Tafuta hotuba ya ACT wazalendo kuhusu kushuka kwa bei ya mbaazi na uisome.
Yaani huyu mama alipokwambia yeye alikwenda India na bungeni, wewe umeshamuamini.
TAFUTA HABARI, SOMA HABARI NA IELEWE HABARI.
Nilisoma hii habari ya India kupiga marufuku lakini si kujua kama itatuhathiri na sisi.Hili ndio lingekuwa jibu sahihi tungeshaelezwa tangu siku nyingi sana maana ilikuwa rahisi sana kwa serikali kueleza hili.
Hapa tunadanganywa tu.Ni mwendo wa kuhamisha magoli!
We nawe juha kweli, umekwenda India umeona wahindi wanagombea mbaazi wakati hapa kwenu zimejaa zinaoza. Msomi wa kwenye mitandao, si uchangamkie dili. Kutwa kucha kulaumu serikali kumbe na wewe hazimo. Hauna tofauti na wasukuma wa enzi hizo wakitumia almasi kama kete za kwenye bao.Hakuna cha ku-overproduce, unaijua India na population yake wewe? Juzi juzi nimetoka mji mmoja unaitwa Gandhinagar katika jimbo la Gujarat watu wanatafuta mbaazi siyo kawaida yaani kwenye masoko yao hazimo! Na kama utazikuta basi ni za kugombania! Tuache propaganda za kijinga!!
kama unaijua hiyo hotuba tueleze acha mbwembwe
Akili yako imejaa matope pumba mkubwa wewe,, unafikri soko la India ni la kupeleka bidhaa hovyo hovyo? Ingekuwa hivyo serekale yako si ingekuwa imeshapeleka!!We nawe **** kweli, umekwenda India umeona wahindi wanagombea mbaazi wakati hapa kwenu zimejaa zinaoza. Msomi wa kwenye mitandao, si uchangamkie dili. Kutwa kucha kulaumu serikali kumbe na wewe hazimo. Hauna tofauti na wasukuma wa enzi hizo wakitumia almasi kama kete za kwenye bao.