Zitto Kabwe apewa somo maridhawa Bungeni kuhusu kuilaumu Serikali mbaazi kushuka bei

Zitto kama mchumi 'guru kwenye uchumi', pamoja na wataalamu wengine wa uchumi na masoko ndiyo hasa wanatakiwa kufanya hili (kutafuta masoko mbadala).
Ndo tanzania yetu hii kumpiga vijembe nzito wanaona sawa ila kuleta njia mbadala soko lipatikane holaa
 
Mbaazi ni nini
Mama Sabrina hujui mbaazi ,mama umezaliwa oysterbay na ukakulia huko ,ukaolewa huko na utazeekea huko? Nenda mikoani kutalii utaziona sokoni ,nadhani hata kariakoo zipo. Nimeamini watanzania tuna dunia mbili za wakazi wanaojua chips na mayai na walaji Wa viazi vitamu . just a light touch madamme don't mind.
 
Back
Top Bottom