Zitto Kabwe ananikwaza sana, simuelewi anafanya siasa zake kwa maslahi ya nani?

Oktoba 29, 2017
Naitwa Luhimbila Makalyusi Mtule, Nipo masomoni Finland.
Naomba niwe mkweli Zitto Kabwe ananikwaza sana, simuelewi anafanya siasa zake kwa maslahi ya nani?

Nilimuelewa awali kuwa kijana aliyejitolea kupigania maslahi ya nchi yetu lakini hapa katikati akaanza kunichanganya na sasa naanza kuamini waliyoyasema kwenye chama chake cha zamani CHADEMA kuwa ni mtu anayetumika kwa maslahi yake.

Mimi na Watanzania wengi tuliopo Ulaya, Marekani na hata China ambako mwezi Juni mwaka huu nilikwenda tunatembea kifua mbele kwa sababu kila unaposema unatoka Tanzania basi moja kwa moja mjadala unaegemea kumsifu Rais Magufuli kwa kazi kubwa, ya uzalendo na kukataa utumwa wa mataifa makubwa anayoifanya.

Sielewi kwa nini Zitto Kabwe kajipa kazi ya kumchafua Rais Magufuli na kuichafua TANZANIA, nikifuatilia akaunti yake ya twitter, facebook na mikutano anayofanya na waandishi wa habari naona sasa hivi kajipa kazi ya kuitangazia dunia kuwa Tanzania ina Rais wa hovyo, uchumi wa nchi umekufa, Serikali inaendeshwa kisanii na zaidi anatoa kauli za kumdhalilisha Rais ambayo ni nembo ya Taifa kwa sasa.

Rais ndiye Baba wa Tanzania kwa sasa, na hakujiweka kwenye nafasi hiyo aliwekwa na Watanzania wenye akili timamu kupitia sanduku la kura, kwa kweli inauma sana, sasa hata huku ughaibuni watu wanashindwa kuelewa.

Hili jambo halikubaliki, kama Zitto anajiona yeye ni bora asiichafue nchi, asimchafue Rais kwa kiasi hicho, Na kwa sababu wakati Zitto anawika kwa siasa zilizowashawishi vijana wengi mimi pia alinishawishi nilifanikiwa kujua mambo yake mengi.

Haikuwa nia yangu na wala sio tabia yangu, lakini kama atasoma ujumbe huu ama wapambe wake watausoma naomba wamwambie sitakuwa tayari kumuacha aendelee kumdhalilisha Rais, sitakubali aendelee kuichafua Tanzania, nitaanza kufichua na mambo yake ya hovyo anayowafanyia sanaa Watanzania.

Na kwa sababu anaona kudhalilisha wenzie kunoga sasa na yeye atakapoguswa avumilia asilie kama alivyofanya bunge. Waswahili wana msemo "usianzishe ugomvi wa mawe wakati unaishi kwenye nyumba ya vioo"

Tutafichua usanii uliofanya kwenye kifo cha Mama yako mzazi, tutafichue usanii wako na maslahi yako binafsi kwa hili la kujifanya wewe ndio ulikuwa rafiki mkubwa wa Deo Filikunjombe, tutafichua usanii wako na Wajerumani na ajenda mliyonayo, tutafichua usanii wake na Dkt. Ramadhan Dau aliyekuwa Mkurugenzi Mkuu wa NSSF,

Tutafichua mapesa yote uliyopiga ukiwa Mwenyekiti wa Kamati ya Bunge (PAC) na tutafichua mbinu unazozifanya ndani ya UKAWA ili ujiimarishe na chama chako cha ACT Wazalendo.

Kwanza namshukuru sana Rais kwa kuwaondoa Prof. Kitila Mkumbo na Mama Anna Mngwilla kwenye ACT Wazalendo, hawa watu wana heshima kubwa na haikuwa sawa hata kidogo kuendelea kuongozwa na Msanii Zitto Kabwe, nawapongeza Advocate Msando, Samson Mwigamba na wote waliofanya uamuzi wa kuondoka ACT Wazalendo.

Mmefanya jambo jema kujiepusha na aibu ya kuwa na mtu huyu. Huyu panapomfaa ni UKAWA akaungane na Wasanii wenzake akina Mbowe, Lema, Nassari, Kubenea, Mch Msigwa, Mdee, Bulaya na mgonjwa ambaye simtaji hapa ambao wamejipa kazi ya kufanya siasa za uchochezi, uanaharakati, fitina na uchonganishi badala ya kufanya siasa za upinzani zenye lengo la kuisimamia Serikali iwaletee wananchi maendeleo na kuondoa Dosari.

Hivi kwa anayoyafanya leo Rais Magufuli mtu mwenye akili na nia njema na nchi huwezi kuwa unafanya kampeni za kumdhohofisha, unataka kudhohofisha vita dhidi ya rushwa, unataka kudhohofisha mapambano ya kuwaondoa wanyonyaji wa uchumi, unadhohofisha mipango ya maendeleo.

Yaani Zitto na genge lake wangefurahi sana kuona wazungu wa makinikia wameshinda, wanaombea sana uchumi wa Tanzania uporomoke, wanaombea sana wadau wa maendeleo wajiondoe kuungana na Tanzania, wanatamani sana wawekezaji wasije kuwekeza Tanzania, wanatamani sana kuona miradi inakwamba, wanatamani sana wezi wa mali za umma waendelee kutamba mitaani.

Sasa naanza kumuelewa Magufuli kwa nini alipiga marufuku mikutano ya siasa na kuelekeza kila mmoja afanye mkutano kwake, maana leo nchi ingekuwa inashinda kwenye maandamano badala ya kazi, Lakini nataka kuuliza hawa wapuuzi wanafanya ujinga huu vijana wa CCM mpo wapi? Wabunge wa CCM mpo wapi? Vijana wazalendo wa Tanzania mnawaachaje hawa wanafanya upuuzi huu?

Hivi vyombo vya dola pamoja na Rais kusema chukueni hatua za kisheria kwa wanapotosha ukweli kwa nini mnamuacha Zitto Kabwe anatamba namna hii? Yeye nani?
Mbona Msemaji wa Serikali Dk. Abbas anafungia magazeti yanayochapisha uongo, nyie mna kigugumizi cha nini? Mtu anatoa takwimu za uongo mnaishia kufafanua tu? Nooo.
Afanye hivyo nchi kama China aone cha moto. Kwenye mapambano hakuna kuangaliana usoni jamani.
Ujumbe wangu ndio huo.

Salamu zangu kwenu ndugu zangu watanzania kutoka Finland
Dah,aisee hii inapatikana TZ,pekee mtu unaongea ukiwa pale benchi la lumumba halafu unatuadaha,uko masomoni ulaya??wadanganyika kweri kweri,,,
 
Ninatamani kuona vijana walioelimika Tanzania. Kwa kuwa uko unasoma, basi zingatia masomo yako na wengine walioko Ulaya, tena soma kwa makini bila kuegemea siasa za CCM na uongozi wake.

Kwa upande mwingine usikurupuke kuandika mambo usiyoyajua. Zitto Kabwe ni msomi na kazi yake kama mbunge wa upinzani ni kuifanya serikali iliyoko madarakani kufanya kazi kwa ufanisi.

Kama unapinga anayofanya Zitto, weka takwimu kinzani. Kama huna data na uanfikiria nchi yako iko sawa na mna uongozi wa sheria, itakubidi urudi darasani!!
 
Unawaaibisha wenzako huko ulipo. Unajipendekeza hadi unachekesha. Hoja zinajibiwa kwa hoja. Huko Finland unasomea kuoa vibibi vizee vya huko?
 
Oktoba 29, 2017
Naitwa Luhimbila Makalyusi Mtule, Nipo masomoni Finland.
Naomba niwe mkweli Zitto Kabwe ananikwaza sana, simuelewi anafanya siasa zake kwa maslahi ya nani?

Nilimuelewa awali kuwa kijana aliyejitolea kupigania maslahi ya nchi yetu lakini hapa katikati akaanza kunichanganya na sasa naanza kuamini waliyoyasema kwenye chama chake cha zamani CHADEMA kuwa ni mtu anayetumika kwa maslahi yake.

Mimi na Watanzania wengi tuliopo Ulaya, Marekani na hata China ambako mwezi Juni mwaka huu nilikwenda tunatembea kifua mbele kwa sababu kila unaposema unatoka Tanzania basi moja kwa moja mjadala unaegemea kumsifu Rais Magufuli kwa kazi kubwa, ya uzalendo na kukataa utumwa wa mataifa makubwa anayoifanya.

Sielewi kwa nini Zitto Kabwe kajipa kazi ya kumchafua Rais Magufuli na kuichafua TANZANIA, nikifuatilia akaunti yake ya twitter, facebook na mikutano anayofanya na waandishi wa habari naona sasa hivi kajipa kazi ya kuitangazia dunia kuwa Tanzania ina Rais wa hovyo, uchumi wa nchi umekufa, Serikali inaendeshwa kisanii na zaidi anatoa kauli za kumdhalilisha Rais ambayo ni nembo ya Taifa kwa sasa.

Rais ndiye Baba wa Tanzania kwa sasa, na hakujiweka kwenye nafasi hiyo aliwekwa na Watanzania wenye akili timamu kupitia sanduku la kura, kwa kweli inauma sana, sasa hata huku ughaibuni watu wanashindwa kuelewa.

Hili jambo halikubaliki, kama Zitto anajiona yeye ni bora asiichafue nchi, asimchafue Rais kwa kiasi hicho, Na kwa sababu wakati Zitto anawika kwa siasa zilizowashawishi vijana wengi mimi pia alinishawishi nilifanikiwa kujua mambo yake mengi.

Haikuwa nia yangu na wala sio tabia yangu, lakini kama atasoma ujumbe huu ama wapambe wake watausoma naomba wamwambie sitakuwa tayari kumuacha aendelee kumdhalilisha Rais, sitakubali aendelee kuichafua Tanzania, nitaanza kufichua na mambo yake ya hovyo anayowafanyia sanaa Watanzania.

Na kwa sababu anaona kudhalilisha wenzie kunoga sasa na yeye atakapoguswa avumilia asilie kama alivyofanya bunge. Waswahili wana msemo "usianzishe ugomvi wa mawe wakati unaishi kwenye nyumba ya vioo"

Tutafichua usanii uliofanya kwenye kifo cha Mama yako mzazi, tutafichue usanii wako na maslahi yako binafsi kwa hili la kujifanya wewe ndio ulikuwa rafiki mkubwa wa Deo Filikunjombe, tutafichua usanii wako na Wajerumani na ajenda mliyonayo, tutafichua usanii wake na Dkt. Ramadhan Dau aliyekuwa Mkurugenzi Mkuu wa NSSF,

Tutafichua mapesa yote uliyopiga ukiwa Mwenyekiti wa Kamati ya Bunge (PAC) na tutafichua mbinu unazozifanya ndani ya UKAWA ili ujiimarishe na chama chako cha ACT Wazalendo.

Kwanza namshukuru sana Rais kwa kuwaondoa Prof. Kitila Mkumbo na Mama Anna Mngwilla kwenye ACT Wazalendo, hawa watu wana heshima kubwa na haikuwa sawa hata kidogo kuendelea kuongozwa na Msanii Zitto Kabwe, nawapongeza Advocate Msando, Samson Mwigamba na wote waliofanya uamuzi wa kuondoka ACT Wazalendo.

Mmefanya jambo jema kujiepusha na aibu ya kuwa na mtu huyu. Huyu panapomfaa ni UKAWA akaungane na Wasanii wenzake akina Mbowe, Lema, Nassari, Kubenea, Mch Msigwa, Mdee, Bulaya na mgonjwa ambaye simtaji hapa ambao wamejipa kazi ya kufanya siasa za uchochezi, uanaharakati, fitina na uchonganishi badala ya kufanya siasa za upinzani zenye lengo la kuisimamia Serikali iwaletee wananchi maendeleo na kuondoa Dosari.

Hivi kwa anayoyafanya leo Rais Magufuli mtu mwenye akili na nia njema na nchi huwezi kuwa unafanya kampeni za kumdhohofisha, unataka kudhohofisha vita dhidi ya rushwa, unataka kudhohofisha mapambano ya kuwaondoa wanyonyaji wa uchumi, unadhohofisha mipango ya maendeleo.

Yaani Zitto na genge lake wangefurahi sana kuona wazungu wa makinikia wameshinda, wanaombea sana uchumi wa Tanzania uporomoke, wanaombea sana wadau wa maendeleo wajiondoe kuungana na Tanzania, wanatamani sana wawekezaji wasije kuwekeza Tanzania, wanatamani sana kuona miradi inakwamba, wanatamani sana wezi wa mali za umma waendelee kutamba mitaani.

Sasa naanza kumuelewa Magufuli kwa nini alipiga marufuku mikutano ya siasa na kuelekeza kila mmoja afanye mkutano kwake, maana leo nchi ingekuwa inashinda kwenye maandamano badala ya kazi, Lakini nataka kuuliza hawa wapuuzi wanafanya ujinga huu vijana wa CCM mpo wapi? Wabunge wa CCM mpo wapi? Vijana wazalendo wa Tanzania mnawaachaje hawa wanafanya upuuzi huu?

Hivi vyombo vya dola pamoja na Rais kusema chukueni hatua za kisheria kwa wanapotosha ukweli kwa nini mnamuacha Zitto Kabwe anatamba namna hii? Yeye nani?
Mbona Msemaji wa Serikali Dk. Abbas anafungia magazeti yanayochapisha uongo, nyie mna kigugumizi cha nini? Mtu anatoa takwimu za uongo mnaishia kufafanua tu? Nooo.
Afanye hivyo nchi kama China aone cha moto. Kwenye mapambano hakuna kuangaliana usoni jamani.
Ujumbe wangu ndio huo.

Salamu zangu kwenu ndugu zangu watanzania kutoka Finland

Anakukwaza vipi wakati bunduki na risasi mnazo za kumwaga tu huko?
 
Hakuna awezaye kumjibu zitto.kina Jerry utasikia ndoa yake ya pili kwa nn amefanya siri.sijui ni wapi zitto aliongelea mambo ya michepuko yao...
 
tz kunavichekesho sana. mtu anakuwa kuona madhaifu ya zitto lakini madhaifu ya mkuu wa kaya hayaoni kabisa
 
Jerry Muro yuko hapo Dar na bado hajapewa cheo, sasa wewe uliyoko huko Finland sijui utafikiwa lini.
 
Umeeleweka saana! 100% naungana na wewe asilimia zote
 
Mkuu jibu kwa takwimu zile hoja....umejibu porojo tupu!! Yeye alitoa takwimu...tafadhali kwa usomi wako hadi Ufini tujibu tukuelewe wewe na wenzako unaowakilisha nje huko...ila kwa porojo hizo hata hutakiwi kujibiwa!!! Utadhihirisha usomi wako ni wa kukariri makaratasi si wa kutukomboa jamii nzima ya watanzania...!!! Tunasubiri mkuu

Nawe umeamini kuwa ni msomi wa Finland?
Wasomi huwa hawajibugi hivo mkuu , ila kwa bora wasomi hiyo yawezekana.
 
Acha uongo wewe mleta uzi, utakuwa umejichimbia hapo Lumumba una kuja na pumba hizi, maneno mengi kama ya kwenye vigodoro, Zitto ameongea kwa namba, wewe unaleta bla bla tu, namba hupingwa kwa namba
 
Back
Top Bottom