Zitto Kabwe ananikwaza sana, simuelewi anafanya siasa zake kwa maslahi ya nani?

Mtoa maada ni ana fikra finyu mno, huko Finland usipokuwa makin utafel tu maana hata unavyopangilia maada yako, inaonesha ni jinsi gani usivyojua kuundaa vyema propaganda unazotumwa kuzifanya, hauwezi kutililika maneno ya hovyo kwa UKAWA kisha nakusifia ujinga na mambo ya hovyo yanayofanywa na Serikali hii hatahivyo, uko Nje ya Nchi hauwezi kujua magumu yanayowakuta wa TZ kwa ssa, keti huko utulie lkn pia wwe siyo kitu mbele ya Mh. Zitto na wote uliowataja, achana nao ni maji marefu kwako, ndiyo maana hata maboss wako wanashindwa namna ya kumkabirina Zitto kwa hoja, maana ukweli una nguvu kubwa kuliko uwongo! Umejiaibisha kutililika pumba za kufa Mtu zenye mlengo wa UKADA usiyo wakizalendo kwa chama chako kwani hauwezi kumshutumu Mtu Mh.Lissu kwa kumwita Mgonjwa kwa kipindi hiki ambacho Chama na Serikali yako unayoisifia inashutumiwa kujaribu kumuua
 
Oktoba 29, 2017
Naitwa Luhimbila Makalyusi Mtule, Nipo masomoni Finland.
Naomba niwe mkweli Zitto Kabwe ananikwaza sana, simuelewi anafanya siasa zake kwa maslahi ya nani?

Nilimuelewa awali kuwa kijana aliyejitolea kupigania maslahi ya nchi yetu lakini hapa katikati akaanza kunichanganya na sasa naanza kuamini waliyoyasema kwenye chama chake cha zamani CHADEMA kuwa ni mtu anayetumika kwa maslahi yake.

Mimi na Watanzania wengi tuliopo Ulaya, Marekani na hata China ambako mwezi Juni mwaka huu nilikwenda tunatembea kifua mbele kwa sababu kila unaposema unatoka Tanzania basi moja kwa moja mjadala unaegemea kumsifu Rais Magufuli kwa kazi kubwa, ya uzalendo na kukataa utumwa wa mataifa makubwa anayoifanya.

Sielewi kwa nini Zitto Kabwe kajipa kazi ya kumchafua Rais Magufuli na kuichafua TANZANIA, nikifuatilia akaunti yake ya twitter, facebook na mikutano anayofanya na waandishi wa habari naona sasa hivi kajipa kazi ya kuitangazia dunia kuwa Tanzania ina Rais wa hovyo, uchumi wa nchi umekufa, Serikali inaendeshwa kisanii na zaidi anatoa kauli za kumdhalilisha Rais ambayo ni nembo ya Taifa kwa sasa.

Rais ndiye Baba wa Tanzania kwa sasa, na hakujiweka kwenye nafasi hiyo aliwekwa na Watanzania wenye akili timamu kupitia sanduku la kura, kwa kweli inauma sana, sasa hata huku ughaibuni watu wanashindwa kuelewa.

Hili jambo halikubaliki, kama Zitto anajiona yeye ni bora asiichafue nchi, asimchafue Rais kwa kiasi hicho, Na kwa sababu wakati Zitto anawika kwa siasa zilizowashawishi vijana wengi mimi pia alinishawishi nilifanikiwa kujua mambo yake mengi.

Haikuwa nia yangu na wala sio tabia yangu, lakini kama atasoma ujumbe huu ama wapambe wake watausoma naomba wamwambie sitakuwa tayari kumuacha aendelee kumdhalilisha Rais, sitakubali aendelee kuichafua Tanzania, nitaanza kufichua na mambo yake ya hovyo anayowafanyia sanaa Watanzania.

Na kwa sababu anaona kudhalilisha wenzie kunoga sasa na yeye atakapoguswa avumilia asilie kama alivyofanya bunge. Waswahili wana msemo "usianzishe ugomvi wa mawe wakati unaishi kwenye nyumba ya vioo"

Tutafichua usanii uliofanya kwenye kifo cha Mama yako mzazi, tutafichue usanii wako na maslahi yako binafsi kwa hili la kujifanya wewe ndio ulikuwa rafiki mkubwa wa Deo Filikunjombe, tutafichua usanii wako na Wajerumani na ajenda mliyonayo, tutafichua usanii wake na Dkt. Ramadhan Dau aliyekuwa Mkurugenzi Mkuu wa NSSF,

Tutafichua mapesa yote uliyopiga ukiwa Mwenyekiti wa Kamati ya Bunge (PAC) na tutafichua mbinu unazozifanya ndani ya UKAWA ili ujiimarishe na chama chako cha ACT Wazalendo.

Kwanza namshukuru sana Rais kwa kuwaondoa Prof. Kitila Mkumbo na Mama Anna Mngwilla kwenye ACT Wazalendo, hawa watu wana heshima kubwa na haikuwa sawa hata kidogo kuendelea kuongozwa na Msanii Zitto Kabwe, nawapongeza Advocate Msando, Samson Mwigamba na wote waliofanya uamuzi wa kuondoka ACT Wazalendo.

Mmefanya jambo jema kujiepusha na aibu ya kuwa na mtu huyu. Huyu panapomfaa ni UKAWA akaungane na Wasanii wenzake akina Mbowe, Lema, Nassari, Kubenea, Mch Msigwa, Mdee, Bulaya na mgonjwa ambaye simtaji hapa ambao wamejipa kazi ya kufanya siasa za uchochezi, uanaharakati, fitina na uchonganishi badala ya kufanya siasa za upinzani zenye lengo la kuisimamia Serikali iwaletee wananchi maendeleo na kuondoa Dosari.

Hivi kwa anayoyafanya leo Rais Magufuli mtu mwenye akili na nia njema na nchi huwezi kuwa unafanya kampeni za kumdhohofisha, unataka kudhohofisha vita dhidi ya rushwa, unataka kudhohofisha mapambano ya kuwaondoa wanyonyaji wa uchumi, unadhohofisha mipango ya maendeleo.

Yaani Zitto na genge lake wangefurahi sana kuona wazungu wa makinikia wameshinda, wanaombea sana uchumi wa Tanzania uporomoke, wanaombea sana wadau wa maendeleo wajiondoe kuungana na Tanzania, wanatamani sana wawekezaji wasije kuwekeza Tanzania, wanatamani sana kuona miradi inakwamba, wanatamani sana wezi wa mali za umma waendelee kutamba mitaani.

Sasa naanza kumuelewa Magufuli kwa nini alipiga marufuku mikutano ya siasa na kuelekeza kila mmoja afanye mkutano kwake, maana leo nchi ingekuwa inashinda kwenye maandamano badala ya kazi, Lakini nataka kuuliza hawa wapuuzi wanafanya ujinga huu vijana wa CCM mpo wapi? Wabunge wa CCM mpo wapi? Vijana wazalendo wa Tanzania mnawaachaje hawa wanafanya upuuzi huu?

Hivi vyombo vya dola pamoja na Rais kusema chukueni hatua za kisheria kwa wanapotosha ukweli kwa nini mnamuacha Zitto Kabwe anatamba namna hii? Yeye nani?
Mbona Msemaji wa Serikali Dk. Abbas anafungia magazeti yanayochapisha uongo, nyie mna kigugumizi cha nini? Mtu anatoa takwimu za uongo mnaishia kufafanua tu? Nooo.
Afanye hivyo nchi kama China aone cha moto. Kwenye mapambano hakuna kuangaliana usoni jamani.
Ujumbe wangu ndio huo.

Salamu zangu kwenu ndugu zangu watanzania kutoka Finland
Hii ni hangover ya vodka au gongo ya finland vingenevyo uwezi andika msururu wa maneno yote haya na usijibu ataa hoja moja ya Zito .wewe peleka upuuzi wako ukateleze kwenye barafu ukate hangover
 
Ungejibu kwa data ningekuheshimu sana! Fichua yote ila ukweli utakuwa ukweli! Hata zitto akifanyiwa kama china wafanyavyo God is great! Aksante kwa kuuliza kwa nini hajibiwi? NUMBERS NEVER LIE!
 
Mleta post huna tofauti na Jerry Muro, weka takwimu kupinga hoja za Zitto. CCM imekosa watu smart, masuala ambayo yanapaswa kujibiwa na CHAMA wanamuacha Muro ajibu upupu mtupu. Zitto anaaminika kwa kuwa he came up na takwimu, is a high time kwa Polepole kujibu kwa takwimu pia siyo kujificha kwenye hoja ya kuhama wanachama wa ACT.
 
Wewe huko Finland umeenda kutembea tu,jitoe kwenye kundi la wasomi na ujihesabu umeisha feli tayari,hoja hujibiwa kwa hoja tu,wewe unaishia kulalamika kwani umeambiwa raisi hakosolewi nje ya ccm??soma tena na tena bandiko la Zitto kisha njoo na data zako utuaminishe kuwa ni mwongo vinginevyo hayo uliyoyaandika ni upupu na majungu tu.
 
Mkuu, Huko Ulaya unafanya nini? maana inaonekana uko disconnected na realities, ndio maana umeandika maneno mengi lakini umeshindwa kuweka vielelezo ili tuweze kupima hoja zako against hoja za Zitto. Au unafikiri kwenye jukwaa hili, tunapima hoja kwa kuangalia mtu yuko bara gani? Dude, we don't care....
 
Unafikiri kwa nini Zitto haguswi na vyombo vya dola, hayo anayoyafanya angeyafanya Lissu,Msigwa,Mashinji,Mbowe,Kigaila n.k wangekuwa bado wanagonga dona uraiani?, Akili kumkichwa!
 
Sasa naanza kumuelewa Magufuli kwa nini alipiga marufuku mikutano ya siasa na kuelekeza kila mmoja afanye mkutano kwake, maana leo nchi ingekuwa inashinda kwenye maandamano badala ya kazi, Lakini nataka kuuliza hawa wapuuzi wanafanya ujinga huu vijana wa CCM mpo wapi? Wabunge wa CCM mpo wapi? Vijana wazalendo wa Tanzania mnawaachaje hawa wanafanya upuuzi huu?
Msomi wa Finland hapa ni suala la katiba na sheria iliyoruhusu uanzishaji wa vyama vingi ya mwaka 1992 umeisoma?????na huyo unaemsema kazuia mikutano aliapa atailinda na kuitetea katiba hiyo,wewe unatia aibu haikosi umetokea shule za kata.
 
Oktoba 29, 2017
Naitwa Luhimbila Makalyusi Mtule, Nipo masomoni Finland.
Naomba niwe mkweli Zitto Kabwe ananikwaza sana, simuelewi anafanya siasa zake kwa maslahi ya nani?

Nilimuelewa awali kuwa kijana aliyejitolea kupigania maslahi ya nchi yetu lakini hapa katikati akaanza kunichanganya na sasa naanza kuamini waliyoyasema kwenye chama chake cha zamani CHADEMA kuwa ni mtu anayetumika kwa maslahi yake.

Mimi na Watanzania wengi tuliopo Ulaya, Marekani na hata China ambako mwezi Juni mwaka huu nilikwenda tunatembea kifua mbele kwa sababu kila unaposema unatoka Tanzania basi moja kwa moja mjadala unaegemea kumsifu Rais Magufuli kwa kazi kubwa, ya uzalendo na kukataa utumwa wa mataifa makubwa anayoifanya.

Sielewi kwa nini Zitto Kabwe kajipa kazi ya kumchafua Rais Magufuli na kuichafua TANZANIA, nikifuatilia akaunti yake ya twitter, facebook na mikutano anayofanya na waandishi wa habari naona sasa hivi kajipa kazi ya kuitangazia dunia kuwa Tanzania ina Rais wa hovyo, uchumi wa nchi umekufa, Serikali inaendeshwa kisanii na zaidi anatoa kauli za kumdhalilisha Rais ambayo ni nembo ya Taifa kwa sasa.

Rais ndiye Baba wa Tanzania kwa sasa, na hakujiweka kwenye nafasi hiyo aliwekwa na Watanzania wenye akili timamu kupitia sanduku la kura, kwa kweli inauma sana, sasa hata huku ughaibuni watu wanashindwa kuelewa.

Hili jambo halikubaliki, kama Zitto anajiona yeye ni bora asiichafue nchi, asimchafue Rais kwa kiasi hicho, Na kwa sababu wakati Zitto anawika kwa siasa zilizowashawishi vijana wengi mimi pia alinishawishi nilifanikiwa kujua mambo yake mengi.

Haikuwa nia yangu na wala sio tabia yangu, lakini kama atasoma ujumbe huu ama wapambe wake watausoma naomba wamwambie sitakuwa tayari kumuacha aendelee kumdhalilisha Rais, sitakubali aendelee kuichafua Tanzania, nitaanza kufichua na mambo yake ya hovyo anayowafanyia sanaa Watanzania.

Na kwa sababu anaona kudhalilisha wenzie kunoga sasa na yeye atakapoguswa avumilia asilie kama alivyofanya bunge. Waswahili wana msemo "usianzishe ugomvi wa mawe wakati unaishi kwenye nyumba ya vioo"

Tutafichua usanii uliofanya kwenye kifo cha Mama yako mzazi, tutafichue usanii wako na maslahi yako binafsi kwa hili la kujifanya wewe ndio ulikuwa rafiki mkubwa wa Deo Filikunjombe, tutafichua usanii wako na Wajerumani na ajenda mliyonayo, tutafichua usanii wake na Dkt. Ramadhan Dau aliyekuwa Mkurugenzi Mkuu wa NSSF,

Tutafichua mapesa yote uliyopiga ukiwa Mwenyekiti wa Kamati ya Bunge (PAC) na tutafichua mbinu unazozifanya ndani ya UKAWA ili ujiimarishe na chama chako cha ACT Wazalendo.

Kwanza namshukuru sana Rais kwa kuwaondoa Prof. Kitila Mkumbo na Mama Anna Mngwilla kwenye ACT Wazalendo, hawa watu wana heshima kubwa na haikuwa sawa hata kidogo kuendelea kuongozwa na Msanii Zitto Kabwe, nawapongeza Advocate Msando, Samson Mwigamba na wote waliofanya uamuzi wa kuondoka ACT Wazalendo.

Mmefanya jambo jema kujiepusha na aibu ya kuwa na mtu huyu. Huyu panapomfaa ni UKAWA akaungane na Wasanii wenzake akina Mbowe, Lema, Nassari, Kubenea, Mch Msigwa, Mdee, Bulaya na mgonjwa ambaye simtaji hapa ambao wamejipa kazi ya kufanya siasa za uchochezi, uanaharakati, fitina na uchonganishi badala ya kufanya siasa za upinzani zenye lengo la kuisimamia Serikali iwaletee wananchi maendeleo na kuondoa Dosari.

Hivi kwa anayoyafanya leo Rais Magufuli mtu mwenye akili na nia njema na nchi huwezi kuwa unafanya kampeni za kumdhohofisha, unataka kudhohofisha vita dhidi ya rushwa, unataka kudhohofisha mapambano ya kuwaondoa wanyonyaji wa uchumi, unadhohofisha mipango ya maendeleo.

Yaani Zitto na genge lake wangefurahi sana kuona wazungu wa makinikia wameshinda, wanaombea sana uchumi wa Tanzania uporomoke, wanaombea sana wadau wa maendeleo wajiondoe kuungana na Tanzania, wanatamani sana wawekezaji wasije kuwekeza Tanzania, wanatamani sana kuona miradi inakwamba, wanatamani sana wezi wa mali za umma waendelee kutamba mitaani.

Sasa naanza kumuelewa Magufuli kwa nini alipiga marufuku mikutano ya siasa na kuelekeza kila mmoja afanye mkutano kwake, maana leo nchi ingekuwa inashinda kwenye maandamano badala ya kazi, Lakini nataka kuuliza hawa wapuuzi wanafanya ujinga huu vijana wa CCM mpo wapi? Wabunge wa CCM mpo wapi? Vijana wazalendo wa Tanzania mnawaachaje hawa wanafanya upuuzi huu?

Hivi vyombo vya dola pamoja na Rais kusema chukueni hatua za kisheria kwa wanapotosha ukweli kwa nini mnamuacha Zitto Kabwe anatamba namna hii? Yeye nani?
Mbona Msemaji wa Serikali Dk. Abbas anafungia magazeti yanayochapisha uongo, nyie mna kigugumizi cha nini? Mtu anatoa takwimu za uongo mnaishia kufafanua tu? Nooo.
Afanye hivyo nchi kama China aone cha moto. Kwenye mapambano hakuna kuangaliana usoni jamani.
Ujumbe wangu ndio huo.

Salamu zangu kwenu ndugu zangu watanzania kutoka Finland
Ndio mnasababisha viongozi wa upinzani kupigwa kwa ukuuma mnaoandika hapa. Ukiwa Finland si ufuate siasa za huko tu ya tz yakuwashia nini?? Pumbavu kabisa. Nyie ndio hamumsaidii huyo dikteta uchwara kufanya mema. Nyie ndio mnamvimbisha kichwa huyo Mzilankende ajione mtetezi wa wanyonge eti. Jinga sana mwache zitto afanye kueleza watanzania
 
Nimesoma weee mpaka mwisho nikijua utakuja na "data"/takwimu kupingana na hoja za Zitto kuhusu uchumi. nilichoambulia ni PERSONAL ATTACKS KWA ZITTO.
 
Unajiita msomi uliyeko Ulaya unashindwa kuja na Data na figures ili kutuaminisha anachokisema Zitto si sahihi? huna tofauti na wasomi wengine "uchwara" huko CCM
 
Ntarudi.....kuchangia nikimaliza masomo yangu uku kisiwani nansio
 
Haya msomi wa Ulaya endelea kutembea kifua mbele tena kapige na chuma kabisa ili kionekane zaidi. Umeandika ujinga mtupu na hujui Tanzania sasa kuna hali gani
 
Chuki binafsi tu huna hoja ya msingi ungejibu kwa tafiti takwimu nk ningekuelewa sio lazima kukubaliana na anachokifanya jpm
 
Mi hua nasema kila Siku Tanzania kwa sasa hakuna vyama vya upinzani vyenye malengo mema na taifa hili. Tumebaki na genge la wahuni ambao hawajui nini wanataka. Wengine wanafika mahali wanajipinga hadi wao wenyewe. Kwahali hii wanatakiwa kukemewa na kila mtanzania.
usitujumuishe watanzania wote kwenye huu upuuzi wako.unganeni wenyewe
 
Back
Top Bottom