Huyu mbunge wangu nimekuwa nikifuatia kauli zake ila nilichokiona ni mnafiki,sio jasiri pia ni muibuaji wa hoja na kurudi kinyumenyume kudai rushwa hili tumempima kwa hoja ya buzwagi,majina ya walioficha hela nje ya nchi,sakata la miradi yenye giza la rushwa nssf akiwa kamati ya PAC.nitaweka ushahidi hapa,makonda kavaa ujasiri kutaja majina ya unga kwa sasa umevalia njuga kumtetea manji ili ukavute mshiko.Tunakuomba utupe listi ya walioficha hela nje
Unajitahidi kweli kusafisha nyota ya mkuu ila ndio basi tena ameula wa mawe tayari kishachafua CV.Zitto ni takriban miaka sita sasa tunasubiria majina ya mafisadi na wahujumu uchumi ambao wameficha fedha uswizi.
Nakumbuka ulituahidi watanzania kuwa utayaweka hadharani majina haya ...je yako wapi?
Au nawe walikuita pembeni na kukukatia chako ndio maana ukakaa kimya?
Kama unataka nihamie ACT WAZALENDO Basi Chama chako kiitishe conference na wewe ututajie yale majina uliyotuahidi kama walivyofanya kina Slaa pale Mwembeyanga.
Kama huna basi nakushauri uachane na tabia ya kuzushia watu mambo.
Kuna thread yake bi dada...tukutane kule.CAG alitoa siku 21 jibu la trillion 1.5 litoke. Majibu yatakayokuja sasa ni ya kupikwa
Inaelekea wewe ni mmoja was waliofaidika na 1.5tril. sasa unataka kuwatoa watu kwenye kutaka mjulikane unawapeleka uswizi, hapana. Nashauri anayeweza kuiondoa mada hii afanye hivyo haraka.Zitto ni takriban miaka sita sasa tunasubiria majina ya mafisadi na wahujumu uchumi ambao wameficha fedha uswizi.
Nakumbuka ulituahidi watanzania kuwa utayaweka hadharani majina haya ...je yako wapi?
Au nawe walikuita pembeni na kukukatia chako ndio maana ukakaa kimya?
Kama unataka nihamie ACT WAZALENDO Basi Chama chako kiitishe conference na wewe ututajie yale majina uliyotuahidi kama walivyofanya kina Slaa pale Mwembeyanga.
Kama huna basi nakushauri uachane na tabia ya kuzushia watu mambo.
Usijitahidi kuchafua kioo cha dereva kwa vumbi...kumbuka anazo waipers na maji ...ataziwasha tu na kioo kitabaki safi.Unajitahidi kweli kusafisha nyota ya mkuu ila ndio basi tena ameula wa mawe tayari kishachafua CV.
hajachafuka kokote,tena mnazidi kumfanya imara zaidi if you guys don't know mtakuja kulijua hili badae sana.Unajitahidi kweli kusafisha nyota ya mkuu ila ndio basi tena ameula wa mawe tayari kishachafua CV.
Tutajieni na benki iliyozipitisha ha ha ha!!Tilioni 1.5... uuuuuwiiiii........