Kuna Serikali duniani isiyopoteza mapato?
Kuna Serikali au taasisi duniani inayoweza kuhakikiwa na kuscore 100% ?
Nini maana ya audit?Ukiacha usiasa na ushabiki wa udaku tutaongea points ....na ninaweza kukuonesha upotevu mkubwa zaidi ya huo tunaodanganywa nao....Swali ni je kwa nini taratibu hizo zikiukwe?
Swali ni je taratibu hizo sio vikwazo vya maendeleo?
Ndio maana ripoti ile inafaa kujadiliwa na kamati ili kuja na key areas za kufanyia mabadiliko.
Kumbuka trend ya uwepo wa hati chafu na zisizoridhisha katika halmashauri zetu ...hali ilikuwa mbaya but leo hii ilibaki halmashauri moja tu ya Kigoma Ujiji ambayo pamoja na kuelekezwa mara kwa mara bado imeendelea kuharibu kwa miaka mitatu mfululizo...kwa nini hatuongelei haya?