Tukundane
JF-Expert Member
- Apr 17, 2012
- 12,232
- 9,553
Tuwataje ilimtuite wachochezi.Tuwataje hao mafisadi kama tulivyoahidi...si tuko kwenye vita dhidi ya ufisadi na ubadhirifu?
Mbona Rahisi tu?
Tuwataje ilimtuite wachochezi.Tuwataje hao mafisadi kama tulivyoahidi...si tuko kwenye vita dhidi ya ufisadi na ubadhirifu?
Mbona Rahisi tu?
Zitto ni takriban miaka sita sasa tunasubiria majina ya mafisadi na wahujumu uchumi ambao wameficha fedha uswizi.
Nakumbuka ulituahidi watanzania kuwa utayaweka hadharani majina haya ...je yako wapi?
Au nawe walikuita pembeni na kukukatia chako ndio maana ukakaa kimya?
Kama unataka nihamie ACT WAZALENDO Basi Chama chako kiitishe conference na wewe ututajie yale majina uliyotuahidi kama walivyofanya kina Slaa pale Mwembeyanga.
Kama huna basi nakushauri uachane na tabia ya kuzushia watu mambo.[/QU
Huu Ni Upuuzi Kujaribu Kupotzea Mada ya Sasa ya kuptea au matumizi nje ya bajeti 1.5trillion kwa hoja za miaka 6 ilio pita Aiya Zito alihadi kuwataja mafisad na hajawataja So What kwan hawajulikan na Akiyataja majina yanafaida Yatafanyiwa Kaz? Au Yanamsaada gan kwa sasa. Achana
Mnatumia Nguvu Nyingi Sana Kumtuhumu Zito Kwan yeye Ndo alitoa Hesabu Data Za CAG mshambulien CAG kwa kuwaumbua zito alicho kifanya ni Kutilia mKazo na kutka maelezo ya hoja Ambayo mlishindwa kutoa kwa CAG pindi Inakusanya Data..Ila mnacho kifanya ni kutokwa na Povu Tu Na Kujitahid Kuizima Mada Kumbuka Watanznia wa leo Cio Wajana wajinga wa Kiyumbushwa...Ww Endelea kusubiri majina Nasi Twatka Kujua Hzo 1.5 ziko wap labda ww unaweza isaidia mamlaka husuka Kujibu Kwa Hoja Safi Na Vivid evidence maana Wao wameshindwa wamebaki kumshambulia Mtu tuZitto ni takriban miaka sita sasa tunasubiria majina ya mafisadi na wahujumu uchumi ambao wameficha fedha uswizi.
Nakumbuka ulituahidi watanzania kuwa utayaweka hadharani majina haya ...je yako wapi?
Au nawe walikuita pembeni na kukukatia chako ndio maana ukakaa kimya?
Kama unataka nihamie ACT WAZALENDO Basi Chama chako kiitishe conference na wewe ututajie yale majina uliyotuahidi kama walivyofanya kina Slaa pale Mwembeyanga.
Kama huna basi nakushauri uachane na tabia ya kuzushia watu mambo.
jina lako linatosha kukupuuza..... ila nikwambie uzalendo wa tumbo lako usiulete jamvini na hutomtoa mtu kwenye hoja yenye taharuki kwa taifa..... ni aibu aibu mpaka hapo tutakapo pata majibu yenye tija na kueleweke.Ni hovyo sana kulaghaiwa na wanasiasa njaa na uchwara
Tulieni dawa iingie, tunataka kujua 1.5tri ilikoenda, baadaye tutaamua kujua pia ununuzi wa ndege mbovu, uwanja wa chato na ujenzi wa ukutaZitto ni takriban miaka sita sasa tunasubiria majina ya mafisadi na wahujumu uchumi ambao wameficha fedha uswizi.
Nakumbuka ulituahidi watanzania kuwa utayaweka hadharani majina haya ...je yako wapi?
Au nawe walikuita pembeni na kukukatia chako ndio maana ukakaa kimya?
Kama unataka nihamie ACT WAZALENDO Basi Chama chako kiitishe conference na wewe ututajie yale majina uliyotuahidi kama walivyofanya kina Slaa pale Mwembeyanga.
Kama huna basi nakushauri uachane na tabia ya kuzushia watu mambo.
Mkuu yaani kuulizia ahadi ni kutumia nguvu nyingi?Huu
Mnatumia Nguvu Nyingi Sana Kumtuhumu Zito Kwan yeye Ndo alitoa Hesabu Data Za CAG mshambulien CAG kwa kuwaumbua zito alicho kifanya ni Kutilia mKazo na kutka maelezo ya hoja Ambayo mlishindwa kutoa kwa CAG pindi Inakusanya Data..Ila mnacho kifanya ni kutokwa na Povu Tu Na Kujitahid Kuizima Mada Kumbuka Watanznia wa leo Cio Wajana wajinga wa Kiyumbushwa...Ww Endelea kusubiri majina Nasi Twatka Kujua Hzo 1.5 ziko wap labda ww unaweza isaidia mamlaka husuka Kujibu Kwa Hoja Safi Na Vivid evidence maana Wao wameshindwa wamebaki kumshambulia Mtu tu
Kwa hiyo walioiba fedha nchini na kuzihamishia uswisi imekuwa sio hoja ya kitaifa??jina lako linatosha kukupuuza..... ila nikwambie uzalendo wa tumbo lako usiulete jamvini na hutomtoa mtu kwenye hoja yenye taharuki kwa taifa..... ni aibu aibu mpaka hapo tutakapo pata majibu yenye tija na kueleweke.
Zitto amewashika kunako kabisaaa
Anayetapatapa ni yule anayejaribu kuishi kwa kuzua mambo..Jingalao acha kutapatapa...bill 1500 mmepeleka wapi
1.5 TrillionZitto ni takriban miaka sita sasa tunasubiria majina ya mafisadi na wahujumu uchumi ambao wameficha fedha uswizi.
Nakumbuka ulituahidi watanzania kuwa utayaweka hadharani majina haya ...je yako wapi?
Au nawe walikuita pembeni na kukukatia chako ndio maana ukakaa kimya?
Kama unataka nihamie ACT WAZALENDO Basi Chama chako kiitishe conference na wewe ututajie yale majina uliyotuahidi kama walivyofanya kina Slaa pale Mwembeyanga.
Kama huna basi nakushauri uachane na tabia ya kuzushia watu mambo.
Biggy nakusalimiaGood speculation man.
Ngoja tuone kama kesi italetwa kwa wananchi au ataikalia tu pale Tabata.
Interestingzitto anatumiwa na membe hapa..for the right cause though..he has my support
Ila hatutaacha kukumbushiaHata hili litapita!!!Hivi yale majina ya wafanyabiashara wa Madawa ya kulevya yamechukuliwa hatua gani?
Mkuu mwenyewe,si alisema anawajua??
Zilishapita hizo siku 21,CAG alitoa siku 21 jibu la trillion 1.5 litoke. Majibu yatakayokuja sasa ni ya kupikwa
Tunataka kujua mahali magu kapeleka 1.5 trillion pesa za walipa kodimada hii ilifungwa kwa sababu zipi?
Zitto Kabwe Adai kwa Kiapo Hana Majina ya Wenye Akaunti Uswisi - AG
CAG ni controller piaTunataka kujua mahali magu kapeleka 1.5 trillion pesa za walipa kodi
Ndio lakini mwenye alikuwa anagawa mafungu ni magufuli.CAG ni controller pia
kwa hiyo controller alikuwa anacontrol nini sasa?Ndio lakini mwenye alikuwa anagawa mafungu ni magufuli.
1.5 trillion zimeenda wapi?
CAG anasema zimekusanywa ila hajui zilipoishia