funaku
JF-Expert Member
- Oct 12, 2011
- 39,409
- 31,916
Umenikumbusha mkuu...sasa hivi wanalia chakula kushuka bei!!Tatizo la Zito kiki zake zinabuma haraka sana.
Watanzania wenye akili washamshtukia.
Mazwazwa ndio bado wanamshabikia japo baadhi hawamuamini tena.
Rejea issue ya njaa.