Put record straight jamani,
Mh. Zitto hafanyi PhD. He is doing his Masters. Jamani watu mkileta mada hapa ni vyema kufanya research. Sasa angalia thread nzima wamemuamini mleta mada, wakati na yeye hana uhakika na anachokiandika. Next time please do your research siyo kuja hapa kutoa info ambazo wewe mwenyewe huna uhakika nazo. NA HAPA NAANDIKA KWA CONFIDENCE MAANA NAJUA KABISA MKUBWA ANAFANYA MASTERS na Siyo PHD.
Otherwise, jamani, tujifunze kitu kimoja. Kutokubaliana siyo uadui. Kama hukubaliani na Mh. Zitto nadhani ni kwa mtizamo wa hoja, na si vyema kuanza kudemonize each other. Thats politics. Tushindanishe hoja. emotions zetu zisitufanye tuone wale wasiokubaliana na mawazo yetu kama wasaliti. Hapana siyo vyema. After all we cant be the same and our way of thinking is and must be different. Personally sikubaliani na mtizamo wa Zitto katika hili la DOWANS lakini sina budi kuuheshimu mtizamo wake. Maana atleast yeye kauweka wazi..ni tofauti na sisi tuanoandikia kwenye keyboard ya computer bila kuongea mbele ya umma. We should stand up and be counted.
Otherwise na mimi ningependa Serikali inunue mitambo hii moja kwa moja toka kiwandani. Kama inaweza kuagiza mashangingi mia saba kutoka Japan..kwanini ishindwe kuagiza genereta mbili toka GE or Siemens? Something fishy is in the pipeline.
Otherwise kwa Mh. Zitto, kila lakheri katika masomo yako. Elimu ni lulu. It neither has limits nor an end. Ongeza ujuzi urudi tulijenge taifa.
Masanja,
Naomba nisahihishe kidogo. Sijaanza PHD bado. Ninaandika proposal ya PHD na nimepewa mpaka mwezi Mei mwakani kuwa nimemaliza na proposal kupitishwa na msimamizi wangu katika chuo cha WHU-OttoBeisheim School of Management. Ninajiandaa na shahada ya uzamivu katika uchumi rasilimali - Resources economics na nikifanikiwa, inshaallah, nitaanza rasmi kusoma ili kupata Doctorate of Economic Sciences.
Wakati huu ambao ninaandika proposal nimejienroll Bucerius Law School kwa masomo ya sheria za Biashara, shahada ya uzamili - ninaandika kuhusu mfumo wa kodi katika sekta ya madini (fiscal stability clauses in the mining sector. Unnecessary evil?).
Hivyo, naomba ieleweke kuwa bado sijaanza masomo ya PHD kama MBALAMWEZI alivyoandika hapa. Sijui Mbalamwezi katoa wapi habari hizi maana angeniuliza kwanza.......................
mkuu Zitto kasema annadika proposol ili later aanze PhD sasa unabisha nini? labda masters hasomi si alifaulu vema kalukishwa madarasa....mgeni majuu nini?duh! I guess Zitto katudanganya na yeye...unless proposal ya pHD imekuwa masters....hahaha!
what kind of nonsense is this? are you implying watu wasisome? kwani kiwanja wakiwa nazo na wasiseme who cares? acheni wivu wa kijinga, kama vp na nyie kasomeni.
mkuu Zitto kasema annadika proposol ili later aanze PhD sasa unabisha nini? labda masters hasomi si alifaulu vema kalukishwa madarasa....mgeni majuu nini?
kumbe na mie hujanisoma vizuri.....u missed the point mazee...soma post vizuri, includinng the quoted material! In short: it's written in a sarcastic manner...if u get me. duh!
kumbe na mie hujanisoma vizuri.....
mkuu Zitto kasema annadika proposol ili later aanze PhD sasa unabisha nini? labda masters hasomi si alifaulu vema kalukishwa madarasa....mgeni majuu nini?
Huyu jamaa kweli nae ana msimamo wa kueleweka, na ina maana sasa siasa basi au?
Ni nini hasa anachohitaji zaidi au ndio ku-please umma ya kuwa Zitto has a Phd. He has already established himself as a young innovative politician why throw that away now.
You got the basics of the economy, Your a politician now not an ecnomists. Offer thoughts to ecnomists and argue with them. Let them advise you with the basics of economy make your mind if you intend to remain in politics.
Unajua this is why africans suffer Phd, Phd, Phd so what they get it wrong all the time this economists. If he wanted to become a better politician I think Law would have been the skill he needed to become a better speaker and politicians rather than a Phd on something he already has a concept of hit.
Learn to be a better politician than concentrate on pleasing the public with unnecesary credentials. Use examples of useless scholars we have in the government who are not performing. If anything its because they are in the wrong employment.
Put record straight jamani,
Mh. Zitto hafanyi PhD. He is doing his Masters. Jamani watu mkileta mada hapa ni vyema kufanya research. Sasa angalia thread nzima wamemuamini mleta mada, wakati na yeye hana uhakika na anachokiandika. Next time please do your research siyo kuja hapa kutoa info ambazo wewe mwenyewe huna uhakika nazo. NA HAPA NAANDIKA KWA CONFIDENCE MAANA NAJUA KABISA MKUBWA ANAFANYA MASTERS na Siyo PHD.
Masanja,
Mkuu sidhani kama kusoma sheria kunamfanya mtu kuwa mwanasiasa bora. Vilevile sidhani kwa mwanasiasa kuwa na PhD ni tatizo. Labda nikutoe shaka tu, tuweke siasa kando, unapokuwa na Phd upeo wako wa kuchambua maswala unakuwa tofauti kabisa na mtu ambaye hana hiyo Phd na mifano ipo mingi. Angalia hata kwenye familia yako kama kuna mtu mwenye PhD. Hao unaowasema wapo kwenye 'wrong employment' ni kwa sababu aidha wamechanganya siasa na utaalamu au mfumo umekataa kutilia maanani mapendekezo yao. Hivyo sidhani kama PhD ni 'unecessary credential'-Labda kwako.
Huyu jamaa kweli nae ana msimamo wa kueleweka, na ina maana sasa siasa basi au?
Ni nini hasa anachohitaji zaidi au ndio ku-please umma ya kuwa Zitto has a Phd. He has already established himself as a young innovative politician why throw that away now.
You got the basics of the economy, Your a politician now not an ecnomists. Offer thoughts to ecnomists and argue with them. Let them advise you with the basics of economy make your mind if you intend to remain in politics.
Unajua this is why africans suffer Phd, Phd, Phd so what they get it wrong all the time this economists. If he wanted to become a better politician I think Law would have been the skill he needed to become a better speaker and politicians rather than a Phd on something he already has a concept of hit.
Learn to be a better politician than concentrate on pleasing the public with unnecesary credentials. Use examples of useless scholars we have in the government who are not performing. If anything its because they are in the wrong employment.
Mkuu sidhani kama kusoma sheria kunamfanya mtu kuwa mwanasiasa bora. Vilevile sidhani kwa mwanasiasa kuwa na PhD ni tatizo. Labda nikutoe shaka tu, tuweke siasa kando, unapokuwa na Phd upeo wako wa kuchambua maswala unakuwa tofauti kabisa na mtu ambaye hana hiyo Phd na mifano ipo mingi. Angalia hata kwenye familia yako kama kuna mtu mwenye PhD. Hao unaowasema wapo kwenye 'wrong employment' ni kwa sababu aidha wamechanganya siasa na utaalamu au mfumo umekataa kutilia maanani mapendekezo yao. Hivyo sidhani kama PhD ni 'unecessary credential'-Labda kwako.
Mbona kama vile hupendi Zitto ale buku majuu? unajua nyie watz wa namna hio bana mnanikera sana.....ulitaka nae a hasle kwenye box alipie masomo au niaje niaje?
wewe nawe.....Niko na MG
tell him to give me his address and i'll send him a copy of reaseach methods for dummies.
Naomba nisahihishe kidogo. Sijaanza PHD bado. Ninaandika proposal ya PHD na nimepewa mpaka mwezi Mei mwakani kuwa nimemaliza na proposal kupitishwa na msimamizi wangu katika chuo cha WHU-OttoBeisheim School of Management. Ninajiandaa na shahada ya uzamivu katika uchumi rasilimali - Resources economics na nikifanikiwa, inshaallah, nitaanza rasmi kusoma ili kupata Doctorate of Economic Sciences.
Wakati huu ambao ninaandika proposal nimejienroll Bucerius Law School kwa masomo ya sheria za Biashara, shahada ya uzamili - ninaandika kuhusu mfumo wa kodi katika sekta ya madini (fiscal stability clauses in the mining sector. Unnecessary evil?).
Hivyo, naomba ieleweke kuwa bado sijaanza masomo ya PHD kama MBALAMWEZI alivyoandika hapa. Sijui Mbalamwezi katoa wapi habari hizi maana angeniuliza kwanza.......................
Send me one please
Naomba kuuliza tatizo la Zitto hapa ni lipi? hadi kushambuliwa namna hii.
1.Tatizo ni kuwa nawazo la kujiendeleza kielimu?
2.Tatizo ni kusimamia mawazo yake na anavyoona kulingana na uelewa wake juu ya umeme na dowans??
3.ama tatizo ni lile lile la alipojaribu kuwania uenyekiti??