Zitto, natanguliza pole kwa yatakayofuata kwenye thread hii.
23 September 2010
Na waandishi wetu
WAKATI kampeni zikipamba moto, Naibu Katibu Mkuu wa CHADEMA, Zitto Kabwe, amekiri serikali ya CCM imejenga uchumi imara. Amepongeza utendaji kazi wa serikali za CCM na mafanikio yaliyopatikana katika utekelezaji wa Ilani yake ya uchaguzi.
Zitto anayewania ubunge Kigoma Kaskazini, alisema hayo juzi jioni katika Uwanja wa Mashujaa, alipomnadi mgombea ubunge wa Mtwara Mjini, kwa tiketi ya chama hicho, Jetha Othuman. Akizungumzia mafanikio ya serikali ya CCM, Zitto alimmwagia sifa Rais mstaafu Benjamin Mkapa, akisema amefanya mambo makubwa katika uongozi wake na kama kuna makosa ni ya kibinadamu.
Hakuna anayeweza kila kitu kama yapo yaliyomshinda huo ni ubinadamu, alisema Zitto na kuongeza kuwa, uchumi imara uliwezesha kushuka kwa mfumko wa bei. Aliwaponda watu wanadai serikali ya CCM inabagua wapinzani, akisema imekuwa ikitekeleza Ilani kwa kufikisha maendeleo hata kwenye maeneo yanayoshikiliwa na wapinzani.
Wanaosema serikali ya CCM inabagua katika kugawana keki ya taifa hao ni waongo, imefikisha maendeleo hata kwa wapinzani, alisema huku akitoa mfano wa maendeleo yaliyofanyika katika majimbo ya Karatu, Kigoma na Sumbawanga. Alisema Kigoma ni ngome ya upinzani, lakini imepiga hatua kubwa katika maendeleo, akitaja miradi mikubwa iliyotekelezwa ya barabara, maji na umeme.
Source: UHURU
Zitto anasema palipo na ukweli
Hapa chini ulisema hiviaNGUKO LA SLAA LINAKUJA ZITTO MTU MAKINI SAANA KAONA MAFANIKIO YA JK
mPAKA SASA HIVI ZITTO ANATANGATANGA BAADA YA kuona kule kigoma atashidwa vibaya na mgombea wa CCM
Mbona umeweza kusoma? pole saana ndo ZITTO WENU ANAPOTEA HIVYO
zito alikuwa mtwara kwa mkapa na kuvuta hisia za waliokuwa wakimsikiliza asingeweza kumshambulia mkapa, hili la keki ya taifa aliwaondoa hofu kuwa eti wakichagua upinzani hawatapata maendeleo au mgao kutoka serikali ya ccm, akawapa mfano wa karatu ambako kuna upinzania lakini wapo mbele kuliko mtwara.
kuonyesha udhaifu wa kikwete ni lazima angezungumzia ukomavu wa mkapa
mmesahau pareto theory? you canot talk of youself being better bila kumpaka matope mwingine
Aliyekuwa mbunge machachali Mh Zitto kabwe alielekea kupozteza tunu yake kwa taifa
mwaka 2006-7 kila mwannchi alimjua zitto lakini sasa hivi zitto kapotea kwnye vuchwa vya wananchi,
Je zittu ndo anapotea kama mrema ?
Hebu kaa pembeni kama huna vitu vya maana vya kujadili. Huu ni uzushi na uzandiki.Aliyekuwa mbunge machachali Mh Zitto kabwe alielekea kupozteza tunu yake kwa taifa
mwaka 2006-7 kila mwannchi alimjua zitto lakini sasa hivi zitto kapotea kwnye vuchwa vya wananchi,
Je zittu ndo anapotea kama mrema ?
hakuna mtu anayeitwa zittu kwenye siasa za Tanzania
nilikosea mkuu
Ila si unaona alivyopromoka kama mrema??
nadhani hayo ni matamanio yako! Mungu apitishie mbali.nilikosea mkuu
Ila si unaona alivyopromoka kama mrema??
Aliyekuwa mbunge machachali Mh Zitto kabwe alielekea kupozteza tunu yake kwa taifa
mwaka 2006-7 kila mwannchi alimjua zitto lakini sasa hivi zitto kapotea kwnye vuchwa vya wananchi,
Je zitto ndo anapotea kama mrema ?
Na wakitaka kuona jinsi gani chadema inaanguka wacheze na zitto
lile ndio jiwe pekee ambalo linaifanya chadema in'gare