Zitto anataka kusaliti CHADEMA?

Zitto anataka kusaliti CHADEMA?

Status
Not open for further replies.
Ni wananchi wepi wamekuambia Zitto hayumo kwenye vichwa vyao? Huo utafiti wako umeufanya wapi? Tupe data za uhakika.
 
Sio kweli kuna vijana wanaompiku Zitto si tu kwa kujenga hoja na kuzitetea bungeni bali wanampiku hata kielimu mmoja wao ni Halima Mdee!! Sasa wameingia wengine wengi tu mjengino!

Umakini wa Zitto katika bunge lililopita kwa kiasi kikubwa ndio uliosababisha vijana wengi washinde ubunge katika uchaguzi wa mwaka huu, wananchi wa majimbo mbalimbali walichagua wabunge vijana ili kujipatia "Zitto" wao, Zitto ni Asset muhimu sana kwa Chadema.
 
Aliyekuwa mbunge machachali Mh Zitto kabwe alielekea kupozteza tunu yake kwa taifa
mwaka 2006-7 kila mwannchi alimjua zitto lakini sasa hivi zitto kapotea kwnye vuchwa vya wananchi,

Je zitto ndo anapotea kama mrema ?

hivi kama huna cha kuongea ni beta ukipi kwayati. wewe unaonekana mamluki kwenye JF.
 
Umakini wa Zitto katika bunge lililopita kwa kiasi kikubwa ndio uliosababisha vijana wengi washinde ubunge katika uchaguzi wa mwaka huu, wananchi wa majimbo mbalimbali walichagua wabunge vijana ili kujipatia "Zitto" wao, Zitto ni Asset muhimu sana kwa Chadema.

Kila mtu ni muhimu katika Chadema na kila mtu ana heshimika kwa level yake kwahiyo hakuna cha kwamba zitto anaporomoka bali cha uhakika ni kuwa maendeleo ya wadanganyika yatazidi kuporomoka katika hii miaka mingine mitano. Hii miaka mitano kwa jeykey ni Chukua Chako na familia yako Mapema
 
Sio kweli kuna vijana wanaompiku Zitto si tu kwa kujenga hoja na kuzitetea bungeni bali wanampiku hata kielimu mmoja wao ni Halima Mdee!! Sasa wameingia wengine wengi tu mjengino!

wewe unamlinganisha Mdee na Zitto duh

hata huyo Mdee nae hamuamini pia
 
Zitto kabwe ni mpiganaji, msubiri bungeni uone ndo swali lako litajijibu..
 
Aliyekuwa mbunge machachali Mh Zitto kabwe alielekea kupozteza tunu yake kwa taifa
mwaka 2006-7 kila mwannchi alimjua zitto lakini sasa hivi zitto kapotea kwnye vuchwa vya wananchi,

Je zitto ndo anapotea kama mrema ?
hahahaaaa.... ukilala unamuwaza zitto? heheheeee.. mmeo anajua?
 
Aliyekuwa mbunge machachali Mh Zitto kabwe alielekea kupozteza tunu yake kwa taifa
mwaka 2006-7 kila mwannchi alimjua zitto lakini sasa hivi zitto kapotea kwnye vuchwa vya wananchi,

Je zitto ndo anapotea kama mrema ?

Hapana.
 
Mti wenye matunda ndio unaopigwa mawe.sishangai watu wenye upeo mdogo kumpiga mawe zitto.ccm baada ya kusikia zitto anataka kugombea uongozi waupinzani wanaunda kila aina ya propaganda kumchafua zitto.
 
Na wakitaka kuona jinsi gani chadema inaanguka wacheze na zitto

lile ndio jiwe pekee ambalo linaifanya chadema in'gare

Kwani zitto amewahi kufanya nini? Mi nakumbuka hojazilizokwenda shule za Slaa, mdee, Ndesa, n.k. Zitto anapambwa tu na magazeti ya mafisadi na sifahamu uhusiano wake na hawa mafisadi
 
Heheheheheh! Sungura karuka karuka kurukia ndizi mbivu mtini hadi kachoka, kachoka hata mkia. Alichoishia kusema - Ati sizitaki mbichi hizi!!! Heheheheh!
 
kutokana na mawazo na michango ya wana JF kuhusu Zitto kutumika kukigawa chama, leo imedhihirisha wazi kuwa watu bado hatujamwelewa Zitto Kabwe, dakika chache zilizopita Mhe. Zitto ame post kwenye facebook maneno yafuatayo "The party through its secretariat has adopted a westminster system to elect the leader of the opposition, following that Chadema caucus has endorsed Rt. Hon. Freeman Mbowe as the leader, Zitto Kabwe as his Deputy and Tundu Lisu as Chiefwhip." mimi kam mpiganaji wa miamvuli nasema nimependezwa na Mhe. Zitto kutoa kauli hii ambayo inaonyesha yeye binafsi amependezwa na hatua hiyo na kuwa yuko tayari kuwatumikia tanzania wote na mimi nikiwepo. Tuko pamoja. peoooopleeee
 
Congratulations nyingi kwa Zitto!!!!! Pepooooooooz!!!!:yield::yield::yield::yield::yield::yield::yield:
Najua mafisadi na vibaraka vyao wanasali usiku na mshana ili chama kiingie kwenye migogoro... Msiwape nafasi ya kucheka hata kidogo...........:nono::nono::nono:
 
Safi sana MH.ZITTO, sasa kazi ni kuuwasha moto hapo bungeni,pambaffffff mafisadi watakoma...!!
 
Wamewasahau CUF? Hiyo ya WestMinster wangewaachia wazungu wenyewe!
 
Congratulations nyingi kwa Zitto!!!!! Pepooooooooz!!!!:yield::yield::yield::yield::yield::yield::yield:
Najua mafisadi na vibaraka vyao wanasali usiku na mshana ili chama kiingie kwenye migogoro... Msiwape nafasi ya kucheka hata kidogo...........:nono::nono::nono:

hahahah jamani hata kama kuna mapandikizi kwenye chama chetu cha Chadema inabidi wafuate upepo unakokwenda atiiii
maana hizi ni zama za Mageuzi... waangalie Kenya kwa Mugabe, hapo Uganda mtasikia bora muwapigie simu waliowatuma kwamba mmeamua Kubaki Kwa Mageuzi mtaumbuka ......
watanznia tunasali ati??
Chadema msikubali mgogoro kabisa mkiona mtu anajishaua shaua muondoweni tunaweza kuendelea bila Yeye....
Nahitaji Kadi ya Chadema RASMI kwa dodoma nitapata wapi etiiiiiiiii
kabla Bunge halijaisha nataka niwe mwanachama Hai....
 
Wakati mafisadi hawajajifunza kuhusu nguvu yenu bado wanaendelea na propaganda zao ninyi mmethibitisha kuwa ni chama kilichokomaa mno
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom