VoiceOfReason
JF-Expert Member
- Nov 4, 2010
- 5,194
- 1,375
Ujumbe mfupi wa maneno (SMS) unaohusishwa na mpango wa kijasusi wa kumuua Mbunge wa Kigoma Kaskazini (CHADEMA), Zitto Zuberi Kabwe umenaswa na Uwazi.
Uchunguzi unaonesha kuwa SMS hiyo ilizunguka kwa watu kadhaa ambao wanadaiwa wapo kwenye mtandao ulioandaliwa kutekeleza mpango wa kukatisha maisha ya Zitto.
uwazi11[/URL]
Kwa nini hakuingia Bungeni wakati JK anazindua Bunge la 10?
Lets think This Careful THIS SMELLS OF SMEAR CAMPAIGN
Hii haingii akilini watu wanapanga kuua mtu kwa siri alafu wanatumia njia ya SMS kuambina.... Give me a Break
Gazeti la UWAZI? ndo lipi hilo?lipo Tanzania au?
wewe ungetumia njia gani kuondoa kirusi 'zitto' CDM na kwenye uso wa dunia?
Kupanga mipango ya kumuua mtu kwa sms???
CRAP
mgt software, unajua kuna kitu kimoja hufanyika "watu wenye imani fulani, huamini katika umwagikaji damu ndipo huwa na mafanikio" hivyo basi imani ile si dini fulani, bali dini hutumika kama kivuli. Wengi waweza kudhani mtu yule ni wa dini fulani lakini imani yake wao huwa hawaijui kuwa iko tofauti na wao. Maelezo ambayo awali Mh. ZK aliyatoa hapa yalijitosheleza, lakini kwa sababu hakuwa na wasemaji wa nje ndio maana imebidi aseme tena!!safi sana zitto kwa kujisafisha sisi vijana wenye moyo safi walio kwenye harakati ya kuikomboa nchi yetu zidi ya mazimwi/mafisadi tumepata ufunuo , mie binafsi nimefarijika lakini kwa nini hawa waandishi waliomaliza primary hasa magazeti ya Udaku na Wakora kama jambo leo, Uwazi ya Shingongile, hawa watu badala kuandika mabo ya kukomboa nchi wapo kwa ajiri ya chokochoko sijui kukitokea kumekuwepo umwagaji wa damu uliosababisha na wao itakuwaje? kumbuka Erc alisababisha gogoro la Mhe. Amina Chif.. mpaka mauti yake kwa kumchonganisha na Zitto bado wako nyuma yako kuwa makini, Unakumbuka ya Mange wa pale Africa sana endelea na Erc utaona mengi
Nigekua wewe nisingesema sema hiviHii ni story ya udaku na imejaa Umbea mtupu! Don't take it!