domokaya
JF-Expert Member
- Apr 22, 2010
- 3,588
- 1,758
zitto ni mzigo yeye anafanya mambo as if alipokuwa spika wa bunge la UDSM..no way aende tu ...hafai hata kidogo kuwa CHADEMA na kumuacha ni hatari auende akajiunge na TLP au CCM
Zito hakuwahi kuwa spika na wala asingeupata huo uspika, walipompa uenyekiti fass basi walishamjua, but the boy is good katika fitina za siasa na hasa ndi siasa yenyewe,anatafauta idntity yake mwenyewe tofauti na chama, na kama sisiemi wakilitumia hilo watakuwa wamecheza karata dume, hizo ndio siasa bwana, hazina kanuni wala uaminifu hiyo ndio kanuni zake