Mkuu Stein,kigoma imetoa wabunge wanne wa NCCR ukimwuliza Mbatia hawajui hata kwa majina.
ZITO = Majivuno + Masifa+Zarau+ ubinafisiNa hilo fungu la kufanya uchaguzi tena litatoka wapi au ndio kuchezea pesa ya wananchi,kwa hilo sheria za uchaguzi zinasemaje iwapo Zitto atakiacha solemba CDM,kwa maoni yangu CDM wamtose Zitto,kwani keshakuwa kero kwa uongozi wa CDM,ajue CDM kaikuta na itakuwepo asijione yeye ndio mwanzo na mwisho,CDM ni zaidi ya Zitto
Are you also part of great thinkers? Hivi hapa suala la Ruzuku limeingiaje? Mbona watu mnapenda chokochoko hivyo? Kweli CCM ina Makamba type za kumwaga.Bora kwa kweli JK aliwachakachua, mmeanza kutoana NGEU asubuhi kweupe namna hii, mhhmmmm. Tatizo tu ni viji ruzuku vimeongezeka hakuna kingine hapo.
Embu angalia kitendi cha mwenyekiti wa chama Mbowe mwaka huu kutogombea na kumpisha Dr Slaa huwezi kuta kwenye chama kingine.
Ni hayo tu
Kwani zito ni nani mbona utafikiri ni kama Mbowe nanataka kuihama chadema, zito ni kama mbunge kati ya wabunge wale 45 wengine wa chadema sioni ajabu kuhamia NCCR maana watu hawakuipenda chadema kwa ajili ya zito kabwe, na wale watu mil. 2.2 hawatoki kigoma wote kwa hiyo anauhuru kwa kuhamia NCCR au CCM akipenda ni chaguo lake.
Watu wanachopenda kwa chadema ni Ubora wa Sera na si kwamba ukihamia NCCR/CCM ndo itakuwa kama chadema hiyo isahau.
Embu angalia kitendi cha mwenyekiti wa chama Mbowe mwaka huu kutogombea na kumpisha Dr Slaa huwezi kuta kwenye chama kingine. mfano NCCR, wakati mbowe kwa nafasi ya umwenyekiti anampa tafu Slaa, Mbati kajichimbia Kawe hata kumpa tafu Rungwe hataki sasa kigoma imetoa wabunge wanne wa NCCR ukimwuliza Mbatia hawajui hata kwa majina.
Kwa hiyo issue ni Sera ya chama inakubalika kwa wasomi, na wananchi wa kawaida?
Ni hayo tu
Wakuu habari za punde ni kwamba Zitto Kabwe atahamia NCCR mageuzi, na kwamba atagombea ubunge kigoma kaskazini kwa chama hicho. kwa hiyo basi atakua ametimiza kazi yake ya kuivuruga cdm na mafisadi watashangilia. ila cdm itaendelea kuwepo na kuendelea kufanya kazi uzuri.
:target: tutashukuru sana haka ka dogo kakitoka maana sasa kanapanda wkubwa wake vichwani kamelewa sifa..wachaa kaeende replacement yake bungeni tayari Kamanda Mnyika...:yuck:go away
Ni tamaa tu anazo, lengo lake ni kugombea Urais mwaka 2015 na ameshagundua akiwa ndani ya Chadema hatapata hiyo nafasi. Kama ataondoka aondoke, Chadema ipo na itaendelea kuwepo.
Wakuu habari za punde ni kwamba Zitto Kabwe atahamia NCCR mageuzi, na kwamba atagombea ubunge kigoma kaskazini kwa chama hicho. kwa hiyo basi atakua ametimiza kazi yake ya kuivuruga cdm na mafisadi watashangilia. ila cdm itaendelea kuwepo na kuendelea kufanya kazi uzuri.
:target: tutashukuru sana haka ka dogo kakitoka maana sasa kanapanda wkubwa wake vichwani kamelewa sifa..wachaa kaeende replacement yake bungeni tayari Kamanda Mnyika...:yuck:go away
Umenena kama real great thinker
Zitto ana uhuru wa kufanya lolote lile, kuwa msaliti, fisadi, kujiunga CCM, kubaki chadema, hatakuwa wa kwanza, wala taarifa hiyo haitakuwa nja uzito wa kusimamisha jua lisiendelee kuzunguka dunia!
Cha muhimu ni kuwa tunahitaji katiba mpya na tume huru ya uchaguzi, kuvitafuta hivi au kuvipigani hakujalishi Zito atakuwa upande wetu au la! tuwaze makubwa jamani!!
Kwani waliopiga kura za hapana ni Zito tu?Mbona ni yeye tu ndo aseme kuwa anasubiri hatima yake ndani ya chama? Kama anajua kilichofayika ni demokrasia ndani ya chama kwanini ahofie mustkabali wake ndani ya chama?Au anajua kuropoka kwenye vyombo vya habali ni kosa.Hajui ni wakati gani aseme nini.Watu kama yeye hawafai kuwa na madaraka makubwa kwenye jamii,ndiyo maana hata hawamuachii kushika uenyekiti wa chama.Mambo mengi sana kuhusu huyu jamaa ni ya uwalakini,anajiona yeye ndiyo mjuaji sana na amekomaa kisiasa.
Anapenda mashindano yasiyo na tija ndani ya chama.
hizo ni chuki binafsi, uwezo wa zitto utamlinganisha nani ndani ya chadema????? wengi wao wamekosa nidhamu na hawana hekima. Si padri slaa wala si mbowe mwenye uwezo wa kujenga hoja kumzidi zitto, hammuwezi yule bwana mdogo ni kichwa ila kwa vile si mkristo na si mchaga ndo mnataka kumpoteza.