Wewe huna hoja Jasusi wa taarabu,, kama ni tofauti na enzi za nyerere kwa nini wote mna-muattack toka alipotoa mawazo yake yasiyo ya kinafiki?? At the end of the day inabidi na nyie muwanyooshee kidole hao waliotoa hilo wazo la kitoto la kutoka nje wakati mkuu wa nchi anaanza kuongea. Watanzania hatuko hivyo. Wanaume hatuko hivyo. Ninatoa wito kwa mkuu wa kambi ya upinzani bungeni ajiuzulu wa sababu ameonyesha hana Leadership quality, na pia ajiuzulu Uenyekiti wa chama kwa sababu yeye kama baba ameshindwa kuwaongoza vyema watoto wake. hafai
Nyinyi munapenda Zitto aseme yes sir! kila wakati? Anayo haki ya kukataa kuunga mkono kitu kama hawafikiani nacho na huo sio usaliti.
Usaliti ni ile kujidai umekubali kumbe rohoni mwako hupendi kile kinachofanyika.
Jaribuni kufikiri nje ya boksi jamani!
Posts 420
Thanked twice!

Jaribuni kufikiri nje ya boksi jamani![/QU
Issue kutoa siri, kwani ye peke yake ndio alikataa? Wabunge 11 walikataa iweje ye aongee, mbona wenzake hawakusema.
Huyu Nyerereist amekuwaje akawa JF senior Expert member na utumbo huu? how? inakuwaje awe amepost posts 420 lakini amekuwa thanked mara moja tu? nadhani huyu ni junior member tu kama siye au ni mropokaji tu!