okiwira
JF-Expert Member
- Jul 23, 2018
- 2,787
- 2,857
Tumuamini nani sasa.Zitto siyo mtu wa kumuani hata kidogo
Alafu wewe BABATI na unafiki wenu mgombea wenu alivyokuwa ananadi kura kanisani kwa kusema zamu ya Waluther kuna kuna kiongoz yoyote hapo saccos alimpa onyo?
AU ULIKUWA SIO UBAGUZI WA KIDHEHEBU.
Tulizeni bongo hata uwepo ukristo pekee yake bado bongo za kiafrika zitabaguana kidhehebu na kikanda.