Zitto anasema 'Fuata Misingi sio watu'...

ama kweli Tunte ww ni kilaza, na ushabiki wako umepitiliza na hauna mashiko ndani ya CDM, watu wanatafuta suluhu wewe unaendekeza makundi na majungu, hebu wakt mwingine bwn Sanga tuweke maslahi ya chama mbele kwanza.

hahahha.Kama mm ni kilaza basi wewe ni kilaza square.Utajua ukweli wa mabo soon.Hiki chama kinawenyewe na ground movement zao zote zipo wazi.Kilichobaki ni kuwa weka kwenye tv watanzania muone.
zitto is ma hero,Zitto ni mtetezi wa wanyonge ndio maana wanawinda roho yake kila siku
 
Ben,

Taratibu za chama zinachukuliwa kuhusu tuhuma zako dhidi yangu. Ni busara ya kawaida Kabisa kwamba tusubiri mchakato wa chama.

Tarehe ambazo unataja chama kitakuwa na vikao Kwa hiyo hayo unayosema ni masuala ya kufikirika. Isipokuwa kama una uthibitisho peleka kwenye chama.

Kuendelea kujibizana Humu ndani ni kutoa fursa Kwa maadui zetu.

Hebu kuwa na Subira kidogo chama kifanyie kazi madai yako. Ukweli utajulikana tu. kumbuka ukweli hautengenezwi. Ukweli hutafutwa.

Kiongozi wangu Zitto.

Niliposoma makala yako nilianza kurudisha imani kwako kama kiongozi makini dani ya CDM. Kiukweli kuna muda napoteza imani na wewe kwani naona kama unashirikiana na maadui kuiharibu CDM.

Kuna watu humu JF wanawatukana viongozi wenzako na wanadai ni wanachadema lakini sijawahii kuona ukiwakemea. Zaidi watu hao wanajionesha kuwa washabiki wako. Mfano Tuntemeke, Machange, Juliana Shonza na wengine wengi.

Binafsi nakubali michango yako kwa CDM ila umeifanya kama harakati binafsi.

Ombi langu kwako mwaka 2013, viongozi wa CDM muanze kwa upya.
  1. Mfanye mapatano kwa yote yalipita ambayo mmekwana kwa na namna moja au ingine.
  2. Muwafundishe viongozi wa BAVICHA MAADILI YA UONGOZI NA MISINGI YA CHAMA
  3. Muwakemee wote wanaoleta chokochoko hata kama ni washabiki wenu.(ZZK, Dr Slaa, Mbowe)
  4. Jioneshe wazi kuwa unashiriki shughuli za ujenzi wa CDM
  5. Wekeni utaratibu mzuri wa kuatatua matatizo ndani ya chama
 
hahahha.Kama mm ni kilaza basi wewe ni kilaza square.Utajua ukweli wa mabo soon.Hiki chama kinawenyewe na ground movement zao zote zipo wazi.Kilichobaki ni kuwa weka kwenye tv watanzania muone.
zitto is ma hero,Zitto ni mtetezi wa wanyonge ndio maana wanawinda roho yake kila siku

Kama unafikiri unamjenga Zitto naamini unamharibu.

Inavyoonesha huna nia njema na CDM zaidi una hamu ianguke ili ubaki na mafisadi wako.
 
SOMA SIGNATURE YANGU,Ipo siku utajua tu.Mchezo

Nimeisoma vizuri sana lakini haijaeleweka.

Damu nyingi zimemwagika Tz. Polisi wameua, majambazi wameua na kuna waliotekwa ikisemekana ni serikali. Au hao wa mwagaji damu wako ndani CHADEMA ? Kama wapo unasubiri nini kuchukua hatua ya kuokoa damu ingine isimwagwe. Peleka ushahidi polisi nafikiri CHADEMA itashufghulikiwa haraka kama ni kweli maana serikali inaichukia CHADEMA kuliko chama kingine cha upinzani.

Zaidi sijakuelewa.
 
Na wewe acha utoto,ugomvi wa nini kama unamfahamu si umpigie,unachafua chama.

hv kwanini mnapenda kujibizana mtandaon! Hv c mnajua kuwa chama kinataratibu zake za kusolve matatizo yake? Ni bora mkataftana kwny cm kuliko kunufaifasha watu wengne wasiohucka. Achen wehu wenu huo
 
Fuata misingi, sio watu.On paper, off paper, between papers, between lines on paper, where there are no lines off paper, when you are watched, when you are doing the watching, when nobody is watching you, when you are watching the watchers, when the watchers can't watch you.

Fuata misingi, siyo watu.

Hata ukifuata misingi ndani ya watu, kimsingi hufuati watu, unafuata misingi.

Tunachokataa hapa ni hizo habari za "Tutafanya chochote Nujoma atakachosema" au "Tunataka muungano kwa sababu Nyerere kasema tusiuvunje".

And to answer your question, on paper kuna vyama kibao vina misingi mibovu.

For years tumeongozwa na CCM chini ya the carefully crafted contradictory concoction of "Ujamaa na Kujitegemea".
Let me put it this way......, hata kama Chama kina misingi mizuri kiasi gani bila viongozi watu wanaofata na kutekeleza hio misingi tunarudi palepale...

Ndio maana nikataja layman mtu asiefatilia mambo ya policies wala hajui A wala B the only bet he has ni kumfuata mtu au kiongozi visionary ambae anadhani atamfikisha pale anapotakiwa kwenda...

Ofcourse huwezi kusema nataka muuungano sababu Nyerere kasema without listening to points ambazo anatetea huo muungano ila unaweza ukasema sipandi hii Ferrari (Chama A chenye misingi bora) sababu kiongozi wake (dereva) hafai lakini tapanda hii Bajaji (ingawa taasisi inalegalega) lakini kiongozi wake anafaa....

Ukizingatia msingi mkuu unaoongoza nchi (Katiba) ukiwa already in place whats needed ni kiongozi shupavu, mkweli, mtekelezaji na mfuatiliaji (a leader) mwenye charisma ambae akiwaambia watu kufanya jambo wanamsikiliza mtu anayewapa hope hata kwenye matatizo na wanajisikia wapo safe bila hofu

In summary naweza kusema chagua (fuata its a strong word) au support watu wanaofuata/wanaosimamia misingi
 
Nakuhakikishia kamanda Utajua ukweli wa mambo soon.Utajua kwanini TUNTEMEKE ninawabomoa hawa watu,mambo wanayoyafanya mwenyezi mungu anakwenda kufichua yote mapema mwezi huu wa kwanza au wa pili.
Hapo ndipo maandiko yatatimia,Mauaji na ufisadi ni balaa
Kuwapeleka hawa malalamiko wanageuza toilet paper,wana mission yao ya kuindeleza chadema kampuni na family saccos

Hii ni lugha ya CCM
 
Let me put it this way......, hata kama Chama kina misingi mizuri kiasi gani bila viongozi watu wanaofata na kutekeleza hio misingi tunarudi palepale...

Ndio maana nikataja layman mtu asiefatilia mambo ya policies wala hajui A wala B the only bet he has ni kumfuata mtu au kiongozi visionary ambae anadhani atamfikisha pale anapotakiwa kwenda...

Ofcourse huwezi kusema nataka muuungano sababu Nyerere kasema without listening to points ambazo anatetea huo muungano ila unaweza ukasema sipandi hii Ferrari (Chama A chenye misingi bora) sababu kiongozi wake (dereva) hafai lakini tapanda hii Bajaji (ingawa taasisi inalegalega) lakini kiongozi wake anafaa....

Ukizingatia msingi mkuu unaoongoza nchi (Katiba) ukiwa already in place whats needed ni kiongozi shupavu, mkweli, mtekelezaji na mfuatiliaji (a leader) mwenye charisma ambae akiwaambia watu kufanya jambo wanamsikiliza mtu anayewapa hope hata kwenye matatizo na wanajisikia wapo safe bila hofu

Charisma is overrated, hata madikteta kina Mao, Idi Amin,Hitler, Castro, Stalin etc wana charisma.

Uzuri wa kufuata misingi ni kwamba, hata ukimpenda mtu, utampenda kwa misingi fulani.

Ukifuata charisma unaweza kuburutwa tu ukajishtukia una undermine your own self interests.

Misingi goes deeper than charisma. Ulimwengu wa kufuata watu ndio uliotengeneza hawa "strong men" niliowataja hapo juu na messes zao wote, umepitwa na wakati.

Tunatakiwa kutaka more grassroot influence and less hero worshipping.
 
Tuntemeke wewe ni kama 'sukuma wiki'
Na sijui kweli hata huyo unayemsujudia kama hajakushtukia.
 
ben akilala anamuota zitto,akiamka anamuwaza zitto..akikaa pale makao makuu ya chama anaposhinda siku hizi anamuwaza zitto.akiwa mamba club anamuwaza zitto.
Amechanganyikiwa kwa sababu ya zitto,so zitto ni kiboko

Kumbe kumtetea Zitto kama amabavyo unafanya nako pia nikutetea misingi, nilikua sijaelewa mkuu, jinsi mnavyoa andika yaani wewe, Ben na Zitto manonesha kabisa kuna kitu kiovu mlikua mmepanga, sema Mungu hakua upande wenu, ndio issue iko hapo, ila nahisi kama unamdharirisha sana mwenye hilo jina, yaani Tumtemeke, miongoni mwa Waasisi wa G55 ya miaka ya 90s, yeye hakuga mnafiki kabisa.
 
Hata kama Zito atakuwa anaandika makala hii kujikosha, ameandika kitu ambacho ni funzo kwa masalia wa CDM amabo wanaonekana kumuabudu Zito.

Laiti kama hao wanaoitwa masalia wangekuwa wanafuata principles za Chadema, hakika wangekuwa hawajali cha Zito, Slaa ama Mbowe. Hongera zito kwa kuwafunda vijana wako ambao ni wanakushabikia bila kureason.

Ni bora kumfuata mtu unaeamini ana vision na uwezo wa kulifikisha taifa mahala fulani kuliko kusadiki miiko na misingi isiyofuatwa wala kutekelezwa kwa vitendo bali ni ngazi ya kuwanufaisha watu wachache kama silaha yao ya ukandamizaji,ubaguzi na ubeberu huku wakijipambanua kinafiki kua wao ni wanasiasa wenye kupenda demokrasia,shame on you mbowe na slaaa
 
Charisma is overrated, hata madikteta kina Mao, Idi Amin,Hitler, Castro, Stalin etc wana charisma.

Uzuri wa kufuata misingi ni kwamba, hata ukimpenda mtu, utampenda kwa misingi fulani.

Ukifuata charisma unaweza kuburutwa tu ukajishtukia una undermine your own self interests.

Misingi goes deeper than charisma. Ulimwengu wa kufuata watu ndio uliotengeneza hawa "strong men" niliowataja hapo juu na messes zao wote, umepitwa na wakati.

Tunatakiwa kutaka more grassroot influence and less hero worshipping.

Kwahio what we need is somebody (na hapa siongelei worshipping bali voting and supporting) ambaye atasimamia na kuinfluence grassroots na sio a vehicle(chama) ambacho mtu anasema either mimi ni CCM damu au Chadema damu hata kama kiongozi wake ni mfu..?

Tuchague watu ambao tuna uhakika watasimamia na kutekeleza misingi (ukizingatia misingi haijiendeshi bali huendeshwa na watu) ofcourse hao watu wakiacha kusimamia na kutekeleza hio misingi watakuwa sio watu tuliowazania hence voting for another leader hata akiwa from a different party
 
Usharudi kwenye misingi.
 
Ben,

Taratibu za chama zinachukuliwa kuhusu tuhuma zako dhidi yangu. Ni busara ya kawaida Kabisa kwamba tusubiri mchakato wa chama.

Tarehe ambazo unataja chama kitakuwa na vikao Kwa hiyo hayo unayosema ni masuala ya kufikirika. Isipokuwa kama una uthibitisho peleka kwenye chama.

Kuendelea kujibizana Humu ndani ni kutoa fursa Kwa maadui zetu.

Hebu kuwa na Subira kidogo chama kifanyie kazi madai yako. Ukweli utajulikana tu. kumbuka ukweli hautengenezwi. Ukweli hutafutwa.

Binafsi napenda sana hoja zako kwa sababu naona kabisa hukurupuki kuzitoa keep it up.
Maoni yangu kwako ni kuwa wewe chapa kazi ili kukufanya watu wakuelewe ,punguza kuongea, ongeza usikivu usikie na wengine wanasema nini ,ili upate muda mzuri wa kuongea vizuri zaidi.
Hofu yangu moja tu kizazi hiki hasa cha kwenu akina ZZK ni cha watu wanaojijali zaidi wao kuliko watu wengine.Sikusemi wewe na wala simaanishi si mmoja wao nina maana jihoji na jipime.Wengi wameficha motives zao ili umma uwakubali.
Waraka wa leo uko sawa ila umesahau kuwa kilio cha watanzania sio siasa safi ,kwa sababu za kwenye makaratasi tunazo ,kilio chetu ni Uongozi bora na watu.
Sera (siasa)ni rahisi kuvibadili, kitu kigumu kubadili ni uongozi ili uwe bora na watu ili wajitambue na wajue wajibu wao.
 
Let me put it this way......, hata kama Chama kina misingi mizuri kiasi gani bila viongozi watu wanaofata na kutekeleza hio misingi tunarudi palepale...

Ndio maana nikataja layman mtu asiefatilia mambo ya policies wala hajui A wala B the only bet he has ni kumfuata mtu au kiongozi visionary ambae anadhani atamfikisha pale anapotakiwa kwenda...

Ofcourse huwezi kusema nataka muuungano sababu Nyerere kasema without listening to points ambazo anatetea huo muungano ila unaweza ukasema sipandi hii Ferrari (Chama A chenye misingi bora) sababu kiongozi wake (dereva) hafai lakini tapanda hii Bajaji (ingawa taasisi inalegalega) lakini kiongozi wake anafaa....

Ukizingatia msingi mkuu unaoongoza nchi (Katiba) ukiwa already in place whats needed ni kiongozi shupavu, mkweli, mtekelezaji na mfuatiliaji (a leader) mwenye charisma ambae akiwaambia watu kufanya jambo wanamsikiliza mtu anayewapa hope hata kwenye matatizo na wanajisikia wapo safe bila hofu

In summary naweza kusema chagua (fuata its a strong word) au support watu wanaofuata/wanaosimamia misingi

Mkuu,
Hoja hapa ni kuwa tunapokuwa na ''misingi'''' na ''watu'' na kisha wananchi wakatakiwa waamue uanachama wao kwa kuzingatia hizi variables mbili,unadhani kipi kitaonekana kuwa na nguvu na mantiki?
Ndugu Zitto ameeleza vema kabisa kuwa watu wachague misingi.Ni maoni yangu, kuwa,Uanachama wa wanachama katika vyama vya kisiasa umegawanyika katika makundi takribani matatu:
Kundi la kwanza la wananchama ni lile ambalo huvutiwa na falsafa,itikadi,sera,imani,na misingi inayokitambulisha chama husika.Wanachama wanaoangukia katika kundi hili, aghalabu,huwa ni wale ambao uelewa wao wa masuala ya kisiasa na kiraia ni wa kwango cha kuridhisha.Watu hawa huweza kudumisha uanachama hata kama umahiri wa viongozi wakuu wa chama hauridhisha katika kuitekeleza ''misingi''.
Kundi la pili ni la watu ambao uanachama wao huamuliwa na personalities/watu.Wanachama wa kundi hili kwa kawaida hufuata asili,historia,hulka,tabia matendo ya Kiongozi Mkuu ama Viongozi Wakuu katika chama cha kisiasa bila kujipa muda kutafakari iwapo matendo ama rekodi hizo zina uhusiano wowote na na falsafa,itikadi,sera,imani na misingi ya chama.Kwa kawaida hili ni kundi la watu ambao uelewa wao wa masuala ya kisiasa ni mdogo kama zao la kiwango kidogo cha elimu na ufahamu.Uanachama wa watu hawa huamuliwa na watu na hautabiriki.
Kundi la tatu na la mwisho ni mchanganyiko wa makundi hayo mawali hapo juu:wanaofuata ''watu'' na ''misingi'' vile vile.Hili linaamini katika misingi wakati ule ule likitaka kuona watu thabiti na makini wa kuitekeleza misingi hiyo.Mara wanapokosa watu mahiri ama misingi kuanza kutoheshimwa, mara moja uanachama wao hukoma na huamua kutafuta chama kingine ama kuanzisha chama kingine.
Kwa kawaida ,misingi haijumbi wala kujitengeza.Inatengenezwa na kuumbwa na watu wenye malengo na nia za aina fulani.Lazima wawepo watu wapate maono na dira na kisha waandike misingi:swali:Baada ya kuwa tayari ipo ''misingi'' upo umuhimu wowote wa kuendelea kufuata ''watu''?.
 
ccm kimejengwa kwenye msingi wa ujamaa na kujitegemea. Na ccm ndio wamekuwa madarakani all these years! Ukiweka hiyo theory ya zitto, basi, kila kitu kilitakiwa kiwe tofauti na hali halisi ya sasa.

My view ni kwamba misingi ya chama chochote, alone, haitoleshelezi. Lazima kuwepo na mtu/watu wenye uwezo, nia na uthubutu wa kusimamia hiyo misingi.

well spoken
very precisely elaborated
bg up man!!!
"everybord must take note on this-hope so"
 
  • Thanks
Reactions: FJM
Aaaa!Zana Za Kilimo bwana.kuwa mpole jamaa.ukikurupuka na kuota urais 2015 uashangaa mjengonh hurudi na utabaki mtazamaji 4 ever.muache DR awatoe makamasi kina mwigulu 2015.
 
Tunaweza kufuata watu wanaofuafuata misingi?????????????????????????????????????
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom