Zitto anasema 'Fuata Misingi sio watu'...

Zitto anasema 'Fuata Misingi sio watu'...

wewe unamwambia mwenzio kuwa awe na subira kidogo mbonawewe huna hiyo subira? kila kukicha kujitakasa kwenye vyombo vya habari kama ni msafi just wait time will tell us, km ulivyo sema ukweli hautengenezwi, ukweli hutafutwa sass subiri na uwe na subira
 
Ben,

Taratibu za chama zinachukuliwa kuhusu tuhuma zako dhidi yangu. Ni busara ya kawaida Kabisa kwamba tusubiri mchakato wa chama.

Tarehe ambazo unataja chama kitakuwa na vikao Kwa hiyo hayo unayosema ni masuala ya kufikirika. Isipokuwa kama una uthibitisho peleka kwenye chama.

Kuendelea kujibizana Humu ndani ni kutoa fursa Kwa maadui zetu.

Hebu kuwa na Subira kidogo chama kifanyie kazi madai yako. Ukweli utajulikana tu. kumbuka ukweli hautengenezwi. Ukweli hutafutwa.


Mh tatizo la ben ni kuwatumikiwa mbowe na slaa,Anajitaidi sana kumshambulia ZZK bila hata ya kuona madhara,ili mradi aonekane ni mfuasi makini.Chama kisicho na mshikamano hakiwezi kuchukua NCHI,katika suala hili ni busara tu ndio chadema kitabaki imara kwa watu wenye mawazo na fikra huru
 
lakini dr. huoni unachokiongea sass ndo kinachoendelea ndani ya chama now? kama walijua hilo mini mchango wako?
 
Makala nzuri sana hii ina mafundisho mazuri. Hongera sana mtoa mada
 
jamani huu mjadala si ulishafungwa na katibu mkuu wenu?? ona sasa mlivyo wapuuzi mnaongea vitu ambavyo hamuwezi kuvitekeleza...nidhamu ndogo...

hiyo kauli katoa zitto au Dr kitila???

naona chama kinawasemaji wengi mno na jf ndo ofisi zenu...
 
Unajiandikia makala kwa kuwa unajua ulichokifanya.Makala hii haijaandikwa kwa bahati mbaya.Mipango yako ya kufanya tukio tarehe 4-6 January kabla ya CC ili kuhamisha hisia na mind za watu naijua yote.Take it from me

Ben

Andiko lako utadhani ulikuwa umekabidhiwa mikoba na marehemu sheikh yahya! Hakika yametia na utabiri unaongea.
 
Mzimu wa Zitto unamtesa babu yenu huko mikoani, kahama imebuma bado Singida na Kigoma.

Singida sijui atafikia wapi maana nyumba ya Mwenyekiti ndio ilikuwa ofisi nae umejiuzulu tena kwa kashfa na tuhuma nzito.

Hiki chama kimebunguliwa.
 
Ben

Andiko lako utadhani ulikuwa umekabidhiwa mikoba na marehemu sheikh yahya! Hakika yametia na utabiri unaongea.

mr mtoi,

hiyo kauli ya "fuata misingi sio watu" imetolewa na zitto au kitila????
mbona sioni apo zitto aliposema???

au ndo siasa matope zinaendelea ??

mjadala ulifungwa na katibu wako ila kwa kua unatetea ugali wako na ben bado mnaujadili na hamjuu kua ndo tunawadharau zaidi...

hivi we ni kiongozi wa sekta gani maana muda wote mpo jf kutoa mashairi...hamna msemaji wa chama.na hamna ifisi zaid ya jf??????

badilikeni..kesi ikiwa mahakamn huna haki ya kumuita mshtakiwa mkosaji nyie beki tatu wa chama ndo kwanza mmezidi...
 
Unajiandikia makala kwa kuwa unajua ulichokifanya.Makala hii haijaandikwa kwa bahati mbaya.Mipango yako ya kufanya tukio tarehe 4-6 January kabla ya CC ili kuhamisha hisia na mind za watu naijua yote.Take it from me
acha unafiki bwanamdogo, jadili contents.
mwanzo tu hii makala imeshaonyesha jinsi ilivyo mwiba kwa mabwana zako. endeleeni kumuita ZZK kuwa ni msaliti lakini ni '''heri yule anayemsaliti DJ MBOWE na WANAZI wa kichaga kuliko nyie mnaosaliti WATANZANIA kwa kutotenda mnachohubiri'''
tunajua huna unachokifanya zaidi ya kumtumikia mumeo MBOWE.... ila bado hujatuambia unalipwa nini kwa utumishi wako uliotukuka.
vp!!! uwepo wako makao makuu ni nafasi ya kuteuliwa, kuchaguliwa, au ndio zile nafasi anazozisema ZZK?????
FEDHA HAIWEZI KUHAMISHA milima
 
Unao ushahidi wa hiyo rushwa? Kama huna ushahidi, je itakuwa vibaya tukikuita mnafiki, muongo, mzabizabina, nuksi, mmbea n.k??

Ushahidi ni huu ...kutofikia ofisi za CDM kwa zaidi ya miezi, kuandaa mikutano bila ridhaa ya chama (anapata wapi fedha na huku ni kujutafuta sifa na mamlaka), kuhoji masuala ya chama magazeti bila kutumia vikao husika ilhali yeye ni katibu, km yeye ni CDM wa ukweli kwanini hatumii muda huu kukijenga chama? Kwanini anaruhusu watu kutumia jina lake km sababu ya mgawanyiko? Kwanini asidimame na kukemea hali hiyo? Ukimya wake unamaana ya yeye kuridhia kinacho endelea .... Wana CCM wameuvaa uchadema wanajifanya kutumia saana .... ushahidi ni huu.......

jeshi la polisi hupokea maombi maalum ya kuandamana, wanaoandamana kumpinga Dr. Slaa wanapewa ridhaa hiyo na nani?

Kama wao ni wanachama na viongozi wa CDM kwanini wanahangaika na Dr. Slaa na Mbowe wakati maamuzi yale yalikua ni ya Kamati kuu ya CDM? kutojua mamlaka ya CDM na uharaka wa kwashikia mabango Mbowe na Dr Slaa kunatoa picha ya watu hao kuwa ni watu wa itikadi tofauti na CDM pili hamu yao ya kuwashambulia viongozi wa wakuu wa CDM ni dalili tosha ya nia yao.
 
Back
Top Bottom