ACT Wazalendo Yatoa Kauli Kulaani Serikali ya Burundi Kuingilia Chama Rafiki Cha Agathon Rwasa

ChoiceVariable

JF-Expert Member
May 23, 2017
43,076
49,785
Katibu wa Mambo ya Kigeni wa Chama Cha ACT Ametoa Kauli ya Chama kulaani mamlaka mjini Bujumbura kuingilia Mkutano na chama rafiki Cha bwana Agaton Rwasa Mpinzani Mkuu wa Serikali ya Burundi Ili kumtoa madarakani Kwa mbinu kama za Prof.Lipumba kusambaratisha CUF.

ACT Wazalendo Inatoka Kauli kutaka Serikali iache kufanya vitendo vya uonezi vya kunyanyasa Bwana Rwasa na chama chake ambao ni chama Rafiki wa ACT Wazalendo na juzi Mwenyekiti wa Chama hicho alikuwa ni miongoni mwa wajumbe walioalikwa kushiriki Mkutano Mkuu wa Uchaguzi wa Chama Cha ACT Wazalendo.
1710060100099.png

My Take
ACT Wazalendo kinajielewa ni vile tuu Bado hakina ufuasi mkubwa.

View: https://twitter.com/VOASwahili/status/1767015108495180014?t=QmQs8xA7lyvpS4BOW0jwqA&s=19
 
Katibu wa Mambo ya Kigeni wa Chama Cha ACT Ametoa Kauli ya Chama kulaani mamlaka mjini Bujumbura kuingilia Mkutano na chama rafiki Cha bwana Agaton Rwasa Mpinzani Mkuu wa Serikali ya Burundi.

ACT Wazalendo Inatoka Kauli kutaka Serikali iache kufanya vitendo vya uonezi vya kunyanyasa Bwana Rwasa na chama chake ambao ni chama Rafiki wa ACT Wazalendo na juzi Mwenyekiti wa Chama hicho alikuwa ni miongoni mwa wajumbe walioalikwa kushiriki Mkutano Mkuu wa Uchaguzi wa Chama Cha ACT Wazalendo.

View: https://twitter.com/Vicent_Kassala/status/1766726857817264477?t=xZ4bw4UTDDgS5FsLMFRXag&s=19

My Take
ACT Wazalendo kinajielewa ni vile tuu Bado hakina ufuasi mkubwa.

Warundi wanateteana.
 
Back
Top Bottom