Zitto anasema 'Fuata Misingi sio watu'...

Zitto anasema 'Fuata Misingi sio watu'...

Usimhukumu Zitto kwa Chuki zako binafsi....kama amejua alilolifanya(kama unavyodai) na anataka kusahihisha basi hilo ni jambo jema...yaani wewe jamaa unataka vurugu ziendelee tu ndani ya Cdm..unapata faida gani?

...Unajua sikuzote ukiona mtuhumu anapanic hivyo na kutamani kumzuia aliyemtuhumu kupata nafasi ya kuongea ujue hana uhakika na ushahidi wa tuhuma zake,na hivyo ana hofu ya tuhuma zake ku backfire....

...Ni kawaida kwa watu kumtumia mtu kama Zitto kama mradi wa pesa au ngazi zao za kupatia umaarufu kijamii na kisiasa,lakini ni vyema wazingatie pia kuwa kutafuta umaarufu kwa njia ya kupika majungu uwa hakuna mwisho mzuri na in the long run mwisho wake ni aibu....
 
Usipoteze muda kiongozi,Yeyey ni vuvuzelkazi yake ndio hiyo.So tupilia mbali hizi kelel zake concetrate kwenye kazi zako

ama kweli Tunte ww ni kilaza, na ushabiki wako umepitiliza na hauna mashiko ndani ya CDM, watu wanatafuta suluhu wewe unaendekeza makundi na majungu, hebu wakt mwingine bwn Sanga tuweke maslahi ya chama mbele kwanza.
 
uzi umesimama unajitegemea, kwanini ? hatutaki kuuelewa au hatuutaki. kwa sababu sote hatutaki misingi ya vyama ndo maana bado tunaendelea kunyooosheana vidole mimi ni wa ZZK, hapana Mimi Ni wa MBOWE, hapana mimi ni wa SLAA nani niwa misingi ya CDM ? iliyozungumziwa ktk uzi huuu. kama hatutaki kuuelewa kwanini ? tuchangie ni vyema kwa ajili ya ugumu wa shingo zetu. tuuuukatae kwam kuwa misingi ya vyama vyetu hatuielewi kabisaaaa. lkn watu tunategemea watatusikia ,watatusoma jinsi tunavyowapigia debe alhamdullilah wakifanikiwa ntaambulia chochote, si unajua tena yule ni poooot
alieelewa vizuri ni ZITTO.hebu rejea mchango wake hapo juu.
 
Mwigulu Nchemba, jeshi la mtu mmoja nakuona.Unapitia pitia kazi za vijana kutumika na babu kutukana na kushambulia viongozi wenzao

Naona kabisa Watanzania kuendelea kuumizwa,hivi kumbe kundi hili laTUNTEMEKE ni muungano wa masalia na
ccm!!!!!? "Mungu tuhurumie watanzania tutoe kwenye mikono ya watu wabinafsi wa aina hii wenye lengo la
kutumaliza" AMEEN
 
Hakuna cha nini wala nini ZITTO ZUBERI KABWE atoswe chamani, aende CUF kama yeye anadhani is more valuable than a party, akaswali huko...
 
Zitto

Duu viongozi wangu mnavunja chungu halafu mnashangaa maji yamekwenda wapi. Take rest
 
Last edited by a moderator:
Nitashangaa sana ZZK akibakizwa na kazi muhimu za chama. Inawezekana ikawa habari zinazomhusu ni za uongo au za ukweli ila ukweli ulio wazi kwasasa jina la ZZK ndani ya CDM linaangamiza chama. Busara ni apumzishwe halafu upepo ukitulia ajiokoe.
 
"There are leaders and there are those who lead. Leaders hold a position of power or influence. Those who lead inspire us. Whether individuals or organizations, we follow those who lead not because we have to, but because we want to. We follow those who lead not for them, but for ourselves."

Huo ni utangulizi katika Kitabu cha Simon Sinek; Start with Why, How Great Leaders Inspire Everyone to Take Action, ambachoo katika list ya vitabu vilivyosomwa na Zitto hiki hakikosekani. Kinachonitatiza hapa ni NAMNA huyu mwandishi (ZITTO) anavyotushawishi tufuate misingi bila kumuangia mtu yule anayeisimamia. Hii si sahihi.

Na hata pale, tunapoamua kuwafuata hawa viongozi wanaotu-inspire, si kwa manufaa yao bali kwa manufaa yetu
 
.....the game people play, they never mean what they say and they never say what they mean.
 
Nitashangaa sana ZZK akibakizwa na kazi muhimu za chama. Inawezekana ikawa habari zinazomhusu ni za uongo au za ukweli ila ukweli ulio wazi kwasasa jina la ZZK ndani ya CDM linaangamiza chama. Busara ni apumzishwe halafu upepo ukitulia ajiokoe.

...Duh kwa hiyo Zitto apumzishwe kwa sababu Ben amesema?hiyo ni busara ya wapi hiyo??busara inataka watu kuujua ukweli na kuufanya uamuzi kwa vigezo vya ukweli na kanuni....

...who is Ben by the way? don't be too quick to trust people, mtameza ahta pumba kwa kuudhania ni mchele...

... Zitto hawezi kutolewa kwenye uongozi wa chama kwa majungu na chuki binafsi, mwisho wa siku ukweli utajitenga na uongo na kila kitu kitakuwa wazi, ebu tujisubirishe kwa kitambo kidogo...
 
Nimekuwa nikihubiri hili kwa kitambo sasa hapa JF.

Nashukuru kuona linapewa uzito linalostahili katika vyombo vya habari.

Mkuu hivi on paper kuna Chama ambacho kina misingi mibovu ? na kama vingi misingi ni mizuri ila watu (viongozi) ndio hawasimamii misingi would I be wrong kusema tunahitaji kufata watu wenye track record na wakweli ambao tunajua watafuata misingi iliyopo ? au kufuata watu wenye vision ambao tunajua kwenye shida watatuvusha?, na wasio na tamaa ambao tunajua hawatauza nchi au kujilimbikizia mali?

In short nadhani tatizo ni usimamizi na utekelezaji kwahio sidhani kama layman yoyote atakuwa anakosea kufuata watu ambao anajua wanayo maslahi ya nchi moyoni
 
Unajiandikia makala kwa kuwa unajua ulichokifanya.Makala hii haijaandikwa kwa bahati mbaya.Mipango yako ya kufanya tukio tarehe 4-6 January kabla ya CC ili kuhamisha hisia na mind za watu naijua yote.Take it from me

Huu ni utoto, mtu kama huyu mwenye upeo mdogo kiasi hiki amewezaje kuwa kiongozi wa Chadema.

Mbona unaleta mambo ya mipasho ya taarabu kwenye masuala ya msingi?

Mi sio mwanachama wa Chadema, lakini haya unayoyasema yanadhoofisha chama chenu kwa kiasi kikubwa sana.

Hufai hata kuwa kiongozi wa familia (baba).
 
Bomu litakalo fumuka,huyo ben na wewe nadhani mtakosa pa kujishikilia.Ni swala la muda tu.CHADEMA CHAMA CHA KIDEMOKRASIA

Tuntemeke if that person exists. Does this come from the better part of the bottom of your heart? Kama kweli hii ni zawadi ya kufunga mwaka kusikia for the first time unasema CDM CHAMA CHA DEMOKRASIA maana umekuwa ukikisimanga
 
Ni swala la muda tu,Fitina majungu na upuuzi wote wa babbu na crew yake wataumbuka.

Mkuu Tuntemeke

Nimesoma maandiko yako mengi unaonekana wewe ndiyo chanzo cha migogoro. Hebu funguka jamaa yangu wa nyumbani. Mzee wetu Tuntemeke alikuwa mpigania haki kwa watu wa makete. Kwa nini ndugu yangu usijaribu kuiga mfumo huo kuliko kupandikiza chuki zisizo za msingi. Naomba kama kweli unakipenda chama na kama unahoja za msingi zilipeleke kwenye ngazi husika kuliko kuchafuliana majina kwenye mitandao ya kijamii
 
Mkuu hivi on paper kuna Chama ambacho kina misingi mibovu ? na kama vingi misingi ni mizuri ila watu (viongozi) ndio hawasimamii misingi would I be wrong kusema tunahitaji kufata watu wenye track record na wakweli ambao tunajua watafuata misingi iliyopo ? au kufuata watu wenye vision ambao tunajua kwenye shida watatuvusha?, na wasio na tamaa ambao tunajua hawatauza nchi au kujilimbikizia mali?

In short nadhani tatizo ni usimamizi na utekelezaji kwahio sidhani kama layman yoyote atakuwa anakosea kufuata watu ambao anajua wanayo maslahi ya nchi moyoni

Fuata misingi, sio watu.On paper, off paper, between papers, between lines on paper, where there are no lines off paper, when you are watched, when you are doing the watching, when nobody is watching you, when you are watching the watchers, when the watchers can't watch you.

Fuata misingi, siyo watu.

Hata ukifuata misingi ndani ya watu, kimsingi hufuati watu, unafuata misingi.

Tunachokataa hapa ni hizo habari za "Tutafanya chochote Nujoma atakachosema" au "Tunataka muungano kwa sababu Nyerere kasema tusiuvunje".

And to answer your question, on paper kuna vyama kibao vina misingi mibovu.

For years tumeongozwa na CCM chini ya the carefully crafted contradictory concoction of "Ujamaa na Kujitegemea".
 
Zitto ni lulu,tegemeo kwa watanzania.mwiba kwa wala ruzuku ya chama.They needd to kill him

Na wewe don't build mountain out of the mole hill. Unavyomtukuza Zito unataka kumfanya zaidi ya malaika though hata malaika mwanzoni hawakuwa wakamilifu ndio maana walitokea kina LUCIFER na wenzake. Halafu approach yako does aim at pouring oil on the troubled waters but it aims at making contrasting parties continue flexing their muscles. Is that healthy to the party you claim to be attached to. ZZK kwenye makala yake anasisitiza misingi na sio personalities lakini wewe unashabiki personalities na kujifanya megalomenic. Watu ambao wanataka kuwaaminisha watu kuwa megalomenic siku zote hupotea na huwapoteza wengine. Mh.Zito ambaye yuko JF tafadhali wakemehe watu wa aina ya TUNTEMEKE maana theirs is not constructive but destructive. Kumbuka na wewe ni binadamu na una mapungufu yako but if it happens someone depicts you to be infallible and you stay silent that speaks the volume
 
Ni swala la muda tu,Fitina majungu na upuuzi wote wa babbu na crew yake wataumbuka.

Hapo penye red nafikiri una maana ya Dr Slaa. Kama wewe ni mfuasi wa Zitto basi ni miongoni mwa wanamhqaribu Zitto. Na zitto asipokukemea tutaamini kuwa na yeye hatufai kabisa.

Nipe ufafanuzi kwanini Dr Slaa anautesa moyo wako ?
 
SOMA SIGNATURE YANGU,Ipo siku utajua tu.Mchezo
 
Mkuu Tuntemeke

Nimesoma maandiko yako mengi unaonekana wewe ndiyo chanzo cha migogoro. Hebu funguka jamaa yangu wa nyumbani. Mzee wetu Tuntemeke alikuwa mpigania haki kwa watu wa makete. Kwa nini ndugu yangu usijaribu kuiga mfumo huo kuliko kupandikiza chuki zisizo za msingi. Naomba kama kweli unakipenda chama na kama unahoja za msingi zilipeleke kwenye ngazi husika kuliko kuchafuliana majina kwenye mitandao ya kijamii

Nakuhakikishia kamanda Utajua ukweli wa mambo soon.Utajua kwanini TUNTEMEKE ninawabomoa hawa watu,mambo wanayoyafanya mwenyezi mungu anakwenda kufichua yote mapema mwezi huu wa kwanza au wa pili.
Hapo ndipo maandiko yatatimia,Mauaji na ufisadi ni balaa
Kuwapeleka hawa malalamiko wanageuza toilet paper,wana mission yao ya kuindeleza chadema kampuni na family saccos
 
Back
Top Bottom