Zitto anasema 'Fuata Misingi sio watu'...

Zitto anasema 'Fuata Misingi sio watu'...

...Duh kwa hiyo Zitto apumzishwe kwa sababu Ben amesema?hiyo ni busara ya wapi hiyo??busara inataka watu kuujua ukweli na kuufanya uamuzi kwa vigezo vya ukweli na kanuni....

...who is Ben by the way? don't be too quick to trust people, mtameza ahta pumba kwa kuudhania ni mchele...

... Zitto hawezi kutolewa kwenye uongozi wa chama kwa majungu na chuki binafsi, mwisho wa siku ukweli utajitenga na uongo na kila kitu kitakuwa wazi, ebu tujisubirishe kwa kitambo kidogo...

Sidhani kama umesoma mistari yangu miwili au umekurupuka baada ya kuona neno apumzishwe. Siasa ni ushawishi, kukubalika, kuaminiwa, kuwajibika na kutokuhusishwa kwenye kashfa zinazoangamiza chama na taifa. ZZK amehusishwa kwenye kashfa kadhaa zenye mwelekeo wa kutumiwa na CCM ili kudhoofisha chama. Najua CC itakaa kulijadili hili ila nina wasiwasi kama wanajua hali halisi huku site jinsi hizi habari zinavyoleta madhara kwenye kujenga chama. Ni vyema wote waliohusika kwa namna yeyote ile kuhujumu chama wapunmzishwe kazi zote za chama. Huwezi kuishi na watu wanaoamini bila wao hakuna CDM wakati ni CDM ni kila mwanachama mwenye kadi na mpiga kura.

Huaminiki pumzika ukijiaminisha kwa wanachama na wananchi then welcome back. Leo utetewe na Nape, Mwigulu kweli?? Msikilize Mwigulu kibaha na matusi yale.
 
Hii makala imenikumbusha mbali sana. Enzi hizo za mijadala; kupingana kwa hoja. Siku hizi vijana wanaogopa mijadala. Wanabebeshwa ya kuongea. They are socialised to defend people rather than principles! Nakumbuka baada ya maelezo yangu kijana wa swapo alikuwa mpole sana!
 
Zitto ameamua kumvua nguo Babu Slaa!!
Izo ni akili za samaki na mwanga wa mshumaa ambao huisha kwa mda mfupi paspo kutambua hitaji la aliyeununua na kuuwasha,wana ccm wavivu wa kufkiri na wepes wa kusahau.
 
mkuu,

maneno ya busara na hekima sana haya! Ungeyatoa wakati ule naamini kusingekuwa na wingu lenye kivuli kinachokufuata sasa hivi.

Naamini umejifunza kitu kupitia malumbano yaliyoendelea hapa hususani jinsi watu wenye kiu ya mabadiliko walivyolipokea.

hamna maneno ya busara kwa mnafiki huyo. Eti rais........... Wa diamond na ommy vitundu? Achape mwendo asilete unafiki wake hum jf. Mimi nilikuwa namkubali sana huyu bwana mdogo lakin tangu ameanza unafiki na dhambi ya kujitenga kama mwanga namchukia sana na hata mvuto wake kisiasa ushapungua kwa % kubwa sana. Haka kajamaa ni kanafiki sana hata mkatetee vp hakafai kabisa na siku cdm wakimpa nafasi ya kugombea huo urais hata mimi nitatoa mali zangu zote kuisaidia ccm ishinde
 
Misingi ya chadema inasema serikali tatu. Zitto anasema serikali mbili. Zitto tupe ufafanuzi hapa
 
Unajiandikia makala kwa kuwa unajua ulichokifanya.Makala hii haijaandikwa kwa bahati mbaya.Mipango yako ya kufanya tukio tarehe 4-6 January kabla ya CC ili kuhamisha hisia na mind za watu naijua yote.Take it from me
Wewe Ben, unaulizi wa kutosha maana naona umewakaba kweli kweli, huna panya nyumbani kwako? shauri yako usije ukasema hatukukuonya...hahahahahahaha
 
hamna maneno ya busara kwa mnafiki huyo. Eti rais........... Wa diamond na ommy vitundu? Achape mwendo asilete unafiki wake hum jf. Mimi nilikuwa namkubali sana huyu bwana mdogo lakin tangu ameanza unafiki na dhambi ya kujitenga kama mwanga namchukia sana na hata mvuto wake kisiasa ushapungua kwa % kubwa sana. Haka kajamaa ni kanafiki sana hata mkatetee vp hakafai kabisa na siku cdm wakimpa nafasi ya kugombea huo urais hata mimi nitatoa mali zangu zote kuisaidia ccm ishinde
hahahahahahahahah
 
Wewe Ben, unaulizi wa kutosha maana naona umewakaba kweli kweli, huna panya nyumbani kwako? shauri yako usije ukasema hatukukuonya...hahahahahahaha

Ha ha hahahaa...Nimeaga.Malaika wa Mungu yupo!
 
hamna maneno ya busara kwa mnafiki huyo. Eti rais........... Wa diamond na ommy vitundu? Achape mwendo asilete unafiki wake hum jf. Mimi nilikuwa namkubali sana huyu bwana mdogo lakin tangu ameanza unafiki na dhambi ya kujitenga kama mwanga namchukia sana na hata mvuto wake kisiasa ushapungua kwa % kubwa sana. Haka kajamaa ni kanafiki sana hata mkatetee vp hakafai kabisa na siku cdm wakimpa nafasi ya kugombea huo urais hata mimi nitatoa mali zangu zote kuisaidia ccm ishinde
Duh [JFMP3]Chiwakara[/JFMP3]

Acha jazba Mkuu.
 
@Mohamedi Mtoi, Kitila Mkumbo,

..kwa kweli vijana wa CDM mmetia aibu kwa kuwa na makundi yanayotukana viongozi na waasisi wa chama.

..CCM pamoja na matatizo yao yote sijawahi kushuhudia wakionyesha utovu wa nidhamu kama huu tulioushuhudia kwa vijana wa CDM.
 
Unajiandikia makala kwa kuwa unajua ulichokifanya.Makala hii haijaandikwa kwa bahati mbaya.Mipango yako ya kufanya tukio tarehe 4-6 January kabla ya CC ili kuhamisha hisia na mind za watu naijua yote.Take it from me
Ben wewe ni nani katika chama au tanzania? Una uzalendo kiasi gani? au Unapelekwa kama gari bovu nawe unakwenda. tanzania inahitaji wazalendo na si watu wenye njaa ya kichwa
 
Hii makala imenikumbusha mbali sana. Enzi hizo za mijadala; kupingana kwa hoja. Siku hizi vijana wanaogopa mijadala. Wanabebeshwa ya kuongea. They are socialised to defend people rather than principles! Nakumbuka baada ya maelezo yangu kijana wa swapo alikuwa mpole sana!

Mkubwa enzi za mijadala ya tija kulikuwa na viongozi wa ukweli sasa wale wote waliokuwa wanaifanya mijadala iwe huru na hawakuwa wanaogopa ukweli tayari wamejawa tamaa na wamehongwa na mafisadi. Tayari wale walioaminika wamekuwa wabomoaji. Tusilaumu hadhira tulaumu tuliowakweza mpaka juu wanatusaliti. Leo tumetushiwa kushughulikiwa na panya wa kwetu, viongozi wetu wanaacha taaluma wanakuwa wachawi kweli kuna kitu hapa.

Ni vigumu sana TZ yetu hii kumtofautisha msomi na asiye nashule kwani kunapokuja swala la data, ukweli, analysis watu wanaegemea kwenye maslahi. Vijana makini walikataa Richmond, Dowans ilipopenyezwa rupia wakaipigia makofi. Mhando alituhumiwa kwa rushwa mara akatetewa na wengi tunaoita wasafi na watetezi wa wanyone. Katiba inapigiwa debe ili mmoja awe raisi kwa kuuza vipengele vyote vya muhimu ndani ya mabadiliko ya katiba.

Sababu ya kutetea mali asili zetu zimekuwa binafsi. Ninyi viongozi ndio mnatubadilishia mada na wananchi wanaanza kutokuwaamini na kupoteza kabisa maana ya mijadala inayojenga.

Kiongozi makini akikimbia mstari uliomjenga anatupwa nje bila kujali mtaitaje mada za wananchi. Mandelea alipewa ahadi zote za maisha ya kifahari na makaburu akakataa, martin luther king, nk ndio maana wananchi walikuwa nyuma yao wakijenga hoja ambazo zilileta usawa na haki.

Leo niambie nani anaweza kuwa mfano, hatuaminiani kwani bakuli la fedha likiwapitia wengi wanageuka na kutuachia vita sisi wasakanyoka mtaani.

Kauli tata zinazotolewa na viongozi wa sasa na ushiriki haramu kwenye vita hii ambayo waathirika ni sisi tusio wabunge, madiwani, wala viongozi wa aina yeyote zaidi ya kusapoti yeyote mwenye nia njema ya kututoa msituni huku kwenye umasikini, ujinga, maradhi, rushwa, uhujumu, kuteswa na kuonea na sheria kama tupo ugenini hatuwezi kuonekana tuna tija.

Tunataka kuanzia sasa ninyi ambao tumewaamini muache kutulalamikia msafisehe closet zenu mtoke wasafi na kauli moja. Mkiona hamwezi kuelewana ndani ya uongozi wa juu anayeona haiwezekani ajiuzulu badala ya kuwa na makundi kama masalia, pm7 nk. Ni heshima sana kuona huwezi kufanya na kikosi kilichopo na kuachia ngazi ukasubiria kikosi kingine kuliko kuendelea kuwa mnafiki huku ukitamani kuchoma nyumba wote hata wasio na hatia waangue.

Vijana wa sasa hasa wa nchini kwetu (sio wote) wanakosa mwelekeo hawajui wanataka nini wala wanataka kwenda wapi, ndio maana ni rahisi sana kujizika kwa kibaba cha mchele.

DR ukiona mijadala imekuwa mikali na ukiisoma kwa undani utaona wazi vijana humu JF na site zote mtaani wamekatiswa sana tamaa na ushiriki wa vijana walio waamini kutaka kuiuwa CDM kwa tamaa zao au ugomvi wao binafsi au kununuliwa kwa vipande vya fedha. Waambie hao ndio sababu ya kuharibu mijadala.

Mijadala hii imekuwa kioo cha jamii, elimu, na makuzi mazuri sana kwa viongozi wa aina zote. Tumeshuhudia kashfa za aina zote kutoka kwenye nyumba za ibada, serikli, bungeni, jamii nk. Sasa kashfa zimneamia kwetu ndani ya nyumba tusiziogope tuonyeshe tupo tofauti na wao. Makundi hayajawahi kuservive popote duniani. Lazima mkubali kumeza mkaa wa moto watoswe majini wote watakaobainika kutvuruga sisi walalahoi waamka hoi.

Kujadili watu imeanzishwa na vinara wa siasa kwasababu zao binafsi za kutaka madaraka. Nimewasikia wengi, na nami ninaushahidi mkubwa kwa hilo, ni tabia ya tamaa na kiongozi kushindwa kabisa kufikiri. kwa nini usimshende mwenzekao kwa utendaji unataka kushindana kwamajungu na tuhuma. leo hii hapa JF viongozi wengi wengi wana ID zaidi ya tatu. Za kujisafisha, kuwaponda wenzao, kuanzisha majungu, na kuvuruga mijadala ili kulinda statue quo.

Vita vya madaraka vinaitafuna sana TZ na vyama vya siasa.

Ni maneno ya
Chief Mkwawa wa Kalenga. Kwa haki tutashinda
 
Huwezi kunyoshea vidole ufuasi wa mtu wakati huo huo ukiwa mmiliki wa kikundi cha watu wanaokutangaza wazi wazi kwamba wewe ndiye Rais 2015 kwenye social networks huku ukishuhudia na kupiga nao picha bila kuwakemea.

Wanasiasa vijana tuache unafiki huu

Hivi wewe Ben Saanane na wewe ni mwanasiasa?

Chama
Gongo la mboto DSM
 
Last edited by a moderator:
Hii makala imenikumbusha mbali sana. Enzi hizo za mijadala; kupingana kwa hoja. Siku hizi vijana wanaogopa mijadala. Wanabebeshwa ya kuongea. They are socialised to defend people rather than principles! Nakumbuka baada ya maelezo yangu kijana wa swapo alikuwa mpole sana!
Kitila Mkumbo
Kazi bado hujamaliza wamezuka kina Sam Nujoma ndani ya Chadema; badala ya kuwa watetezi wa demokrasia ya kweli nyumba imegeuka ni uwanja wa kupigiana siasa za mapande; kwa ufafanuzi wako huo ndio ukweli ila kwa wale waoga wa demokrasia wanaweza kukuona wewe ni msaliti.

Chama
Gongo la mboto DSM
 
Last edited by a moderator:
Mjibu mjumbe hoja yake wewe ninani katika chadema maana hujulikani majukwaani bali mitandaoni tu kazi yako pale ni kumharibia tu Zitto au?

Kijana ni kweli unamharibia ZZK? Mjibu kijana

Jadili hoja usijadili watu...

Watu ndio wanaunda hoja, hata mahakani huw wana angalia tabia ya mleta ushahidi au kesi ili wamjue yukoje waweze kujadili hoja zake

Unajiandikia makala kwa kuwa unajua ulichokifanya.Makala hii haijaandikwa kwa bahati mbaya.Mipango yako ya kufanya tukio tarehe 4-6 January kabla ya CC ili kuhamisha hisia na mind za watu naijua yote.Take it from me

Chonde chonde atafanya nini na mwandishi ni nani kwa jina halisi??

Ben,

Taratibu za chama zinachukuliwa kuhusu tuhuma zako dhidi yangu. Ni busara ya kawaida Kabisa kwamba tusubiri mchakato wa chama.

Tarehe ambazo unataja chama kitakuwa na vikao Kwa hiyo hayo unayosema ni masuala ya kufikirika. Isipokuwa kama una uthibitisho peleka kwenye chama.

Kuendelea kujibizana Humu ndani ni kutoa fursa Kwa maadui zetu.

Hebu kuwa na Subira kidogo chama kifanyie kazi madai yako. Ukweli utajulikana tu. kumbuka ukweli hautengenezwi. Ukweli hutafutwa.

Ok ZZK kwani ni kitu gani mnaongelea kwani inavyosomeka mnaelewana ila kwa lugha ya kujificha. Funguka mkubwa.

Kati ya mambo ambayo ninependa kuuridhisha moyo wangu na kuuwacha huru ni tuhuma zote z masalia na PM7 ziongelewe kwa kina ndani ya vikao vyenu na ushahidi usio na mawaa utolewa na hukumu safi isiyo na doa la upendeleo kubebwa au kuogopwa itolewe ili tuweze kuwajua kuwatosa na kuwaamini wote waliohusishwa hata kwa kutajwa tu.
 
Ben,

Taratibu za chama zinachukuliwa kuhusu tuhuma zako dhidi yangu. Ni busara ya kawaida Kabisa kwamba tusubiri mchakato wa chama.

Tarehe ambazo unataja chama kitakuwa na vikao Kwa hiyo hayo unayosema ni masuala ya kufikirika. Isipokuwa kama una uthibitisho peleka kwenye chama.

Kuendelea kujibizana Humu ndani ni kutoa fursa Kwa maadui zetu.

Hebu kuwa na Subira kidogo chama kifanyie kazi madai yako. Ukweli utajulikana tu. kumbuka ukweli hautengenezwi. Ukweli hutafutwa.

nafikiri atakuwa amekuelewa lakini ndiyo kazi ya vijana lazima uende nao taratibu mwisho wa siku mambo yatakuwa sawa.Kwa hali ya kawaida hakusaidii chochote kuwekana wasiwasi kwenye mitandaoo kuhusu mikwaruso yenu wakati inajulikana kabisa kuna protocol za chama na misingi yake kama kuna utofauti ni nini cha kufanya sio kutoka nje na kusemasema ovyo

Endelea kuwapa shule na vikao vyenu naamini vitatoa majibu ya kuendeleza chama kuzingatia misingi ya chama
 
Ben,

Taratibu za chama zinachukuliwa kuhusu tuhuma zako dhidi yangu. Ni busara ya kawaida Kabisa kwamba tusubiri mchakato wa chama.

Tarehe ambazo unataja chama kitakuwa na vikao Kwa hiyo hayo unayosema ni masuala ya kufikirika. Isipokuwa kama una uthibitisho peleka kwenye chama.

Kuendelea kujibizana Humu ndani ni kutoa fursa Kwa maadui zetu.

Hebu kuwa na Subira kidogo chama kifanyie kazi madai yako. Ukweli utajulikana tu. kumbuka ukweli hautengenezwi. Ukweli hutafutwa.

ukweli hautafutwi, ukweli ni utupu upo wazi kwa kila mwenye jicho hai na akili timamu kuuona, unachotakiwa kufanya ni kuchutama na kuomba taulo safi vinginevyo ukiendelea kujifanya una uso wa mbuzi utaonekana mtu wa ovyo
 
Back
Top Bottom