Zitto anasema 'Fuata Misingi sio watu'...

Zitto anasema 'Fuata Misingi sio watu'...

Mh! Hebu ianike hiyo mipango mkuu. Hatutaki kuacha uchafu nyuma yetu. Kwa nini kuficha? Narudia tena hebu imwage hiyo mipango basi.

Furaha ni kuona unaicheza ngoma usiyoijua,lakini ni kawaida sana kushabikia uongo kuliko ukweli.Soon ukwlei utapatikana
 
uzi umesimama unajitegemea, kwanini ? hatutaki kuuelewa au hatuutaki. kwa sababu sote hatutaki misingi ya vyama ndo maana bado tunaendelea kunyooosheana vidole mimi ni wa ZZK, hapana Mimi Ni wa MBOWE, hapana mimi ni wa SLAA nani niwa misingi ya CDM ? iliyozungumziwa ktk uzi huuu. kama hatutaki kuuelewa kwanini ? tuchangie ni vyema kwa ajili ya ugumu wa shingo zetu. tuuuukatae kwam kuwa misingi ya vyama vyetu hatuielewi kabisaaaa. lkn watu tunategemea watatusikia ,watatusoma jinsi tunavyowapigia debe alhamdullilah wakifanikiwa ntaambulia chochote, si unajua tena yule ni poooot
 
Ben,

Taratibu za chama zinachukuliwa kuhusu tuhuma zako dhidi yangu. Ni busara ya kawaida Kabisa kwamba tusubiri mchakato wa chama.

Tarehe ambazo unataja chama kitakuwa na vikao Kwa hiyo hayo unayosema ni masuala ya kufikirika. Isipokuwa kama una uthibitisho peleka kwenye chama.

Kuendelea kujibizana Humu ndani ni kutoa fursa Kwa maadui zetu.

Hebu kuwa na Subira kidogo chama kifanyie kazi madai yako. Ukweli utajulikana tu. kumbuka ukweli hautengenezwi. Ukweli hutafutwa.
Mkuu,

Maneno ya busara na hekima sana haya! Ungeyatoa wakati ule naamini kusingekuwa na wingu lenye kivuli kinachokufuata sasa hivi.

Naamini umejifunza kitu kupitia malumbano yaliyoendelea hapa hususani jinsi watu wenye kiu ya mabadiliko walivyolipokea.
 
Nimekuwa nikihubiri hili kwa kitambo sasa hapa JF.

Nashukuru kuona linapewa uzito linalostahili katika vyombo vya habari.
 
Hii ishu ni zaidi ya personalities.

How did Ben knew it was Zitto's writings? And how quick he was to confirm his tipping!

Ni muhimu CHADEMA wakafanyia kazi na kutoa maamuzi HARAKA SANA!
 
Zitto

Like I said article nzuri ila I beg to differ kidogo... in reality ambapo wananchi wengi hawana vyama wala hawajui sera za vyama... na ambapo wanasiasa wamekuwa waongo wasiofata misingi inayowaongoza na kusema hiki na kufanya kile..., what can be done zaidi ya kufata watu (leaders) ambao unajua ni wasafi na they have good intentions at heart for the country?

Kumbuka hata kama Taasisi ina misingi mizuri kiasi gani kwenye mikono ya watu wabovu misingi itayumba... na hata kama misingi ni ya hovyo kwenye watu makini itawekwa sawa....

In short cha muhimu ni kwa viongozi waliopewa dhamana wahakikishe kwamba wanafanya kila jambo kwa manufaa ya wananchi waliowapa dhamana...., kwahio mkuu huoni kwamba kama kuna kiongozi mwenye track record na kuonyesha usafi na uwezo wa kuongoza ni vema kwa wale wasio na vision kama yeye wamfuate na kumpa support? ukizingatia mtu yeyote anaweza (kutalk a good talk.... lakini ikija kwenye walk the walk yanakuwa mengine)
 
Last edited by a moderator:
chemba naye anapitia mambo naona kama kuna kamchezo fulani hivi kwanini ben kila siku na kwanini zitto baada ya kujibu tuntemenke amekuja faster endeleni ku connect dots
 
chemba naye anapitia mambo naona kama kuna kamchezo fulani hivi kwanini ben kila siku na kwanini zitto baada ya kujibu tuntemenke amekuja faster endeleni ku connect dots

tuntemeke naaam
 
Mh! Wengi walisema ujana maji ya moto, lakini tambueni kuwa watanzania wengi matumaini yao makubwa yamebaki kwa CDM mchezo wenu ni maumivu kwa wengi.Wake up ZZK utuonee huruma Watanzania tunasubiri ukombozi kutoka CDM, michezo yenu inatuumiza jamani.
 
hii ishu ni zaidi ya personalities.

How did ben knew it was zitto's writings? And how quick he was to confirm his tipping!

Ni muhimu chadema wakafanyia kazi na kutoa maamuzi haraka sana!

ben akilala anamuota zitto,akiamka anamuwaza zitto..akikaa pale makao makuu ya chama anaposhinda siku hizi anamuwaza zitto.akiwa mamba club anamuwaza zitto.
Amechanganyikiwa kwa sababu ya zitto,so zitto ni kiboko
 
Mh! Wengi walisema ujana maji ya moto, lakini tambueni kuwa watanzania wengi matumaini yao makubwa yamebaki kwa CDM mchezo wenu ni maumivu kwa wengi.Wake up ZZK utuonee huruma Watanzania tunasubiri ukombozi kutoka CDM, michezo yenu inatuumiza jamani.

hAHAHAHA Wanaocheza michezo hii kila kitu hadharani na hii itakuwa xclusive kwenye tv live.Michezo michafu na imegharimu watanzania wengi.Zitto atabaki kuwa my Hero
 
Huwezi kunyoshea vidole ufuasi wa mtu wakati huo huo ukiwa mmiliki wa kikundi cha watu wanaokutangaza wazi wazi kwamba wewe ndiye Rais 2015 kwenye social networks huku ukishuhudia na kupiga nao picha bila kuwakemea.

Wanasiasa vijana tuache unafiki huu
kwanza nakupongeza kwa kupata benchi la kukalia siku hizi pale makao makuu,Hongera sana naona umerudi zizini kwa shangwe mara baada ya kuingia ethinic group tofauti. Hongera pia kazi uliyoifanya sio ndogo kijana, japo sijui kama ni riziki ama kitu gani unatafuta! Ukweli utajulikana kazana na siasa zako za maji taka na kujifanya kuwa wewe ndiyo msafi a mtukufu. Pia soma signature yangu.Kumbuka utalia na kusaga meno
 
Wakuu, Ben saa nane na mh. Zitto. Chonde chonde kama kunauwezekano wa kuketi pamoja na kutatua tofauti hizi basi lifanyike mapema. Chama (CDM) kwa sasa pamoja natumai mnaelewa ni jinsi gani kime kaa kwenye truck, na kipo speed ipi katika kutimiza malengo na ndoto za watanzania walio wengi.

Mkumbuke msemo usemao "mafahari wawili wapiganapo ziumiazo ni nyasi"

Bare in mind zat, mlumbano ya hoja myaoneshayo kwenye hii mitandao ya kijamii yanabaki kama kumbukumbu, na vile vile nikukumbusheni, muwe na jicho la tatu katika kutizama impact or effects zeke in near future if not for nex negeneration.

LETS BUILD UP ZE PARTY IN GOOD SOUL OF UNIT FOR COMING FREEDOM.

God bless Tanzanian, God bless Africa.
 
Ficha upumbavu wako,hekima mbele.Mbona unapenda kuhubiri yasiyikuwepo???
lipi lisilokuwepo???? nani kati yangu na wewe ametumia neno ethnic group??? soma utumbo uliomtumia Ben utalikuta ilo neno - shame!!! by the way nime-quote,nikabold na ku-underline na bado unakana????
 
Furaha ni kuona unaicheza ngoma usiyoijua,lakini ni kawaida sana kushabikia uongo kuliko ukweli.Soon ukwlei utapatikana

Mkuu sishabikii wala kucheza ngoma yoyote ya mtu anaye dai kufahamu ukweli juu ya jambo fulani wakati huohuo anashindwa kuthibitisha madai yake. Nadhani hukunielewa. Nia yangu ilikuwa kumtaka Ben aweke wazi hiyo mipango kama kweli ana nia ya dhati. Nadhani anayo majibu ya kwa nini hakuwa wazi ktk madai yake.
Ifikie hatua tusiwe washabiki wa kitu bila kujiridhisha kama kweli kinacho zungumzwa ni sahihi ama la. Nadhani angalau umenipata.
 
Back
Top Bottom