Zitto amburuza Kilewo polisi

Zitto amburuza Kilewo polisi

Status
Not open for further replies.
Zitto hana ushahidi wa kumtia hatiani Henry Kilewo, hiyo ni kutapa tapa maana hicho anachokilalamikia hakionekani.
 
Last edited by a moderator:
Wote tunajua kuwa Ben Saanane ni verified user member wa JF.... Ombi laku ni kumtaka aje athibitishe kama kweli alitumiwa mgao wa vijisenti kutoka kwa Prezooo! Na zilikuwa kwa lengo lipi? Kama alilipwa kwa kupiga deki nyumbani kwa ZZK - Prezooo atueleze... Plz Mods muiteni Ben Saanane aje kujibu......


Ha habhaaaa jamani kesi kama ipo na.ishu ndio hiyo tutamsikia kwenye ushahidi
 
Zitto hana ushahidi wa kumtia hatiani Henry Kilewo, hiyo ni kutapa tapa maana hicho anachokilalamikia hakionekani.

Itajulikana huko sasa kwenye vyombo maaana ya mtaani yametosha!!!!!!!
Hayaonekani vipi sasa wakati wewe ni muumini wa hayo???!!!
 
Last edited by a moderator:
chadema wataisoma namba,

mm chadema ikifa siwezi kulia nitaitupa mto kagera.

wabaguzi, wadini na wafitini mungu akiaangamizilie Mali
 
Pepo likishatibuliwa huwa linafurukuta na pepo shetani akitolewa ni kawaida kurudi kulipiza akiwa na jeshi sasa hapa mapepo WATU yanayomsaport Zito yameamka
 
Kwa tuhuma hizi na kinachoonekana kufanywa na Zitto

Safari hii asipofukuzwa nitaangalia utetezi wangu juu ya sera na viongozi wakuu wa chama changu.
 
Kileo ni mhalifu sana huyu kijana bado anakesi ya kumwagia watu tindikali leo kaibuka tena na kesi ya jinai.
 
Inaelekea polisi wanarespond haraka kwa Mheshimiwa kulinganisha na wengine wanapopeleka madai yao!
 
Nilichofurahi Kilewo anatetewa na Mkurugenzi mpya wa Sheria Chadema Peter Kibatala.
 
Very strange, ZITTO ka panick kabisa how childish yaani hasira za Mkizi
Lakini tangu awali alisema atawaburuza mahakamani wote waliohusika kuandaa na kusambaza ule waraka.
Nadhani move ndo imesha anza hivyo.
 
Inaelekea polisi wanarespond haraka kwa Mheshimiwa kulinganisha na wengine wanapopeleka madai yao!

Licha ya kubaka kapuya yupo mswazi anaendeleza dozi kwa vimada.
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom