Zitto amburuza Kilewo polisi

Zitto amburuza Kilewo polisi

Status
Not open for further replies.
Hii ni Hollycdm na mziki mzito. Ooo Zzk. Kawa yatima ktk ukskzn
Ooo CHG timua timua timua timua. Hii ndo Chagga jazz band. Yeee babake na baba yo yoo yoooo
Tukimaliza Chigoma kisha Cnyanga Ukifika Mbeya fungal kazi. Sugu rudi kufoka foka khakha. Casa za milima haiwezi kukutana
 
Sasa huyu Henry Kileo mbona muoga hivi?! Ni hivi karibuni tu aliingia na VUN yake akisema yeye haogopi polisi.

Jana anasema hajui ni waraka gani tena? MACHADEMA kweli ni majanga! Mimi nilidhani angesema ule waraka ni wakweli na yote yaliyomo ndani ili ionekane kweli Zitto ni msaliti.

Sasa anapokanusha kuujua ule waraka kutoka makao makuu, inamaanisha zile shutuma sio za kweli?

Kweli mungu hamfichi mnafiki! Utataja chanzo cha huo waraka kabla hujapost kwenye blog yako. Labda usema ni hiyo blog sio ya kwako!

Mnafiki ni mbaya kuliko muuaji.
 
Sio rahisi kama upeo wako unavyofikilia,siasa is more than jf comments,siasa ni vitendo
ACTIONS SPEAKS LOUDER THAN WORDS.....

Hivi JF ina members wangapi? Mbona watu wanjiamini hivyo as if wao ndiyo wanajua kila kitu. Nakama kweli wangekuwa siyo waoga, kwanini wanatumia ID za uongo kuficha uhalisia wao. Nitamuamini sana mtu ambaye ni VERIFIED USER lakini sisi wengine wote tunapiga blah blah tu.
 
Ha ha hahaha! Nilitegemea angekwenda kumshitaki Yericko Nyerere, ila amepima kina cha maji cha Yericko akaona ni sawa na kuzamia meli ya mgiriki, sasa kaona kwa Kilewo ndo mteremko.
Bado naamini Yericko Nyerere ni kiboko ya Zitto.

Lol,

Nimecheka sana,eti zitto apime kina cha maji cha yericko?

Acha kumkejeli yericko,hastahili kejeli kwa sasa huyu mpiga ripu,anastahili kuhurumiwa tuh,

We unadhan huyu wa kupoteza muda wa watu??huyo ni tapeli tuh thats why hata MODS WAMEAMUA KUMPOKONYA VERIFICATION ID YAKE

😎 😎
 
Henry Kilewo vipi tena kamanda unaukana waraka wako au umeona hali mbaya.
 
Sasa huyu Henry Kileo mbona muoga hivi?! Ni hivi karibuni tu aliingia na VUN yake akisema yeye haogopi polisi.

Jana anasema hajui ni waraka gani tena? MACHADEMA kweli ni majanga! Mimi nilidhani angesema ule waraka ni wakweli na yote yaliyomo ndani ili ionekane kweli Zitto ni msaliti.

Sasa anapokanusha kuujua ule waraka kutoka makao makuu, inamaanisha zile shutuma sio za kweli?

Kweli mungu hamfichi mnafiki! Utataja chanzo cha huo waraka kabla hujapost kwenye blog yako. Labda usema ni hiyo blog sio ya kwako!

Mnafiki ni mbaya kuliko muuaji.

Huyo jela amezoea,

Ha ha ha,ameanza kuweweseka si anajua shughuli yake??
 
Licha ya kubaka kapuya yupo mswazi anaendeleza dozi kwa vimada.

Ishu ya akina Zitto imeshaisha tayari sasa turudi kwa kapuya. tunataka haki itendeke kapuya yuko wapi? polisi tuambieni hatua mlizochukua hadi sasa, kuna watu walikuwa wanalialia humu ...ooh nendeni polisi...nendeni polisi. haya sasa tayari imeisharipotiowa polisi Oysterbay tunataka majibu mmechukua hatua gani?
 
Jitayarishe uende ukasema ule uzi uliounzisha JF wa tuhuma kwa Zitto chanzo chake ni wapi. Au uliutunga mwenyewe?

Mimi tayari nilishahojiwa, wala sina hofu,

ninafurahi kuona ndugu yetu akihangaika,

Kesi ya msingi iliyopo polisi siyo kile kinachoitwa ripoti, bali ni kutishiwa maisha kwa zitto.

Kumbuka gazeti la Nipashe la jana na Jamhuri yameitoa ile ripoti bila kuweka chanzo, hivyo wahariri wake wanajua ukweli wake,

Polisi sio wanasiasa wao wanatafuta jinai ya msingi iliyofunguliwa na Zitto, ripoti ni sehemu tu ya maswali ukiwa pale polisi.

Zingatia kuwa Zitto alishautangazia umma kuwa ameshampata aliyemtishia akamtaja kwa jina kuwa ni Theo Mtahaba, na zaidi akasema amemjua hadi wasifu na kipato chake.

Kileo leo hii hana kesi ya kujibu zaidi ni kumkumbusha mpelele tu kuwa wamwambie Zitto awaonyeshe mr Mtahaba alipo na kesi ya msingi ipelekwe mahakamani.

Tuache porojo tulisaidie jeshi la polisi lifanikiwe kumpata Mr Mtahaba aliyemtishia maisha Zitto
 
Last edited by a moderator:
Lol,

Nimecheka sana,eti zitto apime kina cha maji cha yericko?

Acha kumkejeli yericko,hastahili kejeli kwa sasa huyu mpiga ripu,anastahili kuhurumiwa tuh,

We unadhan huyu wa kupoteza muda wa watu??huyo ni tapeli tuh thats why hata MODS WAMEAMUA KUMPOKONYA VERIFICATION ID YAKE

😎 😎

Mods mnaweza kumjibu huyo kijana?

cc Invisible
 
Inaelekea polisi wanarespond haraka kwa Mheshimiwa kulinganisha na wengine wanapopeleka madai yao!

Hapo ndiyo ujue wazi kabisa kwamba Zitto ni gamba wa ukweli hakuna ubishi hapo.
Dogo kachanganyikiwa kila anachofanya anazidi kujianika.
Kuulinda uwongo ni kazi
 
Last edited by a moderator:
BEN SAANANE KAMA NA WEWE NI MMOJA WA WAPOKEA HUO MLUNGULA MAANA YAKE NA WEWE NI MIONGONI MWA WALE WALE WANAFIKI WASIOFAA NDANI YA CHAMA NI BUSARA UKAJIENGUA MAPEMA WAKABAKI WACHACHE WALIO SAFI AU FAFANULIA WANA CDM DHIDI YA SUALA HiLI[/COLOR][/QUOTE]

Mkuu Ben yumo kwenye waraka ule ambao unasomeka Zitto alianza kuchunguzwa around 2008/9 na Ben alikuwa coordinator wao enzi za kina Prezo/Zitto, Benazir Bhutto/J. Shonza etc, kabla hajajiondoa kwenye PM7 na ndio maana wanatupiana cheche sana na kina Mwampamba,Mchange na Shonza kuwa aliwavua nguo then akawaacha kama mbuzi!!
 
Maskini Kilewo eti hajui ni waraka gani?

Alivyokuwa anachafua watu kwenye blog yake hakujua haya?

http://kilewo2015.blogspot.co.uk/2013/11/ripoti-ya-siri-juu-ya-zitto-kabwe.html?m=1
 
Wote tunajua kuwa Ben Saanane ni verified user member wa JF.... Ombi laku ni kumtaka aje athibitishe kama kweli alitumiwa mgao wa vijisenti kutoka kwa Prezooo! Na zilikuwa kwa lengo lipi? Kama alilipwa kwa kupiga deki nyumbani kwa ZZK - Prezooo atueleze... Plz Mods muiteni Ben Saanane aje kujibu......

Usisahau kauli hii Kula ccm................lala CHADEMA

Hongera sana Ben Saanane
 
Last edited by a moderator:
Mimi tayari nilishahojiwa, wala sina hofu,

ninafurahi kuona ndugu yetu akihangaika,

Kesi ya msingi iliyopo polisi siyo kile kinachoitwa ripoti, bali ni kutishiwa maisha kwa zitto.

Kumbuka gazeti la Nipashe la jana na Jamhuri yameitoa ile ripoti bila kuweka chanzo, hivyo wahariri wake wanajua ukweli wake,

Polisi sio wanasiasa wao wanatafuta jinai ya msingi iliyofunguliwa na Zitto, ripoti ni sehemu tu ya maswali ukiwa pale polisi.

Zingatia kuwa Zitto alishautangazia umma kuwa ameshampata aliyemtishia akamtaja kwa jina kuwa ni Theo Mtahaba, na zaidi akasema amemjua hadi wasifu na kipato chake.

Kileo leo hii hana kesi ya kujibu zaidi ni kumkumbusha mpelele tu kuwa wamwambie Zitto awaonyeshe mr Mtahaba alipo na kesi ya msingi ipelekwe mahakamani.

Tuache porojo tulisaidie jeshi la polisi lifanikiwe kumpata Mr Mtahaba aliyemtishia maisha Zitto

Nani akuhoji wewe??

Una nini cha kuhojiwa,watu tunakucheza shere tuh humu ndani,

Tunakufanya kama mwanasesere tuh,eti nayeye anasema ana mwanasheria,lol..

Yan unataman maisha yasiyo yako wewe pimbi,

ENZI ZILE ULIPOKAWA UNATAMBA NA VERIFIED ID NILISHAWAHI KUKUAMBIA KUWA WEWE NI TAPELI NA FAMILIA YA NYERERE HAIKUTAMBUI,SO MIMI NAKUITA YERICKO "X',UKANISHITAKI KWA MODS NIKAPIGWA BAN,SASA LEO MODS WAMETAMBUA UKWELI WA YALE AMBAYO TULIKUWA TUNASEMA HUMU SIKU ZOTE,SASA KWA RAHA ZANGU NAKUITA YERICKO X,VIPI UNAWEZA KUNISHITAKI KWA MODS??

😎 😎 CC Ritz MwanaDiwani kahtaan CHAMVIGA Ng'wamapalala@Bokoharam n etc,

Tapeli maarufu wa JF anapatikana anga hizi leo...
 
Last edited by a moderator:
Huyu msaliti anatapatapa sana. Ngoja tumfukuze rasmi chadema.

Madaraka matamu, yaani alijiona yeye ni super dtsr kwamba Chadema hawangeweza kumuweka kando, sasa yuko na wenge kama mtu alieplgwa kelbu
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom