Zitto amburuza Kilewo polisi

Status
Not open for further replies.
ni blog tu hiyo huwezi mshitaki mtu na yeye chini aliandika source mtandao mwingine so hamna kesi hapo, albeto anashindwa kumshauri zzk kweli
 
Jitayarishe uende ukasema ule uzi uliounzisha JF wa tuhuma kwa Zitto chanzo chake ni wapi. Au uliutunga mwenyewe?

madam faiza foxy, kwa nini ninyi manyinyiem mnamtetea sana mbunge wa kigoma kaskazini kwa usaliti alioufanyia chama chake? what is the reason behind madam faiza foxy?
 
Last edited by a moderator:
yaani mtu kwenda polisi/mahakamani kutafuta haki mnabeza?,nenda zito achana na wafuasi wasiojielewa.
 
madam faiza foxy, kwa nini ninyi manyinyiem mnamtetea sana mbunge wa kigoma kaskazini kwa usaliti alioufanyia chama chake? what is the reason behind madam faiza foxy?

Tanzania hakichaguliwi chama anachaguliwa mgombea. Zitto anakubalika popote awapo.
 
Last edited by a moderator:
magaidi wanajua kweli kumtaja mungu.

maskini kijana wa watu umemharibu kwa tindikali.

 

Tanzania tukiwa na watu kama wewe tunaendelea sana
 
Polisi yetu hawana uwezo wa kushughulikia makosa ya mawasiliano ya kimtandao.

Badala ya kumuita Kilewo wangechukua court order kuchukua computer zake kuzifanyia forensic analysis.

Wameisha establish original source? Ili wachukue hizo IP address na data nyingine kama muda wa kupost huo waraka?.

This is a case of evidence, you can not convict someone on cyber crime without proving beyond reasonable doubt to be source. Tuhuma hizi ni ngumu kuzihakiki
 

........Nondo paraghraph !!!! bravo Kamanda
 

....ni sawa na kurusha ngumi hewani
 
Kama huyu Ben sanane hakupokea hela toka zzk basi zitto ni mkweli

bensanane toa ufafanuzi hukupoke pesaa????????????

Acha unafiki fafanua jambo hiliii!!!
 
Last edited by a moderator:

ukichunguza ile website ya wordpress ambako kilewo alichukua ile taarifa, profile ya mmiliki wake haipatikani. Vilevile huwezi kutrace IP ikiwa alitumia public wifi.
 
Kileo ni mchaga??????? Basi hii janga ktka chama hikii
 


U -over come na nani???

Unajua wewe jamaa ni mwehu sana??wewe wakati unanyea debe kule selo ulishamuona slaa,zitto,mnyika,lisu na mbowe wapo huko selo wananyea debe pamoja nawewe??au ushawahi kuona missukule wenzako wanaingia selo pamoja nawewe?sasa usiseme,"we shall",,siku zote unapoenda selo huwa unaenda pekeyako kama kawaida yako NDANDA KOSOVO MJELA JELA,JELA IPO SPECIAL KWA WATU MABWEGE NA MSIO JITAMBUA KAMA NYINYI....
 

Hiyo nchi yako unayotaka kuikomboa inaitwaje? Kaskazini?
 
Status
Not open for further replies.
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…