Zitto akera wajumbe kamati kuu CHADEMA - Tanzania Daima

Zitto akera wajumbe kamati kuu CHADEMA - Tanzania Daima

Status
Not open for further replies.
ZeMarcopolo una kazi gan ya uzalishaji unayofanya? Maana mwenzetu 24/7 unapambana na Chadema
Hata kupambana na CHADEMA nayomni kazi kama nyie mnavyopqmbana na CCM. Nikuulize, hivi Dr Slaa huwa anafanya kazi gani nje ya kazi ya siasa?
 
Kwa hiyo we unaona ni sawa kwa mjumbe muhimu kukacha kikao nyeti?
Amekacha au hajapewa barua ya mwaliko? Acheni uzushi bandugu. Zitto hajapewa mwaliko wa kikao hicho na wala hajashirikishwa kwenye maandalizi yake
 
usaliti mbaya. sijui hajajifunza kwa kafulila alipo pigwa chini akaanza kulia na kudondosha kamasi zito. sasa huyu anapata faida gani kuwa kondom ya magamba
Na sijuwi kwanini chadema hawa mfukuzi zito..wana mlea lea tuu..apigwe chini aende zake kwa magamba.
 
kwanini wasmpokonye hicho cheo akatauliwa mwingine jamani tumechoshwa na habari za huyu rafa.
 
usaliti mbaya. sijui hajajifunza kwa kafulila alipo pigwa chini akaanza kulia na kudondosha kamasi zito. sasa huyu anapata faida gani kuwa kondom ya magamba
Weeeeee! Hiyo haiwezekani kwa Zitto. Ukitaka hata panya asibaki kuwa mfuasi wa CHADEMA, mpigeni chini Zitto maana yule jamaa ana nguvu sana ndani ya CDM.
 
Huu ni ushindi kwa zitto japokuwa maadui zake wataitumia kumnanga.
 
Hata hivyo hii itakuwa furaha kubwa sana kwa Mbowe, Slaa na vifaranga vyao manake wawepata kupumua ila angekuape huenda angelinukisha.
 
Ripoti kuipata sio mpaka uwepo kwenye kikao. Andikeni ripoti wapeni wanachama na viongozi wazione. Acheni porojo kwenye masuala ya pesa.

kwny kikao kuna ripoti au minutes!punguza ogasm na CDM,mana ukisikia cdm tu mwili unalendemka,na kuanza kupinda pinda mgongo
 
Halafu hakuna la maana lilolojadiliwa la msingi mpaka Tanzaniadaima kuandika hii taarifa isiyo na tija yoyote? Naona linaendeleza siasa za kumchafua zitto.
 
Hata kupambana na CHADEMA nayomni kazi kama nyie mnavyopqmbana na CCM. Nikuulize, hivi Dr Slaa huwa anafanya kazi gani nje ya kazi ya siasa?

Unaelewa maana ya kazi yauzalishaji wewe poyoyo?
 
Vikao vyote vya kamati kuu viko kikatiba.hicho sio kikao cha dharura.Zitto alijua toka januari kuwa kutakuwa na kikao. Akupe hela ingine uje upya
 
Inaelekea akina Mbowe wanamtega Zitto. Ndo maana wanaandaa kikao mara nyingi akiwa nje ya nchi

Acha Upotishaji.Ni kikao cha Kikatiba sio cha dharura.Hivi vinajulikana kwa mwaka mzima isipokua baadhi ya ajenda.Kwa mfano mwanzoni mwa mwaka ujao tayari inajulikana kuna vikao vya CC kisha baadae Baraza Kuu

Kikao hiki cha Kamati kilipangwa na wiki 3 kabla ya Kikao ilijulikana kuna kikao tarehe ngapi na wapi

Ajenda za Kamati kuu huanzia Serkretarieti ambako Katibu Mkuu na Manaibu wake ndio viongozi wakuu wa Sekretarieti.Siasa hizi za kiujanja ujanja tuachane nazo.Tuwe determined na tuache mawenge ya Kisiasa.Unapotosha watu
 
  • Thanks
Reactions: Pai
Inaelekea akina Mbowe wanamtega Zitto. Ndo maana wanaandaa kikao mara nyingi akiwa nje ya nchi

Vikao vyote vya kamati kuu viko kikatiba. Na hiki sio kikao cha dharura, mbona Zitto alijua toka januari kuwa tare20 /11 kutakuwa na kikao.kachukue hela nyingine uje upya
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom