Zitto akera wajumbe kamati kuu CHADEMA - Tanzania Daima

Status
Not open for further replies.
Zito afukuzwe huyu ni mtu asiye na utulivu, kwa ufupi ni ndumila
 
Zitto hatak kuhudhuria vikao kwa sababu anaogopa kuchanwa live.

Kwa hii picha kuna ukweli wa usaliti dhidi ya tuhuma zake za kukisaliti chama.

Tulisema kambi ya PM7 ivunjwe rasmi in his presence, sasa anajishaua shaua kama kawaida yake ya kutohudhuria vikao vya chama
 
Kama mnaona Zitto, haendani na nyinyi CDM si mumfukuze... maana kwa mambo ambayo mnamtuhumu nafikiri hana sifa za kua mwana CDM, na kama mnaendelea kumkumbatia basi nyie CDM ni wanafiki sana mnaomchafua kwa manufaa yenu binafsi hasa ya kiuongozi.

hii ni sawa na kukumbatia bomu ambalo linataka kulipuka alafu wewe hutaki kuliachia ilihali unataka kuishi, sasa sisi tutakuelewaje hapo?
 
Kanuni za chama zinasemaje kuhusu kuhudhuria vikao?
 
Anajiandaa kujiunga na rafiki yake Kafulila 2015 - Mbatia kaa mkao wa kula Leka Dutigite inatua NCCR -Mageuzi!! sijui kama utabakia salama.
 
Kikao chenyewe kimejaa "vifaranga na mama zao". Hakuna kipya hapo, sanasana mtu atapigwa tofali tu...

wala hiyo sio sababu, sababu ya kweli ni kuwa anahudhuria zaidi vikao vya lumumba na unajua tena guilty consciousness, yeye sana sana anatafuta sehemu ya kupigia kelele watu wamsikie waone yeye ndio mkweli au anatengwa ama anawindwa, mara amtegeshe mama yake kusudi kusingizia eti CDM wanataka kumdhuru, tena mwonyeni kama mnampenda, asipende sana kumuingiza bi mkubwa kwenye mambo ya siasa, watu sasa hivi wamepinda wanaweza hata kumbaka huyo bibi ili CDM ivurugwe vizuri lakini yeye atakuwa amepata hasara ya mama yake kubakwa. Kijana simtofautishi na mchawi, watu tulimwamini lakini uaminifu wote kwake umekwisha.
 
Kama amekuwa kero na vigezo vya kumwajibisha ikibid hata kumfukuza shime wafanye hivyo,yapo mengi ya kufanya na sio kilasiku zito kabwe zito kabwe,

Kama hauonekanik umuhimu wake na anaonekana ana case ya kujibu asomewe mashitaka yake halali,na vikao vya chama vimuwajibishe,kama kweli mnahis ni pandikiz la ccm yanin kuchelea kuendelea kuwa nae??imeshakuwa kero sasa...
 
Kama mnaona Zitto, haendani na nyinyi CDM si mumfukuze... maana kwa mambo ambayo mnamtuhumu nafikiri hana sifa za kua mwana CDM, na kama mnaendelea kumkumbatia basi nyie CDM ni wanafiki sana mnaomchafua kwa manufaa yenu binafsi hasa ya kiuongozi.

hii ni sawa na kukumbatia bomu ambalo linataka kulipuka alafu wewe hutaki kuliachia ilihali unataka kuishi, sasa sisi tutakuelewaje hapo?

Hata zito mwenyewe anaweza kujiondoa. Nilikuwa Kijiji fulani Ludewa, nikaona vijana wakizungumza kuwa zito anakiharibu chadema. ZITO ONDOKA BWANA
 
Wa Kaskazini wanapozidiwa ujanja na wa Kusini magharibi.

Kila hila, kila mbinu, yeye huyoooooooooo, one man army.

Kwi kwi kwi teh teh
Muendelezo Wa sera za kuwagawa watz!
Uko kazini mpinzani Wa Nyerere!
 
Acha Upotishaji.Ni kikao cha Kikatiba sio cha dharura.Hivi vinajulikana kwa mwaka mzima isipokua baadhi ya ajenda.Kwa mfano mwanzoni mwa mwaka ujao tayari inajulikana kuna vikao vya CC kisha baadae Baraza Kuu

Kikao hiki cha Kamati kilipangwa na wiki 3 kabla ya Kikao ilijulikana kuna kikao tarehe ngapi na wapi

Ajenda za Kamati kuu huanzia Serkretarieti ambako Katibu Mkuu na Manaibu wake ndio viongozi wakuu wa Sekretarieti.Siasa hizi za kiujanja ujanja tuachane nazo.Tuwe determined na tuache mawenge ya Kisiasa.Unapotosha watu

Nasikia ulifuata sumu mpya korea?
 
Zitto hatak kuhudhuria vikao kwa sababu anaogopa kuchanwa live.

Kwa hii picha kuna ukweli wa usaliti dhidi ya tuhuma zake za kukisaliti chama.

Tulisema kambi ya PM7 ivunjwe rasmi in his presence, sasa anajishaua shaua kama kawaida yake ya kutohudhuria vikao vya chama

Kelele za nini simumfukuze povu linawatoka
 
Kama amekuwa kero na vigezo vya kumwajibisha ikibid hata kumfukuza shime wafanye hivyo,yapo mengi ya kufanya na sio kilasiku zito kabwe zito kabwe,

Kama hauonekanik umuhimu wake na anaonekana ana case ya kujibu asomewe mashitaka yake halali,na vikao vya chama vimuwajibishe,kama kweli mnahis ni pandikiz la ccm yanin kuchelea kuendelea kuwa nae??imeshakuwa kero sasa...

Nakuunga mkono mkuu.

cc.Mungi
 
Zito sasa tukuelewe vp au ndo ushakuwa kansa ya chama? Maana sasa ndo unajidhihirisha wazi kwmba wewe ndiwe kikwazo kuelekea 2015

uko sudan anafanya mambo ya msingi kuhusu Nchi. nyie vifaranga endeleeni mtampa ripoti tu,
 
wala hiyo sio sababu, sababu ya kweli ni kuwa anahudhuria zaidi vikao vya lumumba na unajua tena guilty consciousness, yeye sana sana anatafuta sehemu ya kupigia kelele watu wamsikie waone yeye ndio mkweli au anatengwa ama anawindwa, mara amtegeshe mama yake kusudi kusingizia eti CDM wanataka kumdhuru, tena mwonyeni kama mnampenda, asipende sana kumuingiza bi mkubwa kwenye mambo ya siasa, watu sasa hivi wamepinda wanaweza hata kumbaka huyo bibi ili CDM ivurugwe vizuri lakini yeye atakuwa amepata hasara ya mama yake kubakwa. Kijana simtofautishi na mchawi, watu tulimwamini lakini uaminifu wote kwake umekwisha.

Punguza jazba Mkuu!
Hiyo ndiyo siasa ilivyo! Ni sawa na bahari kubwa na Kama ujuavyo sifa za bahari! Nyakati zingine huchafuka na pepo kuvuma kwa nguvu na mawimbi kupiga sana!
Ata kwa wenzetu waliotutangulia kule majuu mambo Kama haya yapo sana! Rejea kampeni na chaguzi zote mbili za Obama na mikasa waliopitia! Kikubwa hua ni uimara Wa mfumo Mzima Wa chama!
Iwapo mfumo Wa Cdm ungekua mbaya basi nadhani chama kingekua hoi bin taaban! Maana Ccm ni Jabari kubwa lenye nguvu zote!
Viva Cdm!
 
Hizo ni Kodi zetu wekeni Wazi kwa Wananchi,leo nimejua akili ya wajumbe CDM ni Fupi,kwahiyo CCM wakiweka kikao cha mapato na matumizi wamuite Deo Filukunjombe sababu ni makamu,baadhi ya wajumbe wanadai ooh yeye ni Naibu,mara ngapi kazi zake anapewa mnyika,ofisi anaachiwa mwingine,Zito sio Mtumwa wa Fikra,namshauri Zito akiudhulia kikao asiende na Laptop,yaani Mwigamba anavamiwa alafu Mbowe ananyamaza tu
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom