Hata kupambana na CHADEMA nayomni kazi kama nyie mnavyopqmbana na CCM. Nikuulize, hivi Dr Slaa huwa anafanya kazi gani nje ya kazi ya siasa?
Umeshasema Dr Slaa, ina maana tayari anaprofesional yake. Tofauti na wengine wanaopewa U-Dr kama njugu. Ukiuliza U-Dr wenyewe kaupata vp eti katunukiwa na University of Colorado. Lini alisoma huko Colorado haijulikani.