Zitto akera wajumbe kamati kuu CHADEMA - Tanzania Daima

Zitto akera wajumbe kamati kuu CHADEMA - Tanzania Daima

Status
Not open for further replies.
Inashangaza kuona kuwa kuna watu bado hawajatambua usaliti wa zito ndani ya chadema. Licha ya mambo yote yaliyoandikwa magazetini na kwenye mitandao juu ya usaliti wa zito lakini mwenendo na matendo yake tu vyatosha kumbaini kuwa amekwishanunuliwa. Na ndiyo maana ma-agent wa magamba humu jf wanampamba kila uchao kwa sababu wanajua ni kibaraka wao. Shame on you zito

Dr Slaa kama katibu mkuu keshasema hawana tatizo na zitto,sasa tatizo liko wapi kwenu nyinyi vifaranga??

Pia,kama uhakika ndiyo hivyo ushapatikana kuwa yeye ni msalit na kikwazo kama mnavyosema,kwanin msimchukulie hatua??
kwanin musimuwajibishe kwa vikao vya chama na ikibid hata kumfukuza kabisa??magazeti na Mitandao itawasaidia nin??
 
Safi sana zitto najua uko kwenye maandalizi ya kuachana na chama hicho cha mambululaaa.. Kuanzia mwenyekiti wao mbowe a.k.a div 5 mburula hadi wabunge wao Kama lema a.k.a wanabonyeza kizenji..achilia mbali wanachama wao na mashabiki ambao wengi wao ni wahuni tuu na walioshindwa maisha na kufikiria kwamba CCM ndio sababu ya matatizo Yao... Hopeless...!!
 
Kwa kweli pro-Chadema wote pamoja na viongozi wenu mmebakiza maneno matupu tu kwenye mitandao lakini kumfukuza Zitto au kumchukulia hatua yeyote mnashindwa...mnamuogopa sana Zitto.
Hivi ni CHADEMA inamuogopa Zito au Zito anaiogopa CHADEMA? Hebu fikiri kidogo - Ofisi yake mwenyewe imekuwa mama mkwe vikao vyy chama kila siku anasababu mikutano ya chama anataka ya peke yake. bado hamuoni nani anayemuogopa mwenzake kati ya CHADEMA na Zitto? mwacheni aendelee kuteswa na dhamira ya usaliti.
 
Zitto hajahudhuria kwa dharura wanatukana Dr Slaa analike posts hizo,

Mnyika pia hajahuhduria kwa dharura Dr Slaa kimya na vifaranga wanashangilia,,DOUBLE STANDARD AT ITS BEST LEVEL...!!

KUNA AJENDA GANI INAYOFICHWA FICHWA??

Kuna atizo, lkn tatizo ni nani wa kumfunga paka kengele. Inaonekana uongozi wa juu wa CDM una 'jambo' na Zitto, na Zitto anajua kuhusu hilo jambo na anawakwepa ili wakitoa maamuzi mazito alie hakupewa nafasi ya kujitetea ili umma umhurumie.
 
Dr Slaa kama katibu mkuu keshasema hawana tatizo na zitto,sasa tatizo liko wapi kwenu nyinyi vifaranga??

Pia,kama uhakika ndiyo hivyo ushapatikana kuwa yeye ni msalit na kikwazo kama mnavyosema,kwanin msimchukulie hatua??
kwanin musimuwajibishe kwa vikao vya chama na ikibid hata kumfukuza kabisa??magazeti na Mitandao itawasaidia nin??
wakimfukuza ule mkakati wetu wa kumfanya awe mwenyekiti si utakufa? mbona unaanza kuharibu dili tena mkuu? wacha waendelee kumlea mpaka Allah atakapotujaalia kumuweka mtu wetu pale juu.
 
Inashangaza kuona kuwa kuna watu bado hawajatambua usaliti wa zito ndani ya chadema. Licha ya mambo yote yaliyoandikwa magazetini na kwenye mitandao juu ya usaliti wa zito lakini mwenendo na matendo yake tu vyatosha kumbaini kuwa amekwishanunuliwa. Na ndiyo maana ma-agent wa magamba humu jf wanampamba kila uchao kwa sababu wanajua ni kibaraka wao Shame on you zito
Kama vile.
Ila Hilo Linasemwa tu bila kuthibitishwa
 
Hivi ni CHADEMA inamuogopa Zito au Zito anaiogopa CHADEMA? Hebu fikiri kidogo - Ofisi yake mwenyewe imekuwa mama mkwe vikao vyy chama kila siku anasababu mikutano ya chama anataka ya peke yake. bado hamuoni nani anayemuogopa mwenzake kati ya CHADEMA na Zitto? mwacheni aendelee kuteswa na dhamira ya usaliti.
Kamanda! Acha utani bana umeishajiuliza kwa nini Dr.Slaa anatoa Like kwa posts zinazomponda Zitto?
 
Kuna atizo, lkn tatizo ni nani wa kumfunga paka kengele. Inaonekana uongozi wa juu wa CDM una 'jambo' na Zitto, na Zitto anajua kuhusu hilo jambo na anawakwepa ili wakitoa maamuzi mazito alie hakupewa nafasi ya kujitetea ili umma umhurumie.

Kwa hiyo hiki ndicho CDM inakiogopa??? Au kuna kingine??
 
Kama hayuko si ndo muda mzuri wa kumjadili? maana angekuwepo mgeomba atoke nje ili wajumbe wamjadili...Fanyeni kama SIMBA bana wametegea Rage kasafiri wakafanya mapinduzi na kuwafukuza Mwenyekiti na Makocha...Tumia Fursa nyie acha woga ahahhahahahhaa 2015 si mbali ati
 
PERI; ripoti ya mapato na matumizi ni ya watanzani wote, sio zito wala kamati kuu. Haina ulazima wa kuhudhuria kikao ndio uipate. Ingetakiwa mpaka kwenye website ya chama iwepo ili watanzania waone kodi yao (ruzuku) inavyotumika.

kaka r ryt au hii cc ya cdm naona ipo bias sana kuna ktu zto kakiona kama mwgamba alpgwa tofali na lema mbele ya mbowe mnategemea cc ya namna gan kama chama kinaendeshwa kama genge la kihuni cdm nlkuwa nakikubali sana bt ktk sku za karbuni kmekuwa kikiongozwa na ajenda za kishabiki na kubebwa na kna ben saanane wa membe na kna yerko nyerere ambao pia wapo ccm ksirisiri wakiunga mikono mitandao
 
Zitto ni mkachaji sugu kama akibahatika kuwa mwenyekiti sijui vikao vitakuwa vinaongozwa na nani.

Muwe mnasoma habari kwanza kabla ya kukurupuka kujibu!
Zitto na Mnyika wakosekana

Zitto na Mkurugenzi wa Uenezi wa chama hicho, John Mnyika walikuwa miongoni mwa wajumbe walioshindwa kuhudhuria jana.

Zitto yuko na Kamati ya Kudumu ya Bunge ya Hesabu za Serikali (PAC) huko Sudan Kusini na Mnyika pia yuko katika ziara ya kibunge Uturuki.

Kikao cha jana kilihudhuriwa na wajumbe 23 kati ya 32.

Hofu yatanda Kamati Kuu Chadema - Kitaifa - mwananchi.co.tz
 
Sioni jipya hapa zaidi ya kelele zilezile za kumhusu zzk zenye kufanana vile vile kwenye post zote zinazomshambulia na watu wale wale wanaomshambulia na watu wale wale wanaomtetea! Nitarudi nikiona jipya
 
Zitto ni janga , ndani ya CDM na Taifa kwa ujula, huyu Bwana ni Ndumilakwili! I don't trust him at all! Halafu kama wanamlealea hivi, atimuliwe tu kama Madiwani wa Arusha..yeye ni nani ajioni keki hivyo kama mwanamke anayeringia Uchi wake!


Umeandika kama mtu ambae hajeanda shule!!

Soma hapo chini

Zitto na Mnyika wakosekana

Zitto na Mkurugenzi wa Uenezi wa chama hicho, John Mnyika walikuwa miongoni mwa wajumbe walioshindwa kuhudhuria jana.

Zitto yuko na Kamati ya Kudumu ya Bunge ya Hesabu za Serikali (PAC) huko Sudan Kusini na Mnyika pia yuko katika ziara ya kibunge Uturuki.

Kikao cha jana kilihudhuriwa na wajumbe 23 kati ya 32.

Hofu yatanda Kamati Kuu Chadema - Kitaifa - mwananchi.co.tz
 
Kweli nimeamini Zitto ndio chadema. Mnaoa weyewe pamoja na kuwa kamati yenu kuu imekaa na viongozi wenu mnaojaribu kuwanyanyua wapo lakini kwa kukosekana Jembe la ukweli a.k.a Zitto naona wote mnalia kilio kinachoonesha kuwa kama zitto hayupo waliobakia wote hamna imani nao kwa maendeleo ya cdm.

Zitto hongera sana kwa kuaminiwa na wanachama wote kuwa bila wewe kuwepo sehemu wanajihisi hakuna uwakilishi shihi wa chadema. Bravooooooooooooooooo
 
WAKATI Kamati Kuu ya Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) ikiendelea na kikao chake jijini Dar es Salaam, Naibu Katibu Mkuu, Zitto Kabwe, amekacha.

Zitto ambaye katika siku za hivi karibuni aliibua mjadala kwenye vyombo vya habari, hasa alipoingia kwenye malumbano na Mbunge wa Arusha Mjini, Godbless Lema, amekacha kikao hicho na badala yake ametoa taarifa ya kusafiri nje ya nchi.

Kwa mujibu wa habari hizo, taarifa iliyotolewa kwa wajumbe wa mkutano huo na Mwenyekiti wa CHADEMA taifa, Freeman Mbowe, ilisema kuwa Zitto yuko safarini nchini Sudan, lakini anatarajia kuhudhuria mkutano huo wakati wowote.

Habari kutoka ndani ya kikao hicho kinachofanyika kwenye Hoteli ya Blue Pearl, jijini Dar es Salaam zilieleza kuwa baadhi ya wajumbe wameonyesha dhahiri kukerwa na hatua ya naibu katibu mkuu huyo kutoshiriki.

Waliolalamikia hatua hiyo walisema kuwa limekuwa jambo la kawaida kwa Zitto kutohudhuria vikao muhimu vya chama huku akijua fika kwamba yeye ndiye msaidizi mkuu wa katibu mkuu wa chama taifa.

Mmoja wa wajumbe wa kikao hicho aliliambia gazeti hili kuwa moja ya ajenda zilizowasilishwa jana na Mkurugenzi wa Fedha na Uchumi ni kuhusu mapato na matumizi ya chama ambayo alidai ingefaa Zitto awepo kuisikiliza.

Mjumbe huyo ambaye aliomba jina lake lihifadhiwe, alisema ajenda hiyo ilikuwa muhimu kwa Zitto kuwepo kwani akiwa Mwenyekiti wa Kamati ya Hesabu za Serikali (PAC), amekuwa akidai kwamba CHADEMA na vyama vingine hawana hesabu za mapato na matumizi ya fedha za ruzuku wanazopata kila mwezi.

Mkutano huo unaendelea leo.

Kwa kweli imenisikitisha, imenikera, imeniudhi na kunikasirisha sana. Mhe Zitto sasa naanza taratibu kuamini yanayosemwa huku mitaani - You are not serious, hana heshima,amejaa dharau, majivuno na kila aina ya kujiona. Inasikitisha sana. Havumiliki. Hoja za kwamba Mhe Zitto anatafuta sifa binafsi zinazidi kupata nguvu. How dare unatoa sababu eti uko safarini Sudani unaacha Kikao cha Kamati Kuu hali ukijua Chama kinapitia wakati gani kwa sasa? Hivi ndo unataka kuja kutuambia kwamba hukushirikishwa katika maamuzi? Brother, this is too much - Nimejaribu sana kuwa Very NEUTRAL katika Saga ya Mhe. Zitto sasa hadi nashindwa.

Hivi hao maasimu wetu ulishaona Kikao cha Kamati Kuu kinafanyika bila kuwepo viongozi wote muhimu. Duh, Mtani wangu hapa sasa HAPANA. Kama kweli uko kwa ajili ya CHADEMA, niliamini in these two days ndizo zilikuwa za nyie kuonekana, kukaa na kupigwa Picha pamoja. Kumbe inawezekana kuna watu wanalalamika kuwa unatengwa kumbe wewe ndio unajitenga mkuu. NO Mhe Zitto. STOP IT.

Ninachoweza kukwambia Mhe Zitto ni kwamba, you are now RADICAL SIMPLY BECAUSE UKO CHADEMA, OUT OF CHADEMA YOU WILL REGRET, BETTER YOU COME BACK ON LINE - MBONA UNAWAPA WATU SABABU YA KUKUHUKUMU MTANI?
 
SLAA HAPENDWI NA WAKASKAZINI HASA WACHAGA ILA WANAJILAZIMISHA KWAKUWA WENGI WAO NI WAKATOLIKI SO NI BORA KUMUUNGA MKONO PADRI WAO MUASI, MBOWE ANAPENDA NA WAKASKAZINI KWAKUWA NI MCHAGA NA WANAPENDA KUMSIMAMISHA AGOMBEE URAISI 2015 ILI AKISHINDA WARUDISHE PESA ZAO ZILIZOTUMIKA KUKIUNGA MKONO CHAMA TATIZO NGUVU NA UWEZO HANA. ZITTO ANAPENDWA NA VIJANA WA VYAMA VYOTE NA HASA KWAKUWA ANAHOJA ZA KITAIFA ZAIDI KULIKO MASLAHI YA WACHACHE NA WATU WA KANDA YA ZIWA,MBEYA NA SEHEMU NYINGINE UKIACHA KASKAZINI WANASEMA HAWAKO TAYARI KUONA ANAONEWA NDANI YA CHAMA KWA KUWA NI MUISLAMU, SI MCHAGA, MKASKAZINI N.K.
Source jf' vita ya urais chadema: dr slaa, zitto na Mbowe hapatoshi.
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom