Zitto akera wajumbe kamati kuu CHADEMA - Tanzania Daima

Zitto akera wajumbe kamati kuu CHADEMA - Tanzania Daima

Status
Not open for further replies.
Ni kwa sababu ni mtu maarufu kuliko wote ndani ya CHADEMA ingawa hapewi nafasi ndani ya chama
Na mwenye nguvu pia ,maana kwa vita anavyopigwa ingekuwa mtu legelege angekuwa keshaharibu sana tu!
 
inataka ujasiri wa hali ya juu kuwa mwanachama wa sdiem kama wewe si mchanga
 
Jogoo kamwacha kuku na vifaranga wasumbuliwe na mwewe. Chadema bila Zitto haiwezekani na Zitto ndo Chadema na chadema ndo Zitto.
 
WAKATI Kamati Kuu ya Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) ikiendelea na kikao chake jijini Dar es Salaam, Naibu Katibu Mkuu, Zitto Kabwe, amekacha.

Zitto ambaye katika siku za hivi karibuni aliibua mjadala kwenye vyombo vya habari, hasa alipoingia kwenye malumbano na Mbunge wa Arusha Mjini, Godbless Lema, amekacha kikao hicho na badala yake ametoa taarifa ya kusafiri nje ya nchi.

Kwa mujibu wa habari hizo, taarifa iliyotolewa kwa wajumbe wa mkutano huo na Mwenyekiti wa CHADEMA taifa, Freeman Mbowe, ilisema kuwa Zitto yuko safarini nchini Sudan, lakini anatarajia kuhudhuria mkutano huo wakati wowote.

Habari kutoka ndani ya kikao hicho kinachofanyika kwenye Hoteli ya Blue Pearl, jijini Dar es Salaam zilieleza kuwa baadhi ya wajumbe wameonyesha dhahiri kukerwa na hatua ya naibu katibu mkuu huyo kutoshiriki.

Mmoja wa wajumbe wa kikao hicho aliliambia gazeti hili kuwa moja ya ajenda zilizowasilishwa jana na Mkurugenzi wa Fedha na Uchumi ni kuhusu mapato na matumizi ya chama ambayo alidai ingefaa Zitto awepo kuisikiliza.

Mjumbe huyo ambaye aliomba jina lake lihifadhiwe, alisema ajenda hiyo ilikuwa muhimu kwa Zitto kuwepo kwani akiwa Mwenyekiti wa Kamati ya Hesabu za Serikali (PAC), amekuwa akidai kwamba CHADEMA na vyama vingine hawana hesabu za mapato na matumizi ya fedha za ruzuku wanazopata kila mwezi.

Mkutano huo unaendelea leo.
Huyu huyu ZZK: mwaka 2010, ndiye aliyeshutumiwa kukihujumu chama kwa kufanya mawasiliano ya siri na watu wa USALAMA wa TAIFA pamoja na CCM, alishindwa; Huyu huyu ndiye kauli zake dhidi ya chama chake zimekuwa hazieleweki; wewe mkeo azini nje ya ndoa then ukamtangaze barabarani; Huyu huyu ZZK anatuhumiwa kupokea Pesa ili akihujumu chama. sasa ZZK ndugu yangu INATOSHA SASA. HEBU JIRUDI MBONA WEWE NI MWANASIASA MZURI/MSOMI/MWENYE AKILI???? KWA NINI UKUBALI KUTUMIKA NA MAGAMBA KAMA MTOTO MDOGO??? BADILIKA AISEE.

Waliolalamikia hatua hiyo walisema kuwa limekuwa jambo la kawaida kwa Zitto kutohudhuria vikao muhimu vya chama huku akijua fika kwamba yeye ndiye msaidizi mkuu wa katibu mkuu wa chama taifa.
 
Nashangaa watu wamemshupalia Zitto Kabwe utafikiria ni yeye pekee hajahudhuria kikao, povu linawatoka mbona hamsemi Mnyika hajahudhuria? Mfukuzeni basi pengine angekuwa CCM angepata uwaziri mmemzibia bahati yake tu, maneno meengii vitendo hakuna, ruzuku yote hiyo makao makuu bado mmepanga uchochoroni inamaana chama hakina Guarantee kitakufa siku yoyote, hizo mil 80 alizochukua m/kiti kutengeneza card mngekosa nyumba Kinondoni? Kama hujui kusoma hata picha huwezi kuielewa kweli? Chama cha upinzani milele daima kama hakijafa.

Body without head
 
Na mwenye nguvu pia ,maana kwa vita anavyopigwa ingekuwa mtu legelege angekuwa keshaharibu sana tu!

Ukiwa mzembe hutaisha kudanganya ukiwa muongo pia kumbuka kuwa na kumbukumbu sahihi marehemu anapigwe vita na nani angoje kuzikwa tu
 
Nashangaa watu wamemshupalia Zitto Kabwe utafikiria ni yeye pekee hajahudhuria kikao, povu linawatoka mbona hamsemi Mnyika hajahudhuria? Mfukuzeni basi pengine angekuwa CCM angepata uwaziri mmemzibia bahati yake tu, maneno meengii vitendo hakuna, ruzuku yote hiyo makao makuu bado mmepanga uchochoroni inamaana chama hakina Guarantee kitakufa siku yoyote, hizo mil 80 alizochukua m/kiti kutengeneza card mngekosa nyumba Kinondoni? Kama hujui kusoma hata picha huwezi kuielewa kweli? Chama cha upinzani milele daima kama hakijafa.

Body without head
Alishajifukuza anakimbia kivuli chake ha ha
 
inataka ujasiri wa hali ya juu kuwa mwanachama wa sdiem kama wewe si mchanga

Sijui mtaandika nini...kama hili likidhibitika " Zitto kujiunga na CCM kabla ya uchaguzi wa serikali za mitaa mwakani (2014)"
 
Zitto ni Wenu hakuna wa kuwasaidia kumtetea, Onesheni Ujasiri wa kumfukuza ili tuamini mnaweza kuchukua Maamuzi Magumu. Naona kuna jitihada nyingi sana za kumchafua Kabla Mbowe hajapitishwa kuwa Mgombea Pekee wa Uenyekiti kama Mtavofanya kwa Slaa 2015 na Bado mtatulazimisha tuamini nyie ni Chama Cha Demokrasia na Maendeleo
 
Hawamtaki zitto lakini wanaogopa nani aanze.wanategeana.siasa za kinafki.nani amfunge paka kengele.wanajua zitto ndio roho ya chama lakini pia ndio mwiba kwao.amekibeba chama.sawa na mbwa anayesubiri mtu anayemshuku akimbie ndio abweke.siasa za kijinga kabisa.jueni chama sio chenu ni cha watanzania.fuateni katiba.fanyeni uchaguzi.
 
Zitto kutokuwepo kwenye kikao sio kosa CDM kama chama cha siasa kinaweza kufa wakati wowote lakini Tz kama nchi itaendelea kuwepo ndio maana kaenda kwenye masuala ya taifa akawachia wengine waendelee na masuala ya kichama sioni tatizo hapa.
 
mfukuzeni basi mbona mnapenda kulalamika mno? Hii nchi bana kila mtu analalamika,wananchi wanalalamika,viongozi wanalalamika sasa sijui tumerogwa yaani hatujui hata tufanye nn
Huyu huyu ZZK: mwaka 2010, ndiye aliyeshutumiwa kukihujumu chama kwa kufanya mawasiliano ya siri na watu wa USALAMA wa TAIFA pamoja na CCM, alishindwa; Huyu huyu ndiye kauli zake dhidi ya chama chake zimekuwa hazieleweki; wewe mkeo azini nje ya ndoa then ukamtangaze barabarani; Huyu huyu ZZK anatuhumiwa kupokea Pesa ili akihujumu chama. sasa ZZK ndugu yangu INATOSHA SASA. HEBU JIRUDI MBONA WEWE NI MWANASIASA MZURI/MSOMI/MWENYE AKILI???? KWA NINI UKUBALI KUTUMIKA NA MAGAMBA KAMA MTOTO MDOGO??? BADILIKA AISEE.

Waliolalamikia hatua hiyo walisema kuwa limekuwa jambo la kawaida kwa Zitto kutohudhuria vikao muhimu vya chama huku akijua fika kwamba yeye ndiye msaidizi mkuu wa katibu mkuu wa chama taifa.
 
Zitto Zuberi Kabwe, inaonekana ana nguvu sana ni kijana mdogo lakini anaogopeka sana ndani ya chama chake wataishia kulalama mitandaoni tu wakati yeye anafanya siasa za kidunia.
[h=5]Zitto Kabwe[/h]23 hours ago via mobile

News: Transparency
Help us collect our taxes - African MPs
By Eva Donelli
20 November 2013

Children with gourd bowls in Thiekthou, Sudan. Calls for transparency in tax administration: Africa is losing tax revenues equivalent up to twice the amount it gets in aid. UN Photo/Eskinder Debebe / CC BY-NC-ND
Multinational corporations doing business in Africa are finding it all too easy to circumvent t...axation - and that loss of tax revenue just makes countries even more dependent on foreign aid.

Stemming from underdeveloped tax administration systems, tax avoidance is one of the biggest obstacles toward achieving transparency as a catalyst for development in the continent, Tanzanian MP Zitto Kabwe told Devex.

Africa is losing $50 billion every year from illicit financial flows, while at the same time receiving around $30 billion in foreign aid. That means Africa is losing out on tax revenues equivalent to almost twice the amount it gets in official development assistance from overseas, noted the deputy opposition leader and shadow finance minister.

Kabwe is one of 10 African experts on a fact-finding mission to look at tax and transparency issues in Europe. Organized by the European Network on Debt and Development, the initiative is taking the experts - among them several MPs - to discuss national taxation issues and challenges with representatives of EU member state governments, the United Nations, the Organization for Economic Co-operation and Development, EU institutions and civil society groups in Brussels, London, Oslo and Paris.

"We are here in the developed world to engage with various organizations, discuss and present our [side] of the story, in order to get their views on how some of these problems can be addressed," explained Malawian MP McJones Mandala Shaba.

Transparency

African countries see the issue of improved tax revenues as part of a long-term strategy to become less dependent on foreign aid. But multinational corporations need to be willing to change their ways and start paying taxes, the MPs asserted. For that to happen, they explained, help would be required from the governments of the countries in which these companies are based.

"If developed countries support us in our effort to ensure we don't lose our own revenues, we won't need foreign aid and we'll have a partnership of equal footing, rather than the donor-recipient relationship that has lasted more than 50 years," Kabwe noted. "We just need our taxes: companies must come, invest in Africa, get their profits, but pay their taxes in Africa. Once we have our own revenues, we'll be able to finance our development, we'll build our schools, facilities, infrastructures, pay our teachers well, and have a good health system."

But how can this goal be met? With more transparency, argue the MPs.

First of all, explained Mandala Shaba, donor governments should demand that multinational corporations report the profits they make in the country where "real economic activities take place," not only in the country where the headquarters is located.

Kabwe agreed with Tax Justice Network senior analyst Marcus Meinzer, who recently suggested to Devex that the main issues to tackle illicit financial flows concern transparency of ownership (concerning shell companies and trusts registered and created in the EU on behalf of residents of developing countries), better exchange of financial account-related tax information, and transparency of multinational corporations' annual accounts.

"I totally agree with his analysis. In a country like Tanzania, minerals exported over a period of 10 years were valued at $11.3 billion, but the taxes paid were around $440 million, less than 4 percent of the total. A similar situation [occurred] in Zambia … It clearly shows how transparency in the accounts is crucial for the extractives industry," said the lawmaker.

Information access

Kabwe argued that the first step to assess, monitor and prevent incoherence is to set up a system of automatic exchange of information.

"Various initiatives [have been undertaken] by the EU and the OECD to set a convection of mutual exchange of information. I call on developing countries, especially African countries, to sign up to this convention. Signing it is the first step to have access to information, automatically or by request."

He added that a global intergovernmental body is also needed to provide rules and guidelines, and a system implementing a single convention on tax avoidance.

"Having one single convention, ratified by all countries of the world, would be easier and even sanctions could [imposed] to countries that are not providing information."

Archaic legal framework

However, the tax administration in Africa lacks the capacity to come up with specific legislation that would ensure "getting as much as possible" from the investments of multinational companies, pointed out Mandala Shaba.

"One of the challenges we face … is that we have outdated, odd and archaic legal policy frameworks and legislation."

He gave the example of Malawi's mines and mineral act, enacted almost 40 years ago, but never reviewed since to be brought more in line with current social economic developments.

"Companies are taking advantages of this particular aspect. We should come up with an appropriate legal framework, which would guide the management of natural resources, in particular mines."

Corruption

On tax issues in Africa, there is almost always the same elephant in the room: corruption, in the form of powerful bureaucrats who appropriate revenues from natural resources and hide the money abroad in tax havens.

"We recognize that corruption in most African countries is like the way of life - corruption in the street with the traffic police, all the way to the top executives and politicians," said Kabwe.

A solution to address the problem, he argued, would be to bring the fight to offshore tax havens.

"Corrupt money needs a place to hide, so we have to create an environment where if you are corrupt you don't have any place to hide … so that corrupt politicians have less incentives to engage in stealing."

Kabwe mentioned that another solution is to establish accountability mechanisms - ways of holding everybody responsible through the actions they commit, while ensuring that the citizens are empowered to inform on acts of corruption.

Both solutions would be music to the taxman's ears.

Read more development aid news online, and subscribe to The Development Newswire to receive top international development headlines from the world's leading donors, news sources and opinion leaders - emailed to you FREE every business day.See More
 
Zitto kutokuwepo kwenye kikao sio kosa CDM kama chama cha siasa kinaweza kufa wakati wowote lakini Tz kama nchi itaendelea kuwepo ndio maana kaenda kwenye masuala ya taifa akawachia wengine waendelee na masuala ya kichama sioni tatizo hapa.
Wewe mkuu unaona mbali sana wengi huu hawawez kuona hilo
 
tuache woga tuchape kazi. chanzo cha woga juu ya zito ni madaraka ndani ya cha basi.
 
Kazi ya ukombozi ni ngumu sana kukamilika bila misukosuko.Hivyo basi kama itadhihirika kuwa zito ni msaliti, itakuwa bora afukuzwe
 
WAKATI Kamati Kuu ya Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) ikiendelea na kikao chake jijini Dar es Salaam, Naibu Katibu Mkuu, Zitto Kabwe, amekacha.

Zitto ambaye katika siku za hivi karibuni aliibua mjadala kwenye vyombo vya habari, hasa alipoingia kwenye malumbano na Mbunge wa Arusha Mjini, Godbless Lema, amekacha kikao hicho na badala yake ametoa taarifa ya kusafiri nje ya nchi.

Kwa mujibu wa habari hizo, taarifa iliyotolewa kwa wajumbe wa mkutano huo na Mwenyekiti wa CHADEMA taifa, Freeman Mbowe, ilisema kuwa Zitto yuko safarini nchini Sudan, lakini anatarajia kuhudhuria mkutano huo wakati wowote.

Habari kutoka ndani ya kikao hicho kinachofanyika kwenye Hoteli ya Blue Pearl, jijini Dar es Salaam zilieleza kuwa baadhi ya wajumbe wameonyesha dhahiri kukerwa na hatua ya naibu katibu mkuu huyo kutoshiriki.

Waliolalamikia hatua hiyo walisema kuwa limekuwa jambo la kawaida kwa Zitto kutohudhuria vikao muhimu vya chama huku akijua fika kwamba yeye ndiye msaidizi mkuu wa katibu mkuu wa chama taifa.

Mmoja wa wajumbe wa kikao hicho aliliambia gazeti hili kuwa moja ya ajenda zilizowasilishwa jana na Mkurugenzi wa Fedha na Uchumi ni kuhusu mapato na matumizi ya chama ambayo alidai ingefaa Zitto awepo kuisikiliza.

Mjumbe huyo ambaye aliomba jina lake lihifadhiwe, alisema ajenda hiyo ilikuwa muhimu kwa Zitto kuwepo kwani akiwa Mwenyekiti wa Kamati ya Hesabu za Serikali (PAC), amekuwa akidai kwamba CHADEMA na vyama vingine hawana hesabu za mapato na matumizi ya fedha za ruzuku wanazopata kila mwezi.

Mkutano huo unaendelea leo.
[h=5]Zitto Kabwe[/h]Yesterday

Wenyeviti wa PAC vijana. Ababu Namwamba wa Kenya, Vincent Mwale wa Zambia na Mwenyekiti wa Tanzania. Tunakubaliana mawazo kwamba Uwajibikaji ni suluhisho la ufisadi wa rasilimali za umma Afrika

Dr Slaa kama katibu mkuu keshasema hawana tatizo na zitto,sasa tatizo liko wapi kwenu nyinyi vifaranga??

Pia,kama uhakika ndiyo hivyo ushapatikana kuwa yeye ni msalit na kikwazo kama mnavyosema,kwanin msimchukulie hatua??
kwanin musimuwajibishe kwa vikao vya chama na ikibid hata kumfukuza kabisa??magazeti na Mitandao itawasaidia nin??
mkuu zito ni sawa na Mesi Barca au Cr7 Madrid so akifukuzwa cdm nayo inakufa
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom