Zitto akera wajumbe kamati kuu CHADEMA - Tanzania Daima

Status
Not open for further replies.
Zitto hajahudhuria kwa dharura wanatukana Dr Slaa analike posts hizo,

Mnyika pia hajahuhduria kwa dharura Dr Slaa kimya na vifaranga wanashangilia,,DOUBLE STANDARD AT ITS BEST LEVEL...!!

KUNA AJENDA GANI INAYOFICHWA FICHWA??
Hivi mbona Dr Slaa anamuogopa sana Zitto, Dr.Slaa kama angekuwa muungwana angemuomba radhi Zitto yaishe tu.
 
we mtetea huwa unawaza juu juu tu,tatizo hamfundishi to think big.nani asiyejua mahudhurio hafifu ya huyo shehe wako sio kwny vikao tu hata na wenzake kwny M4C.Ona JJM alivyo active,unadhani nani atahoji absence yake.nani asiyejua kama Zito ana madukuduku na anayasemea fb sio vikao ka hivi.Kama unamtetea kwa sababu ni Zuberi unajidanganya,yule mwanga kichizi.nimekupa like,unaweza sema umenifurahisha?
 
kama kumpuuza agent wenu ni kumuogopa basi Dr.Slaa aendelee.tumemshauri sisi amuogope.wewe unawashwa nini.washwa na midevu yako usiwashwe na cdm
 
Hivi mbona Dr Slaa anamuogopa sana Zitto, Dr.Slaa kama angekuwa muungwana angemuomba radhi Zitto yaishe tu.
Yupi anayemwogopa mwenzake, anayekimbia vikao na ofisi au yule aliye kikaoni hadi muda huu.
 
we mtetea huwa unawaza juu juu tu,tatizo hamfundishi to think big.nani asiyejua mahudhurio hafifu ya huyo shehe wako sio kwny vikao tu hata na wenzake kwny M4C.Ona JJM alivyo active,unadhani nani atahoji absence yake.nani asiyejua kama Zito ana madukuduku na anayasemea fb sio vikao ka hivi.Kama unamtetea kwa sababu ni Zuberi unajidanganya,yule mwanga kichizi.nimekupa like,unaweza sema umenifurahisha?

Sasa kama suala lake yeye kuwa mwanga na mimi kuniambia ni shekhe wangu linaingiaje??

AU NDIYO KUSEMA ILE ISLAMOPHOBIA IMEKUATHIRI SANA??

NA KAMA HAYO UNAYOYASEMA NI YANA UHALISIA KWANIN MSISHINIKIZE AKACHUKULIA HATUA NA IKIBID HATA KUFUKUZWA KWA VIKAO HALALI VYA CHAMA??
SIMAMIA HOJA ZAKO,VITA NA CHUKI ZAKO DHIDI YANGU,AU HUYO JAMAA KWA KUMUHUSIHSA NA UISLAM HUTOIWEZA
 
Vipi John Mnyika naye kakimbia tufahamishe kamanda.
Nimeshamjibu mwenzako soma hapa....
Kuongezea Zitto ameandika barua ya malalamiko makao makuu badala ya kuhudhuria ajibiwe na kikao yeye anakimbia kikao.
Kuhusu kutohudhuria kwa wajumbe wengine sambamba na Zitto,

Zitto amekuwa hahudhurii si vikao tu bali hata mikutano ya chama na huwa hafiki kabisa ofisini makao makuu vile vile amekuwa na mivutano na viongozi wake tofauti na Mnyika, kwa akili ya kawaida tu lazima mtu atahoji kutokuwepo kwa Zitto zaidi ya kutokuwepo kwa Mnyika.
 
Zitto kashikiwa akili na wanaomtuma, si mara ya kwanza kukwepa vikao vya chama nadhani anafanya hivi kwa maelekezo anayopata kutoka nje ya chama, yeye aendelee tu lakini mwisho wake kisiasa hautakuwa mzuri kabisaaaa.
 
Tatizo la watu wenye akili na upeo kama wako wakikosa hoja huwa wanakimbilia kwenye hoja za mitazamo ya kidikteta na kusema you're either with us, or against us kutaka kupenyeza na kulazimisha hoja zao hata kama hazina mashiko yoyote. Ulinikabidhi kadi ya uanachama wa CCM au chama chochote cha siasa cha Tanzania kamaa hujafanya hivyo, nani kakwambia mimi ni mwanachama wa vyama vya siasa.

Nimesema wapi kama Tanzania Daima ni gazeti la CHADEMA. Lazima ufahamu tofauti ya kusimama kwenye nguzo na kuwa nguzo yenyewe. Tanzania Daima kusimama kwenye nguzo ya kisiasa ya CHADEMA haina maana ni gazeti la CHADEMA.

Kama kweli Tanzania Daima ni objective kwa nini liseme Mh. Zitto amekacha wakati kati ya wajumbe 32, ni wajumbe 23 tu wamehudhuria. Hata Mkurugenzi wa Habari na Uenezi wa CHADEMA, John Mnyika naye hakuhudhuria kwenye kikao.

Kwa nini kukosekana kwa Mh. Zitto kwenye kikao cha kawaida kabisa ndiyo iwe hoja ya Tanzania Daima.

Gazeti la Mwananchi limeandika na kusema hivi,

Umejiuliza kwa nini Mwananchi wameandika ;Hofu yatanda??
Kuhusu Tanzania daima Kuandika Zitto kukacha ...mimi siwezi kuitetea Tanzania daima ....
Magazeti yote mawil yanaangalia business interest...yanaangalia yaandike vipi habari ndio yatauza copy nyingi.....
Ni akili fupi kudhania kinachoandikwa na Tanzania daima ndio kauli ya CHADEMA.....
Ndio maana umeambiwa Tanzania daima sio gazeti la CHADEMA.......
Alafu...Huku jukwaani tunafahamiana na mitazamo yetu ya kisiasa...sasa wewe unataka kutuletea unafki hapa kwamba sio mtu wa CCM...Hatutaki unafki...mimi naipenda CHADEMA kama taasisi na nitaitetea misingi ya taasisi.........
 
Sasa kama suala lake yeye kuwa mwanga na mimi kuniambia ni shekhe wangu linaingiaje??

AU NDIYO KUSEMA ILE ISLAMOPHOBIA IMEKUATHIRI SANA??

NA KAMA HAYO UNAYOYASEMA NI YANA UHALISIA KWANIN MSISHINIKIZE AKACHUKULIA HATUA NA IKIBID HATA KUFUKUZWA KWA VIKAO HALALI VYA CHAMA??
SIMAMIA HOJA ZAKO,VITA NA CHUKI ZAKO DHIDI YANGU,AU HUYO JAMAA KWA KUMUHUSIHSA NA UISLAM HUTOIWEZA

Tatizo la wewe mkuu huna hoja inayoweza kujadiliwa.....ni mtu namba moja unaeendekeza udini humu ndani...katika post zako nyingi unapenda kukimbilia kwenye udini...ninyi ni watu wa kupigwa vita kali hapa Tanzania....hatutaki watu wanaotugawa kama unavyojaribu wewe....umejaribu kukwamisha mipango ya serikali kule mtwara na umeshindwa...sasa tunaona picha yako halisi ya kutaka kulete mitaafaruku kwenye jamii yetu ya kitanzania kwa kueneza udini...And this time no space will be left for you guys to destruct us as a nation......
 
Nimeshamjibu mwenzako soma hapa....
Kuongezea Zitto ameandika barua ya malalamiko makao makuu badala ya kuhudhuria ajibiwe na kikao yeye anakimbia kikao.
Mbona sijaona hayo majibu umeulizwa kwa nini Mnyika naye amekimbia kikao hujibu unaleta porojo.
 
Sasa kama suala lake yeye kuwa mwanga na mimi kuniambia ni shekhe wangu linaingiaje??

AU NDIYO KUSEMA ILE ISLAMOPHOBIA IMEKUATHIRI SANA??

NA KAMA HAYO UNAYOYASEMA NI YANA UHALISIA KWANIN MSISHINIKIZE AKACHUKULIA HATUA NA IKIBID HATA KUFUKUZWA KWA VIKAO HALALI VYA CHAMA??
SIMAMIA HOJA ZAKO,VITA NA CHUKI ZAKO DHIDI YANGU,AU HUYO JAMAA KWA KUMUHUSIHSA NA UISLAM HUTOIWEZA

sichukii waislam,nachukia wadini kama wewe.unayemtetea mtu au kumpinga kwa misingi za dini.wajomba na mama wadogo zangu wote waislam.ni wapenzi wangu.huna sababu ya kumtetea ZZK isipokuwa uislam.kwa taarifa yako yule ni muislam fake
 
Yupi anayemwogopa mwenzake, anayekimbia vikao na ofisi au yule aliye kikaoni hadi muda huu.
Kama mnaona Zitto ni tatizo kwenu mfukuzeni siyo kila siku mnalia lia tu.
 
sichukii waislam,nachukia wadini kama wewe.unayemtetea mtu au kumpinga kwa misingi za dini.wajomba na mama wadogo zangu wote waislam.ni wapenzi wangu.huna sababu ya kumtetea ZZK isipokuwa uislam.kwa taarifa yako yule ni muislam fake
Wewe bora ungekaa kimya kuna mtu anawachukia Waislam kama wewe humu acha kujibaragua kauzu wewe. Sasa Sheikh kaingiaje?
 
Umejiuliza kwa nini Mwananchi wameandika ;Hofu yatanda??
Kuhusu Tanzania daima Kuandika Zitto kukacha ...mimi siwezi kuitetea Tanzania daima ....
Magazeti yote mawil yanaangalia business interest...yanaangalia yaandike vipi habari ndio yatauza copy nyingi.....
Ni akili fupi kudhania kinachoandikwa na Tanzania daima ndio kauli ya CHADEMA.....
Ndio maana umeambiwa Tanzania daima sio gazeti la CHADEMA.......
Alafu...Huku jukwaani tunafahamiana na mitazamo yetu ya kisiasa...sasa wewe unataka kutuletea unafki hapa kwamba sio mtu wa CCM...Hatutaki unafki...mimi naipenda CHADEMA kama taasisi na nitaitetea misingi ya taasisi.........

Achana na huyo Msukuma jilani Yangu kule Nkoma! Huyo Ndio Yule anaechangia Kuku na Mbuzi kwenye ugeni Au mikutano kule Ng'wamapalala!
Wewe unafikiri kutoka Ng'wamapalala mchezo?
 
Tatizo la wewe mkuu huna hoja inayoweza kujadiliwa.....ni mtu namba moja unaeendekeza udini humu ndani...katika post zako nyingi unapenda kukimbilia kwenye udini...ninyi ni watu wa kupigwa vita kali hapa Tanzania....hatutaki watu wanaotugawa kama unavyojaribu wewe....umejaribu kukwamisha mipango ya serikali kule mtwara na umeshindwa...sasa tunaona picha yako halisi ya kutaka kulete mitaafaruku kwenye jamii yetu ya kitanzania kwa kueneza udini...And this time no space will be left for you guys to destruct us as a nation......

Kukwamisha mipango ya serikali kivipi??

Ishu ya gesi ya mtwara ni pana sana,na haiko kisiasa,na haitokuwa ajenda ya kisiasa hata siku moja,haijaisha na bado inaendelea,kama unaona huu ukimya wa watu wa kusini ukahis game is over,we iulize serikali itakuambia ni kwa namna gani inaaathirika na passive resistance wanayokumbana nayo huku,kinana si alikuja huku juzi na msafara wake??waulize wameambulia nini huku,hoja ya gesi iko wazi kbs,ni kuitaka serikali kuwa na utaratibu unaoleweka wa uvunaji gesi kisheria na kwa maslahi ya taifa,hakuna anaetaka yaliyotekea huko buzwagi na kwingineneko kwenye rasilimali za taifa zivunwe na kuachwa mashimo huko wanacnhi wa kawaida na maeneo husika yakiachwa na umaskin wa kutupwa,iko wazi kbs

Na kuhusu udini,huwa mnamaanisha nin hasa??ni dhambi kwa mimi kuwa muislam au kujitambulisha na uislam wangu??ukitakaje sasa nijifiche niukane uislam kwa kukuogopa wewe au kwa kumuogopa nani??nitafutie post yangu yyte humu jamvin uliyoniana nahubir chuki dhidi ya wale wasiyo na iman sawa na mimi,unless otherwise niambie nin definition ya udini??ukiishiwaq hoja usilete viroja...
 
Mbona sijaona hayo majibu umeulizwa kwa nini Mnyika naye amekimbia kikao hujibu unaleta porojo.
Kama mnaona Zitto ni tatizo kwenu mfukuzeni siyo kila siku mnalia lia tu.

Nimesema hivi huyo Double Agent wenu ameshakuwa-fixed amebaki kuwa boya hana say yeyote kwenye chama mwisho hafukuzwi mtu ila inatumika psychological torture hadi akimbie mwenyewe, nafikiri utanielewa safari hii, good bye.
 
Umejiuliza kwa nini Mwananchi wameandika ;Hofu yatanda??
Kuhusu Tanzania daima Kuandika Zitto kukacha ...mimi siwezi kuitetea Tanzania daima ....
Magazeti yote mawil yanaangalia business interest...yanaangalia yaandike vipi habari ndio yatauza copy nyingi.....
Ni akili fupi kudhania kinachoandikwa na Tanzania daima ndio kauli ya CHADEMA.....
Ndio maana umeambiwa Tanzania daima sio gazeti la CHADEMA.......
Alafu...Huku jukwaani tunafahamiana na mitazamo yetu ya kisiasa...sasa wewe unataka kutuletea unafki hapa kwamba sio mtu wa CCM...Hatutaki unafki...mimi naipenda CHADEMA kama taasisi na nitaitetea misingi ya taasisi.........

Achana na huyo Msukuma jilani Yangu kule Nkoma! Huyo Ndio Yule anaechangia Kuku na Mbuzi kwenye ugeni Au mikutano kule Ng'wamapalala!
Wewe unafikiri kutoka Ng'wamapalala mchezo?
Bilashaka huyo ata meno yake yatakua na rangi!
 
Tatizo la wewe mkuu huna hoja inayoweza kujadiliwa.....ni mtu namba moja unaeendekeza udini humu ndani...katika post zako nyingi unapenda kukimbilia kwenye udini...ninyi ni watu wa kupigwa vita kali hapa Tanzania....hatutaki watu wanaotugawa kama unavyojaribu wewe....umejaribu kukwamisha mipango ya serikali kule mtwara na umeshindwa...sasa tunaona picha yako halisi ya kutaka kulete mitaafaruku kwenye jamii yetu ya kitanzania kwa kueneza udini...And this time no space will be left for you guys to destruct us as a nation......
Nyie watu wa ajabu sana tafri yenu mtu akiwa muislam ndiyo anakuwa mdini, labda nisaidie unaweza kunitajia mkirsto mdini? Au amna.
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom