Hahaha...Bro I don't think you know what you are talking about,...People are suffering on the streets,Tanzanian never experience something like this before and after independence,There is a lot of fears on the eyes of citizen,It is like living in the ghost country,you never know when it is your time to be adopted by "unknown people"...During the JK era, the country was rotten to the core. Corruption has killed us. And we needed to exorcise the ghost of corruption. Tukahitaji mtu ambaye anaweza fanya major reforms in our entire system, akaja Magu. Na tunatakiwa tufahamu kila mtu ana mapungufu yake mengi tu cha muhimu ni kuvumiliana. Bado tuna changamoto nyingi sana kama nchi.
Tukirudi kwenye demokrasia, what many people think of democracy ni tofauti. Others think democracy as periodic voting la hasha. Democracy ina mambo mengi ndani yake. Labda yeye for now anaona in order to make things move in a full throttle, with steadiness that he want, that there are needs to limit freedom of political associations in the country. So tumpe muda, ngoja his first term iishe tuone.
Zitto alishashindikana kitambo tuHuyu jamaa aangalie. Hawa watu wasiojulikana wanaweza wakam pyu pyu pyu akawa Akwilinalized.
Usiniite kunguru we shoga... Pambana na mabasha zako.Acha woga,sio kila mtu ni kunguru kama wewe,Mh Zitto ameshajitolea muhanga kuwakomboa watanzania,,,kwani unafikiri yeye hajui kama kuna watu wasiojulikana!!? wewe kama nani kuwambia watanzania Zitto aangalie!! msitishe watu, watu wamechokaaa,hali mbaya mitaani
amevamiwa mktanoni na polisi
Nakuelewa kiongozi... kuna kipindi baba ubaya alimfagilia sana huyu dogoHamna kitu. Kama ni hivyo, wangeshammaliza. Angalia anavyoruhusiwa kukagua shule na miradi mingine. Tizama anavyokosoa. Lakini hawi treated kama Tundu Lissu au John Heche au Sugu au Lema au Msigwa. Sidhani kama serikali ya sasa hivi itamruhusu Tundu Lissu kukagua miradi na kutembelea shule kama afanyavyo Zitto. Zitto alifanya hata mkutano wa kujadili makinikia etc. Bado kuna kila dalili kuwa anapata preferential treatment ukilinganisha na wanasiasa wengine wa upinzani. Ni kama vile anatumika ku-neutralize mambo kwa kutengeneza mazingira ya watawala kusema mbona Zitto anakosoa na hapati matatizo? Kwamba wanasiasa wengine wa upinzani wanapata shida kwa kuwa lugha yao mbaya. Lakini lengo kuu likiwa ni kudhoofisha upinzani na Zitto akiwa mshirika kwenye mradi huo.
Woga wako ndio umasikini wako,acha kukaa kwenye mitandao na kuanza kutisha watu.....,wacha wanaume wapambane na maisha,wewe kakae kwenye mkeka usubiri ubwabwa ule..Usiniite kunguru we shoga... Pambana na mabasha zako.
Tatizo lako umejaa chuki binafsi na Zitto. Ndo mana huwez kuona wala kuelewa alichokiandika.Akili ya zitto ni ya kujua mwenyewe,hasira zake ni kuona kitlya mkumbo na mama Ana Mghwira kula shavu yeye bado,na akili yake alifikiri atakua waziri mdogo wa madini,katoswa,ajiunge kwa wale aliowasaliti
Mwanafunzi mwenzangu rekebisha hapo basi.yeye mwenyewe anamchango mkubwa katika hayo matatizo.
kwanza atubu mbele ya waanania wote na kukiri kuwa aliwasaliti
Sijui Watanzania wangapi wanasoma Tweets.
Wakienda hawatamuona, watakuta ziwa Tanganyika au hifadhi ya Gombe.Huyu jamaa aangalie. Hawa watu wasiojulikana wanaweza wakam pyu pyu pyu akawa Akwilinalized.
During the JK era, the country was rotten to the core. Corruption has killed us. And we needed to exorcise the ghost of corruption. Tukahitaji mtu ambaye anaweza fanya major reforms in our entire system, akaja Magu. Na tunatakiwa tufahamu kila mtu ana mapungufu yake mengi tu cha muhimu ni kuvumiliana. Bado tuna changamoto nyingi sana kama nchi.
Tukirudi kwenye demokrasia, what many people think of democracy ni tofauti. Others think democracy as periodic voting la hasha. Democracy ina mambo mengi ndani yake. Labda yeye for now anaona in order to make things move in a full throttle, with steadiness that he want, that there are needs to limit freedom of political associations in the country. So tumpe muda, ngoja his first term iishe tuone.
Akila na familia yake na watu wake ni sawa tu!!! Hata Mobutu aliwaaminisha wakongo kuwa afadhali yeye awe tajiri katikati ya maskini wakongo badala ya wazungu!! Akajenga jumba lenye uwanjwa wa ndege zake nyumbani kwao!! Alikuwa kama huyu!! Niwaulize kodi tunakusanya sana nini sababu ya umaskini? Tusifikiri kwa masaburi mkoloni mweusi ni fisi mbaya kuliko fisi mnyama
Zito keshazoea siasa za undumila kuwili safari hii pagumu. Awamu za nyuma alizoea kuwageuka wapinzani wenzake kwa watawala . Acha atapetape kwani wapinzani wenzie wanamuona anayoyaoongea hayapo moyoni mwake na hawana imani nae 100%
Bila mauaji hakuna ccm kabisa , nimemsikia Humphrey Polepole akimjibu Mbowe nikashangaa sana ! Hakika hiki chama kimekufa , nikajiuliza hivi huyu anayeongea kama walau anajua kusoma na kuandika .Huyu jamaa aangalie. Hawa watu wasiojulikana wanaweza wakam pyu pyu pyu akawa Akwilinalized.
SIASA NI DYNAMIC NA SIO STATIC,UNAENDA KULINGANA NA MDUNDO WA NGOMA.Usaliti wake utazungumziwa baadae sio?[emoji16][emoji16][emoji16] wanasiasa wa bongo kwa unafiki tu hawajambo
Na ndio maana wenzenu walidata na mapigo yenu wakaamua kumleta magu,si mnaona anavyowahenyeshwa[emoji16][emoji16] sa' style ya kucheza na magu ndo mwaona kumchamba ndo solution hahah hahah hah eti dictator uchwara,jibu mnalo kumbe mmeshindwa kwenda na mdundo wake;jamani hao wakongwe pigeni nao battle taratibu msiwe na jazba[emoji16][emoji16][emoji16] mkiwachanganya na wenyewe wanajua pa kutokea,jazba zinawatoa mchezoni.SIASA NI DYNAMIC NA SIO STATIC,UNAENDA KULINGANA NA MDUNDO WA NGOMA.