The Valiant
JF-Expert Member
- Aug 16, 2017
- 2,826
- 3,947
Sasa yeye mtumishi wa kitengo wanahangaikaje naye...Huyu jamaa aangalie. Hawa watu wasiojulikana wanaweza wakam pyu pyu pyu akawa Akwilinalized.
Huyo anawaponza nyie
Sasa yeye mtumishi wa kitengo wanahangaikaje naye...Huyu jamaa aangalie. Hawa watu wasiojulikana wanaweza wakam pyu pyu pyu akawa Akwilinalized.
manyanyaso wanayofanyiwa yameisha? Unadhani kiwango cha matumizi mabaya ya fedha na madaraka yameisha kwa sasa? Na je uhuru wa taasisi zinazodhibiti matumizi ya fedha za umma kama ofisi ya CAG utendaji wao upo huru kama Enzi ya awamu iliyopita?Kila binadam anastahili kupewa nafasi ya kufanikisha ndoto zake. Huo pia ni msingi wa kidemokrasia kama hujui. Magufuli alikuwa na ndoto zake za kutaka kuiweka nchi sawa kulingana na matakwa yake.
Mwambie mtu makosa yake na kama harekebishiki basi tutapiga kura tena 2020. Sio mda mrefu sana kutoka sasa tuta mweka huyo unaye mwona ana rekebishika.
Na kama wewe ni mtaka demokrasia ya kweli basi kubali aendelee kumaliza kipindi chake kuhitimisha malengo yake. Na ikiwezekana kajaze wewe mwenyewe Form ugombee urais labda wewe ndiyo utaweza vizuri.
Watanzania acheni njozi zenu mnazo ziota mchana. Kutwa kucha lawama na kupiga kelele kuhusu katiba. Hakuna nchi ambayo inaendeshwa kikatiba duniani. Katiba inampa Rais misingi na mwongozo wa policy ya kutawla nchi lakini mengine yote ni Rais mwenyewe.
Mimi sijasikia katika nchi zilizo endelea wapinzani waki mtukana kiongozi wao na kumwita Dikteta uchwara! Hii maana yake ni nini? Au mpinzani kutamka "Bombardier ya Magufuli". Mpinzani ambaye pia ni mwana siasa anatakiwa atoa hoja za kisiasa za kumkosoa Kiongozi na sio kum-attack kiongo Personal!
Tatizo lako wewe hujui kwa nini wananchi wamemchagua Magufuli kuwa kiongozi wao. Watanzania walichoka na dhulma iliyokuwa inafanyika na watu walio aminiwa na umma kushika madaraka.
Waliteseka sana. Katika sekta zote za utumishi watumishi wa serikali walikuwa wanatumia wadhifa wao vibaya kuwanyanyasa wananchi wanyonge. Kila sekta na kila ofisi ya serikali ni rushwa tu na upigaji wa madeal. Leo heshima na nidham ya kazi imerudi kwa kiasi fulani wewe bado unalalamika. Kwanini hukulalamika wakati ule wananchi wananyanyasika?
Nafikiri wewe nidyo ungejiuliza mwenyewe unaishi nchi gani, kwani inaelekea umesahau yote yaliyokuwa yanatendeka nchini Tanzania.
Ndio mana nakupenda sana papito.Huyu jamaa aangalie. Hawa watu wasiojulikana wanaweza wakam pyu pyu pyu akawa Akwilinalized.
Matendo yake yanaonyesha ameshatubuyeye mwenyewe anamchango mkubwa katika hayo matatizo.
kwanza atubu mbele ya waanania wote na kukiri kuwa aliwasaliti
matendo gani yanayodhibitisha kuwa ametubu ?Matendo yake yanaonyesha ameshatubu
Thubutu!!! Labda ardhi na mbingu zikutaneBaada ya 10 years mtasema ulikuwa uongozi strong kuwahi kutokea Tanzania...mark my words
Dhulma imeisha? .Je Watumishi
manyanyaso wanayofanyiwa yameisha? Unadhani kiwango cha matumizi mabaya ya fedha na madaraka yameisha kwa sasa? Na je uhuru wa taasisi zinazodhibiti matumizi ya fedha za umma kama ofisi ya CAG utendaji wao upo huru kama Enzi ya awamu iliyopita?
yaani unatumia nguvu nyingi na kubwabwaja utafikiri huyo Zitto ndio amekuwa akiongoza hii nchi kwa miaka 50 na ushehi ama ndiye chanzo cha taifa kudumaa kimaendeleo...endelea kukumbatia ujinga wako.Usitupigie kelele za punda. Tafuta nchi nyingine ambayo utataka Zitto Kabwe awe kiongozi wako. Sio nchi ya watanzania.
Mtu mnafiki na mroho wa madaraka kama Zitto hawezi kuwa Rais hata mara moja.
Kwanza naomba jiulize kwenye hicho chama chake aliteuliwa na nani kushika madaraka ya chama aliyo nayo. Katiba na itokadi za chama chake kiko vipi?
Tatua hayo kwanza halafu njoo utuelezee smartness ya Zitto.
Hivyo mkuu naomba nikuulize kitu, wewe unavyo imba kuhusu maendeleo unafikiri maendeleo ni nini hasa?yaani unatumia nguvu nyingi na kubwabwaja utafikiri huyo Zitto ndio amekuwa akiongoza hii nchi kwa miaka 50 na ushehi ama ndiye chanzo cha taifa kudumaa kimaendeleo...endelea kukumbatia ujinga wako.
Dhulma imeisha? .Je Watumishi
manyanyaso wanayofanyiwa yameisha? Unadhani kiwango cha matumizi mabaya ya fedha na madaraka yameisha kwa sasa? Na je uhuru wa taasisi zinazodhibiti matumizi ya fedha za umma kama ofisi ya CAG utendaji wao upo huru kama Enzi ya awamu iliyopita?