KURA kikatiba si ni hadi 2020? Hiyo washawasha ya sasa unataka tukueleweje Zitto? Musiba is 100% correct!
ninachojua ukivunja amri moja basi umevunja zote hakuna dhambi kubwa wala dhambi ndogo
sikutuka kutofautisha labda wewe ulielewa vibaya. ilisemwa zito haweza kuaminiwa kwasbb aliwasaliti wenzake/aliwahujumu wenzke mdio nikashangaa wenzake walihujumiwa kivipi wakati na wao waliwahujumu watanzania kwa kukaribissha mtu ?Umejibu vyema,
Sasa kama ulikuwa unalifahamu hili kwanini ulitaka kuwatofautisha waliobadili gia angani na huyu waliyemwahidi cheo ?
Huyu jamaa aangalie. Hawa watu wasiojulikana wanaweza wakam pyu pyu pyu akawa Akwilinalized.
Hapana siku hizi wana kukokobeach. Hiyo akwilinalisation was just an accident with a Godly blessingHuyu jamaa aangalie. Hawa watu wasiojulikana wanaweza wakam pyu pyu pyu akawa Akwilinalized.
Tatizo letu kubwa ni kwamba Mbowe ni MALAIKA na wala hajawahi kukosea siku zote !Dr slaa na Zito wasingerudi nyuma pengine tungekuwa mbali zaid ya hapa
Mhhhh,huyu Muha anachuma kizito mkuu,,kalaghabhahoHuyu jamaa aangalie. Hawa watu wasiojulikana wanaweza wakam pyu pyu pyu akawa Akwilinalized.
Nina shida moja na ZZK sio ngangari akiminywa kidogo tu na nyongeza ya vipande vya shekeli anakuwa kama mkate kwenye chai...
mliwarudisha nyuma, mkawaita majina mabaya,na kuwasingizia uovuDr slaa na Zito wasingerudi nyuma pengine tungekuwa mbali zaid ya hapa
Akili ya zitto ni ya kujua mwenyewe,hasira zake ni kuona kitlya mkumbo na mama Ana Mghwira kula shavu yeye bado,na akili yake alifikiri atakua waziri mdogo wa madini,katoswa,ajiunge kwa wale aliowasaliti
Daah ukiwa na watu kama huyu unategemea niniAkili ya zitto ni ya kujua mwenyewe,hasira zake ni kuona kitlya mkumbo na mama Ana Mghwira kula shavu yeye bado,na akili yake alifikiri atakua waziri mdogo wa madini,katoswa,ajiunge kwa wale aliowasaliti