MALCOM LUMUMBA
JF-Expert Member
- Jul 26, 2012
- 21,451
- 69,320
uhujumu zaidi ya kukaribisha tulio waita mafisadi na kuwaweka kwenye list of shame?
Swali rahisi tu,
Dhambi Mbaya ni ipi kati ya hizi mbili ??
1. Kumuuza mwana wa Adamu kwa vipande 12 vya fedha na kumbusu ??
2. Kumkana mwana wa Adamu mara tatu kabla jogoo hajawika na kusema kwamba humjui mtu huyu ??
Kati ya hawa wa wawili ni nani aliyekuwa na uwezo wa kunyoosha kidole na kumhukumu mwenzake ???

