Zitto ajilipua, tusimtose

Zitto ajilipua, tusimtose

Na ndio maana wenzenu walidata na mapigo yenu wakaamua kumleta magu,si mnaona anavyowahenyeshwa sa' style ya kucheza na magu ndo mwaona kumchamba ndo solution hahah hahah hah eti dictator uchwara,jibu mnalo kumbe mmeshindwa kwenda na mdundo wake;jamani hao wakongwe pigeni nao battle taratibu msiwe na jazba mkiwachanganya na wenyewe wanajua pa kutokea,jazba zinawatoa mchezoni.
TAREHE 26 MWEZI WA NNE KUANZIA SAA TATU ASUBUHI.
 
Sipingi maoni yako moja kwa moja hata kama umechanganya kiingereza na kiswahili bila sababubya msingi, sio mbaya umeamua kutuonyesha na ww sio haba kwa upande wa shule.

Turudi kwenye hoja ya msingi, wakati wa JK ilionekana kuna ufisadi mwingi kwa sababu aliruhusu uwazi wa serikali yake na uhuru wa vyombo vya habari. Huyu anaonekana anafanya mabadiliko kwenye mifumo lakini naweza kukuambia sio kweli, kwanza mambo mengi kwenye hii awamu yanafanywa kwa kificho na hakuna uhuru wa vyombo vya habari. Sasa hivi habari zinazotangazwa ni zile sana zinazoongozwa ba serekali. Hata maovu yanayotangazwa ni yale yanayoibuliwa na viongozi wa serekali ili kuaminisha kwamba serekali inafanya kazi. Mfano fuatilia matatizo yanayotangazwa ni yale yanayoibuliwa na waziri na mawaziri; wakuu wa mikoa na madc. Kama mifumo imebadilika mbona watu wanapiga tu mpaka viongozi wakubwa wafike ndio itangazwe? Migogoro ya ardhi bado ipo, ila nilimsikia kwa masikio yangu akikiambia kituo kimoja cha habari kwamba chenyewe kinaona habari mbaya ndio habari na kutolea mfano, kutangaza migogoro ya ardhi. Uliona Makonda alivyoitisha wenye migogoro walivyokuwa wengi? Kuna uwezekano saa hii upigaji ni mkubwa zaidi, lakini kutangazwa ni ngumu. Hapa huwezi kusema mifumo ameibadili wakati alichofanya ni kuzuia kutangazwa huo udhaifu.

Ukiangalia taasisi zote sasa hivi zinafanya sio kwa ajili ya kuwatumikia wananchi bali kumtumikia rais. Unasema labda ameamua kufanya hivi na kuzuia baadhi ya mambo kwenye awamu hii ya kwanza, lakini mbona amefanya hivyo kwa manufaa yake na sio ya taifa huku akihujumu waziwazi wapinzani wake? Huyu hawezi kubadilika na hata akipata awamu ijayo sioni akibadilika kwani sioni akifanya vizuri kwenye uchumi, na hapa ndio hasa anapogoma ukosoaji.
Nami nakuunga kwa baadhi ya mambo pia ila baadhi nayo siungi,mimi sidhani kwa kuripoti matatizo tuu ndo twaweza pata suluhu,sina hakika kama kwa wenzetu wa magharibi habari zinazohusu matatizo yao ndizo zinazopewa kipaumbele,matatizo hasa ya kijamii kila nchi,bara yapo sana lakini je vyombo vyao vinayapa kipaumbele? Nadhani jibu laweza kuwa gumu kdg,tatizo letu hii ipo hata ktk familia,ukilala na njaa haiwi siri ya familia,unataka kila ambae unakutana nae umweleze yaliyokukuta kitu ambacho nadhani haipendezi,tukirud kwenye hoja ni kwamba bado ana mda wa kurekebisha kasoro zilizopo,wapinzani wakiwa huru nao si watu wa kuwategemea kwa kuwa wengi wao ni wanafiki na ni watu wanaojali maslahi yao,sidhan kama yupo mpinzani alie upande wa wananchi kwa 100%,wote ni wapigaji tu na blah blah nyingi!
 
Ikitokea wakaingia madarakani nao wataambiwa ukweli wao kama huu wanaoambiwa walioko madarakani. Hakuna aliye 100% mzuri, ila palipo na asilimia zinapopungua ndio hapo wanapopewa ukweli wao.
 
Akili ya zitto ni ya kujua mwenyewe,hasira zake ni kuona kitlya mkumbo na mama Ana Mghwira kula shavu yeye bado,na akili yake alifikiri atakua waziri mdogo wa madini,katoswa,ajiunge kwa wale aliowasaliti
Usidhani watu wote kuwa wana uroho wa madaraka kama ilio nao wewe.
 
Dr slaa na Zito wasingerudi nyuma pengine tungekuwa mbali zaid ya hapa
Acha kuwatukana watanzania mkuu. Dr Slaa hakuwa na karisma yeyote ile ya kuwa Rais. Zitto sio mtu mzuri. Zitto ni mbinafsi sana kama hamjui. Waulizeni wale watu walio soma nao chuo kikuu mtapata majibu ya kuwa yeye ni mtu wa aina gani.

Nime mshukuru mungu hawa watu hawakuweza kuwa viongozi wetu.

Magufuli yuko ok. Tatizo ambalo analo ni ukosefu wa kujiamini. Kila anacho kifanya anataka watu wampige makofi. Hicho hakitawezekana. Ndiyo anayafanya mazuri kwa watanzania lakini kwa baadhi wanakwazika. Na wale wanao kwazika kwa bahati mbaya ndiyo wapigaji kelele maarufu.

Kitu nacho mwoomba Rais Magufuli ni kuwa asiwaone wapinzani kama maadui zake. Inatakiwa atambue kuwa wao nao ni wataka madaraka kama yeye. Sasa akija na makusudio ya kuwafunga mdomo na kuwakandamiza matokeo yake ataharibu kila kitu.

Wapinzani na wapingaji wa mafanikio yake wapo na watakuwepo tu. Na inatakiwa atambue kuwa kila nchi iliyo endelea duniani inao watu wa namna hiyo.

Kitu kingine ambacho anatakiwa akielewe wapinzani na wapinga maendeleo na mafanikio yake wapo pia kwenye serikali yake. Baadhi ya watumishi wa serikali ndiyo wanao mpinga. Hao ndiyo watu mahususi katika kutoa siri kwa wapinzani. Na majibu yake yasiwe hathari kwa wananchi wasio husika.

Aache kuwafokea binadam wenzake hadharani kama watoto wadogo. Atambue kuwa hao anao wafokea na kuwa tumbua hadarani wana watoto wanao mtegemea, pengine hata wajukuu. Sasa sioni kama ni busara kwa vizazi vya huyo mtu anaye dhalilishwa hadharani kusikia au kumwona Role Model wao wa maisha anadhalilishwa mbele ya umati wa watu. Ni kitu cha ahibu na kusikitisha kwao. Kama yeye hapendezewi kukosolewa mitandaoni basi ajue kuwa nao hawapendi kukosolewa hadharani.

Tuko katika karne ya 21. Mambo hayako kama wakati ule wa zama za Mwalim. Atumie busara kuwatawala watanzania vizuri. Asitumie ubabe. Watanzania ni waelewa wazuri sana wa mambo japo kuwa ni wavivu na hatutaki kujituma lakini please sio mabavu.

Vyombo vya dola visitumike kama njia ya kuwakandamiza na kuleta terour kwa watanzania. Huo sio uongozi mzuri.

Vingene vyote Rais Magufuli BIG UP! Endelea na vita vya kupambana na Mafisadi na walarushwa. Linda rasilimali zetu na dumisha Amani yetu.

Rais Magufuli tembelea mikoa ya kusini pia; Mtwara, Ruvuma na Mbeya hata kama hawajakupa kura nyingi. Tanzania sio Mwanza na Chato tu.
 
huy

Huyu nae sijui yupo nchi gani? yaani unashindwa na hata kumsoma mtu tabia kujua anakubali kubadilika au la ?
 
Akili ya zitto ni ya kujua mwenyewe,hasira zake ni kuona kitlya mkumbo na mama Ana Mghwira kula shavu yeye bado,na akili yake alifikiri atakua waziri mdogo wa madini,katoswa,ajiunge kwa wale aliowasaliti
Acha uongo zito alikataa alisema ikitokea rais kumteua nafasi yoyote yeye hayupo tayari haswa pale raisi aliposema ataendelea kuteua kutoka kwenye chama kile kwa maana ndio wenye akili hazikupita Siku nyingi zito akasema yeye hataki kuteuliwa katika nafasi yoyote katika serekali hii haswa pale nyie wapiga ramli mliposema zito atachaguliwa waziri wa madini kauli hii ilienea sana ndipo yeye akajitokeza na kusema haitaji
 
huy

Huyu nae sijui yupo nchi gani? yaani unashindwa na hata kumsoma mtu tabia kujua anakubali kubadilika au la ?
Kila binadam anastahili kupewa nafasi ya kufanikisha ndoto zake. Huo pia ni msingi wa kidemokrasia kama hujui. Magufuli alikuwa na ndoto zake za kutaka kuiweka nchi sawa kulingana na matakwa yake.

Mwambie mtu makosa yake na kama harekebishiki basi tutapiga kura tena 2020. Sio mda mrefu sana kutoka sasa tuta mweka huyo unaye mwona ana rekebishika.

Na kama wewe ni mtaka demokrasia ya kweli basi kubali aendelee kumaliza kipindi chake kuhitimisha malengo yake. Na ikiwezekana kajaze wewe mwenyewe Form ugombee urais labda wewe ndiyo utaweza vizuri.

Watanzania acheni njozi zenu mnazo ziota mchana. Kutwa kucha lawama na kupiga kelele kuhusu katiba. Hakuna nchi ambayo inaendeshwa kikatiba duniani. Katiba inampa Rais misingi na mwongozo wa policy ya kutawla nchi lakini mengine yote ni Rais mwenyewe.

Mimi sijasikia katika nchi zilizo endelea wapinzani waki mtukana kiongozi wao na kumwita Dikteta uchwara! Hii maana yake ni nini? Au mpinzani kutamka "Bombardier ya Magufuli". Mpinzani ambaye pia ni mwana siasa anatakiwa atoa hoja za kisiasa za kumkosoa Kiongozi na sio kum-attack kiongo Personal!

Tatizo lako wewe hujui kwa nini wananchi wamemchagua Magufuli kuwa kiongozi wao. Watanzania walichoka na dhulma iliyokuwa inafanyika na watu walio aminiwa na umma kushika madaraka.
Waliteseka sana. Katika sekta zote za utumishi watumishi wa serikali walikuwa wanatumia wadhifa wao vibaya kuwanyanyasa wananchi wanyonge. Kila sekta na kila ofisi ya serikali ni rushwa tu na upigaji wa madeal. Leo heshima na nidham ya kazi imerudi kwa kiasi fulani wewe bado unalalamika. Kwanini hukulalamika wakati ule wananchi wananyanyasika?

Nafikiri wewe nidyo ungejiuliza mwenyewe unaishi nchi gani, kwani inaelekea umesahau yote yaliyokuwa yanatendeka nchini Tanzania.
 
wamtoe Sugu wamfunge huyu ndumila kuwili hana lake ambaki kama mbwa koko anabweka tu
 
Akili ya zitto ni ya kujua mwenyewe,hasira zake ni kuona kitlya mkumbo na mama Ana Mghwira kula shavu yeye bado,na akili yake alifikiri atakua waziri mdogo wa madini,katoswa,ajiunge kwa wale aliowasaliti
Unamchukulia poa sana kwa sababu upeo wako ni mdogo, ZITTO anajitambua sana, anajiamin niliwaeleza hiv ZZK ni smart sana
 
Usitupigie kelele za punda. Tafuta nchi nyingine ambayo utataka Zitto Kabwe awe kiongozi wako. Sio nchi ya watanzania.
Mtu mnafiki na mroho wa madaraka kama Zitto hawezi kuwa Rais hata mara moja.

Kwanza naomba jiulize kwenye hicho chama chake aliteuliwa na nani kushika madaraka ya chama aliyo nayo. Katiba na itokadi za chama chake kiko vipi?

Tatua hayo kwanza halafu njoo utuelezee smartness ya Zitto.
 
wamtoe Sugu wamfunge huyu ndumila kuwili hana lake ambaki kama mbwa koko anabweka tu
Kumbuka historia inajirudia. Wayahudi walifanya hivyo hivyo ya kumwomba Pontius Pilate amwache mwuuaji Barnabas huru badala yake wamsulubu Yesu da Nazareth msalabani. Matokeo yake tuna yaona mpaka leo kinacho watokea wayahudi!

Nasisi maombi yetu iko siku yatatufikia. Tuendelee tu kumsaliti Mungu kwa rehema kubwa aliyotupa.
 
Huyu kachezea bahati yake na unamtetea kwa nini
 
Just simple! Mimi sijasahau tunako toka na hali tuliyo kuwa nayo kabla ya Magufuli. Kama wewe ile hali hukuiona kama ni tishio la amani kwa watanzania basi sinabudi kukubaliana na wewe.

Kama wewe ni mtanzania wa kweli na umaipenda nchi yako kwa moyo wote basi nakuomba zingatia kuwa nchi ilikuwa imeoza mkuu. Nchi haikuwa na mwelekeo. Kila mmoja alikuwa anafanya anacho taka. Wageni wanaingia na kutoka wanavyotaka. Tena wao ndiyo wanatuambia sisi cha kufanya nchini mwetu kwenye mizimwi ya mababu zetu? Wewe acha tu?

Usimkufuru Mungu mkuu. Mungu anatupenda ndiyo maana katuletea jasiri huyu.
 
mkuu naona hujanisoma Zitto na wewe unaongelea Magu
Just simple! Mimi sijasahau tunako toka na hali tuliyo kuwa nayo kabla ya Magufuli. Kama wewe ile hali hukuiona kama ni tishio la amani kwa watanzania basi sinabudi kukubaliana na wewe.

Kama wewe ni mtanzania wa kweli na umaipenda nchi yako kwa moyo wote basi nakuomba zingatia kuwa nchi ilikuwa imeoza mkuu. Nchi haikuwa na mwelekeo. Kila mmoja alikuwa anafanya anacho taka. Wageni wanaingia na kutoka wanavyotaka. Tena wao ndiyo wanatuambia sisi cha kufanya nchini mwetu kwenye mizimwi ya mababu zetu? Wewe acha tu?

Usimkufuru Mungu mkuu. Mungu anatupenda ndiyo maana katuletea jasiri huyu.[/QUOTE
 
Akili ya zitto ni ya kujua mwenyewe,hasira zake ni kuona kitlya mkumbo na mama Ana Mghwira kula shavu yeye bado,na akili yake alifikiri atakua waziri mdogo wa madini,katoswa,ajiunge kwa wale aliowasaliti
Siyo kweli
 
Back
Top Bottom