MBITIYAZA
JF-Expert Member
- Jan 22, 2017
- 14,947
- 26,082
Huyu jamaa aangalie. Hawa watu wasiojulikana wanaweza wakam pyu pyu pyu akawa Akwilinaized.
jamani hakuna kitu nakichukia maishani mwangu km men MUOGA! MAN WE ONLY LIVE ONCE
Huyu jamaa aangalie. Hawa watu wasiojulikana wanaweza wakam pyu pyu pyu akawa Akwilinaized.
ccm oyeeeeee cuf lipumba oyeeeeeeAkili ya zitto ni ya kujua mwenyewe,hasira zake ni kuona kitlya mkumbo na mama Ana Mghwira kula shavu yeye bado,na akili yake alifikiri atakua waziri mdogo wa madini,katoswa,ajiunge kwa wale aliowasaliti
Shida ni kwamba Zitto is expendable,
Binafsi ziwezi kumwamini mtu ambaye alishawahi kutumika kuhujumu upinzani kisa tamaa zake binafsi.
Anzisha wewe fugufugu ili tukuunge mkono.
Tunasafari ndefu.
Tatizo wa kuwaamsha wako wapi?Nimewahi kusema uongozi huu ndio dhaifu kabisa kwa ushindani wa kisiasa. Na hili limedhihirika kwenye chaguzi mbalimbali za marudi zilizopita. Ni suala la muda tu wananchi waamke. Hapa Zitto kapiga mlemle
Huyu jamaa aangalie. Hawa watu wasiojulikana wanaweza wakam pyu pyu pyu akawa Akwilinaized.
Hawa maaskofu natamani kama wangekuwa hawana kaunafiki flani kalikojificha... maana Pogba akienda makanisani wanamwagia sifa kuwa yeye ni chaguo la maulana...Mkuu hayuko pekee yake sauti dhidi ya huyu dhalimu DU zinazidi kuvuma nchi nzima kila uchao.
WARAKA: Maaskofu Katoliki waonya uminywaji wa demokrasia na uhuru wa vyombo vya habari nchini
Hawa maaskofu natamani kama wangekuwa hawana kaunafiki flani kalikojificha... maana Pogba akienda makanisani wanamwagia sifa kuwa yeye ni chaguo la maulana...
HAMNA MDA YA KUBISHANA NA WAFU. HUYU NI LONG TIME GONE, KILA MTANZANIA ANAMJUA TABIA YAKE MWACHE ABWABWAJE ANAVYOTAKA, HUYU NI KWISHNEYHuyu jamaa aangalie. Hawa watu wasiojulikana wanaweza wakam pyu pyu pyu akawa Akwilinaized.
Anamaanisha nini anaposema mawaziri wasiokuwa serekalini?
Bashite atampyupyuHuyu jamaa aangalie. Hawa watu wasiojulikana wanaweza wakam pyu pyu pyu akawa Akwilinaized.
Hahaha a py py pyHuyu jamaa aangalie. Hawa watu wasiojulikana wanaweza wakam pyu pyu pyu akawa Akwilinaized.
Yuko vizuri huyo mtoto weweHuyu jamaa aangalie. Hawa watu wasiojulikana wanaweza wakam pyu pyu pyu akawa Akwilinaized.