Ameaga kwao huyu jamaa ... najua sanaYuko vizuri huyo mtoto wewe
Unapokuwa mwanaharakati kwa ajili ya manufaa ya wengi huwezi kuogopa chochote kile, hakuna watu walotafuta haki kwa kushika simu na kupost ila kuingia barabarani kwa vitendo.Huyu jamaa aangalie. Hawa watu wasiojulikana wanaweza wakam pyu pyu pyu akawa Akwilinaized.
true that...Unapokuwa mwanaharakati kwa ajili ya manufaa ya wengi huwezi kuogopa chochote kile, hakuna watu walotafuta haki kwa kushika simu na kupost ila kuingia barabarani kwa vitendo.
Ila mkuu na wewe si utashika bango pamoja na Lissu?true that...
Yuko njema, Kitu chochote chenye ncha Kali hakitoboi pale,Ameaga kwao huyu jamaa ... najua sana
Hahahaha...Yuko njema, Kitu chochote chenye ncha Kali hakitoboi pale,
na sisi ndio tunataka wafanye hvyo ..maana wakifnya hivyo watazidi kujichingea zaidi kwa wananchi wao na nchi za kimataifa zitapata kujua kuwa nikweli Tanzania haipo Salama
mtihani mkuu...Aisee kuna tatizo kubwa sana huko bongo
Madogo hawasikilizi wahenga siku hizi,wanataka kuishi peponi ila kufa hawataki.So sad for years now Kagame and Museveni are still surviving..!! Na kila udhalimu zitto aliotaja wanafanya..!
Ain't easy guys..!
Mzee wangu always tell me nikitaka kuridhika kwa kila nachotaka nisubiri nikifika mbinguni., so you may guys.!
DU ndio niniMkuu hayuko pekee yake sauti dhidi ya huyu dhalimu DU zinazidi kuvuma nchi nzima kila uchao.
WARAKA: Maaskofu Katoliki waonya uminywaji wa demokrasia na uhuru wa vyombo vya habari nchini
SawaNimewahi kusema uongozi huu ndio dhaifu kabisa kwa ushindani wa kisiasa. Na hili limedhihirika kwenye chaguzi mbalimbali za marudi zilizopita. Ni suala la muda tu wananchi waamke. Hapa Zitto kapiga mlemle
Sawa wee muungeNi kumuunga Mkono Zitto Kabwe.
Kuna tatizo kubwa na hakuna hata mtu anaweza kulisemea,hapa panahitajika mtu kama Mzee Mwinyi atumie busara alihutubie Taifa kuomba umoja nchi inagawanyika hii.Kuna baadhi ya watu wanadhania Tanzania haiwezi kugawanyika.Polisi pekee hawawezi kuzuia nchi kugawanyika Watanzania wenzangu tatizo ni nini mbona tumeanza kugombana sisi kwa sisi?Mungu ibariki TanzaniaAisee kuna tatizo kubwa sana huko bongo
uhujumu zaidi ya kukaribisha tulio waita mafisadi na kuwaweka kwenye list of shame?Shida ni kwamba Zitto is expendable,
Binafsi ziwezi kumwamini mtu ambaye alishawahi kutumika kuhujumu upinzani kisa tamaa zake binafsi.
Huyu jamaa aangalie. Hawa watu wasiojulikana wanaweza wakam pyu pyu pyu akawa Akwilinalized.