Zitto ajianika alivyotumika jana kumuombea msamaha Mbowe

Yaan hawa wapuuzi bora hata MBOWE atoke anaeleweka.

Maana Tangu Mbowe awe ndani haieleweki wanataka nin?
Mwenzao ananyea debe wao huku wanaleta porojo, Mbowe anatakiwa kua na famia yake muda huu, Chadema waache upuuzi wao Zitto amewazidi.
 
... mwenye haki anatakiwa kuwaomba wakosaji msamaha! Only in Tz! Halafu wale makomandoo walivyoteswa simply kulazimisha yasiyokuwepo! Bnadamu unafikiaje kiwango hiki cha unyama?
Kukichwa kutapambazuka
 
Mwenzao ananyea debe wao huku wanaleta porojo, Mbowe anatakiwa kua na famia yake muda huu, Chadema waache upuuzi wao Zitto amewazidi.
Amewazidi kuimba msamaha kwa kosa ambalo halojathibishwa?
 
Amewazidi kuimba msamaha kwa kosa ambalo halojathibishwa?
Sawa kosa halijasibitishwa, je nyie mnafanya nini ili mwenyekiti atoke jela. Mbowe anatakiwa awe uraiani na familia yake kwa njia yoyote ile.
 
Nolle prosecute inaweza tumika kumwachia mbowe. Lakini wananchi wa kawaida tutawashangaa viongozi wana vyojipendelea kusameheana.. ni vizuri kesi hii ifike mpaka mwisho kwa muhibu wa criminal procedures. Wapo wengi magerezani nao pia wasamehe
 
Acheni upuuzi wenu, mmetulia majumbani mwenu na familia zenu mwezenu anasota jela. Mnazani Mbowe atatoka kwa hashtag zenu! Chadema imeshapoteza mwelekeo, mpo disorganized sana katika hili, mwezenu anateseka nyie mnapiga porojo tu.
Yeye mwenyewe aliyepo gerezani hataki kutolewa kwa msamaha aliombewa na Zitto..

Msamaha wa Mchongo
 
Familia yake inamuhitaji kuliko nyinyi mnaopiga domo tuu hapa.
 
Wewe nawe umekuwa Zitto familia ya Mbowe imekutuma uisemee? mdomo huoo.
Hebu kakae wewe jela basi kama ni kuzuri, ni lazima mjue kuna wakati gani muwe hardcore na wakati gani wa ku compromise sio muda wote mpo frontline tuu, na hizi ndizo busara zitatupa amani kuwa kumbe siku hawa wakishika dola tutakuwa tunaongozwa na watu sahihi, sasa kwa hali hii muda wote ni vita tuu hapana kwakweli.
 
Mwenzao ananyea debe wao huku wanaleta porojo, Mbowe anatakiwa kua na famia yake muda huu, Chadema waache upuuzi wao Zitto amewazidi.
Yaani unataka GAIDI atoke ndani halafu atuvurugie Krismas yetu na mwaka mpya kwa kukata miti na kuziba barabara na kuchoma vituo vya mafuta??? Hizo huruma za kumwachia GAIDI hatari zimeanza lini?
 
Some one who is very great in thinking hapati shida kubaini kwanin Zito Zuberi Kabwe ilimpasa kuwa straight vile, firstly Zito anaongoza nchi kwa Tanzania visiwani umakini ktk kuchunga kauli na matamshi ni muhimu sana. Secondly, without any shadow of doubt, Freeman Aikal yuko detention na mkuu wa executive yupo mbele ambaye kwa siasa za Africa mostly mihimili mingine ikiwemo Judiciary inakuwa swallowed in it, kauli ya Zito ni mahali lake.
Thirdly, the past reign under the late, killed all political activities, some of the politicians left the county for political asylum. Kuponya majeraha ni jambo la lazima.
In capital letters! ZITO KABWE NI MKOMAVU KTK SIASA!
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom