Zitto aitesa CHADEMA

Zitto aitesa CHADEMA

Viroba made in Lumumba vinafanya kazi wala hatushangai.hadi uchaguzi ufike tutaona na kusikia mengi
 
Viongozi taifa wa CHADEMA wajiandaa kukihama kumfuata ZITTO KABWE ambaye yuko mbioni kutangazwa kuwa Mwenyekiti wa ACT taifa. Wasomi wa vyuo vikuu wameunga mkono hatua ya ZITTO kuamua kwenda ACT na kuahidi kumpa ushirikiano kwa maendeleo ya Taifa.
Viongozi wa CHADEMA na hasa Wabunge vijana ambao wataondoka CDM na kujiunga na ACT , kwa nyakati tofauti kwa masharti ya kutotajwa majina yao wamesema kinachosubiriwa ni kumalizika kwa Bunge maalum la Katiba na kusisitiza kuwa mpaka mwezi februari mwakani watakuwa wameshatimiza azma yao ya kumfuata kijana ZITTO KABWE ambaye wanaamini ni mzalendo wa kweli, mpenda maendeleo na mtu mwenye kupenda kuona demkorasia ya kweli ndani ya vyama vya siasa.

Utunzi mzuri wa Mwigamba
 
kwani bado anaendelea kulipwa kama mbunge wa chadema?
 
Mkuu hivi ni vichekesho! Kama yeye kidume sii angefuta kesi yake ili ile hukumu ya kufukuzwa itekelezeke! Huku anataka na kule anataka ndio nini sasa? Halafu fa.la mmoja anakuja kusema hapa eti anaitesa Chadema! Sii aondoke basi! Huo ubunge wake ni wa Chadema lakini hawezi hata kukanyaga ofisi za Chadema hivi haoni aibu? Ni sawa na mke aliyekwenda mahakamani kupinga talaka na ikazuiwa kutolewa lakini mume hampi chakula cha usiku maana keshamuacha.
Uchawi wake apeleke hukohuko Mwandiga.
.nasemaga kila siku..
the man ZZK is too clever,too smart and too genius when compared to chagaboys. hizi habari zimeandikwa kwa kina kabisa gazeti la leo la RAIA MWEMA. ni swala la kusubiri kabla jeneza la chadema halijapitishwa mitaani wakiomba fedha za rambirambi za msiba wa marehemu chadema
 
Kuondoka ZITO CDM ni pigo kubwa sana

Zito kufukuzwa CDM ni pigo kwa CHADEMA kivipi?? ,,kwa taarifa yako huyo mjinga mwenzenu atapoteza ramani ya maisha na ndio maana anahaha kukimbilia mahakamani,,

Fikiria kwa kutumia kichwa acha tabia ya kubadilisha matumizi ya viungo vya mwili makusudi,

Nikusaidie kidogo,, kati ya zito na CHADEMA nani anahaha mahakamani?? Ukijua hilo ndo ujue nani kapata pigo kati ya zito na CHADEMA!

Acha kutumika vibaya mkuu!
 
Haya yalishatuchosha maskioni,aishukuru mahakama kwa kumsetiri vinginevyo angekuwa ameshasahaulika.hao vigogo tulishaskia muda mrefu lakini hakuna jipya,nani akahangaike na tawi la ccm ambalo siku lumumba wakinuna wanagawana mbao?
 
Jamani mbona baadhi ya watu mnasoma au kusikia habari zisizo na mashiko nakuzikubali kirahisi. Katiba ya sasa inasema kwamba ukifukuzwa au kuhama chama na ubunge wako unaota mbawa hapo hapo. Mbona mnasahau kilichompata Mpendazoe mwaka 2010? Alipoachia ngazi kwenye CCM mwaka 2010 nini kilitokea? Hata kiinua mgongo hakupata baada ya kina Sitta kumtosa! Sasa katika hali hii ni mjinga gani ( akiwemo Zitto mwenyewe) anaweza kujiengua Chadema mwezi Febuary 2015 wakati Bunge litafunjwa Agosti 2015? Wakiodoka Chadema wana uhakika gani wa kurudi 2015? Wapiga kura wake nao wamehamia ACT?
 
Maana zito alikuwa zaidi ya chadema tunataka kuona tena zito akiwa zaidi ya ACT. Sio kuis
hia kujitegenya na kucheka.
 
Viongozi taifa wa CHADEMA wajiandaa kukihama kumfuata ZITTO KABWE ambaye yuko mbioni kutangazwa kuwa Mwenyekiti wa ACT taifa. Wasomi wa vyuo vikuu wameunga mkono hatua ya ZITTO kuamua kwenda ACT na kuahidi kumpa ushirikiano kwa maendeleo ya Taifa.
Viongozi wa CHADEMA na hasa Wabunge vijana ambao wataondoka CDM na kujiunga na ACT , kwa nyakati tofauti kwa masharti ya kutotajwa majina yao wamesema kinachosubiriwa ni kumalizika kwa Bunge maalum la Katiba na kusisitiza kuwa mpaka mwezi februari mwakani watakuwa wameshatimiza azma yao ya kumfuata kijana ZITTO KABWE ambaye wanaamini ni mzalendo wa kweli, mpenda maendeleo na mtu mwenye kupenda kuona demkorasia ya kweli ndani ya vyama vya siasa.

Na wa ccm watahama wangapi kumfuara Zito sema
 
Zitto ni jiwe kuu la pembeni lililowashinda waashi
 
Chama cha ukabila na ukanda actaha aka kigoma mwisho wa reli. Eti kabla uchaguzi huru na wademokrasia kama wanavyojinadi hawa wasaliti tayari washamtangaza mwenyekiti kuwa anatoka kigoma kwa wahaya. Wabinafsi na waroho wakubwa hawa. Mshindwe kwa Jina.la Yesu ktk ulaghai wenu wa nchi hii. Na hakika hamtasarvive.

Nani Kakwambia Kigoma kuna wahaya...SI unyamaze tu au utafiti kabla ya kusema uongo jukwaani
 
Bila mahakama tungekuwa tumemsahau kama tambwe hizza au kaburu
 
Zitto bado hana uwezo wa sifa ya kuitesa CHADEMA, tatizo vibaraka wa CCM na ACT mnajitahidi sana kumpamba huyu dogo lakini mwakani ndio mwisho wa kelele zenu hizi za chura.
 
Last edited by a moderator:
.nasemaga kila siku..
the man ZZK is too clever,too smart and too genius when compared to chagaboys. hizi habari zimeandikwa kwa kina kabisa gazeti la leo la RAIA MWEMA. ni swala la kusubiri kabla jeneza la chadema halijapitishwa mitaani wakiomba fedha za rambirambi za msiba wa marehemu chadema

Hivi ww mbona huwezi kushirkisha hata ubongo wako unapopost kitu hapa hilo gazeti nalo unaweza ukamini udaku wake?
 
Viongozi taifa wa CHADEMA wajiandaa kukihama kumfuata ZITTO KABWE ambaye yuko mbioni kutangazwa kuwa Mwenyekiti wa ACT taifa. Wasomi wa vyuo vikuu wameunga mkono hatua ya ZITTO kuamua kwenda ACT na kuahidi kumpa ushirikiano kwa maendeleo ya Taifa.
Viongozi wa CHADEMA na hasa Wabunge vijana ambao wataondoka CDM na kujiunga na ACT , kwa nyakati tofauti kwa masharti ya kutotajwa majina yao wamesema kinachosubiriwa ni kumalizika kwa Bunge maalum la Katiba na kusisitiza kuwa mpaka mwezi februari mwakani watakuwa wameshatimiza azma yao ya kumfuata kijana ZITTO KABWE ambaye wanaamini ni mzalendo wa kweli, mpenda maendeleo na mtu mwenye kupenda kuona demkorasia ya kweli ndani ya vyama vya siasa.

Sema Zito Anateswa na CHADEMA,
Hicho chama hakina wafuasi ni chama mfu tu!
Labda wewe ndio umehamia peke yako usitake kudanganya watu hapa.
 
Back
Top Bottom