Zitto aitesa CHADEMA

Zitto aitesa CHADEMA

Viongozi taifa wa CHADEMA wajiandaa kukihama kumfuata ZITTO KABWE ambaye yuko mbioni kutangazwa kuwa Mwenyekiti wa ACT taifa.
Wasomi wa vyuo vikuu wameunga mkono hatua ya ZITTO kuamua kwenda ACT na kuahidi kumpa ushirikiano kwa maendeleo ya Taifa.
Viongozi wa CHADEMA na hasa Wabunge vijana ambao wataondoka CDM na kujiunga na ACT.
Kwa nyakati tofauti kwa masharti ya kutotajwa majina yao wamesema kinachosubiriwa ni kumalizika kwa Bunge maalum la Katiba na kusisitiza kuwa mpaka mwezi februari mwakani watakuwa wameshatimiza azma yao ya kumfuata kijana ZITTO KABWE ambaye wanaamini ni mzalendo wa kweli, mpenda maendeleo na mtu mwenye kupenda kuona demkorasia ya kweli ndani ya vyama vya siasa.

Huyu zitto ni wa kujamataaa na kuchapaaa fimbo chengaaaaaa tupu.....
 
Ataitesaje chadema wakati yeye ni mbunge wa chama cha MAHAKAMA,kama angekuwa na ubavu si angejitoa mapema ili ajenge chama chao?
 
Back
Top Bottom