Zitto aitesa CHADEMA

Zitto aitesa CHADEMA

CHADEMA tunafanya uchaguzi wetu wa ndani, hatuna muda wa kuwajadili maccm na mamluki wao
 
wananchi wa kaskazini mwa tanzania

Mbona unapanick kaka!
Hapo ujue jamaa anacheza karata zake na huna cha kumfanya, in fact amewa-check mate!
Whats CHDEMAs next move?
NOTHING!

Kuondoka ZITO CDM ni pigo kubwa sana

.nasemaga kila siku..
the man ZZK is too clever,too smart and too genius when compared to chagaboys. hizi habari zimeandikwa kwa kina kabisa gazeti la leo la RAIA MWEMA. ni swala la kusubiri kabla jeneza la chadema halijapitishwa mitaani wakiomba fedha za rambirambi za msiba wa marehemu chadema

Zitto ni jiwe kuu la pembeni lililowashinda waashi
ACT ni nyumba ndogo ya CCM.. UDINI; UKANDA; na UKABILA NDIZO SERA ZAO!
 
Viongozi taifa wa CHADEMA wajiandaa kukihama kumfuata ZITTO KABWE ambaye yuko mbioni kutangazwa kuwa Mwenyekiti wa ACT taifa. Wasomi wa vyuo vikuu wameunga mkono hatua ya ZITTO kuamua kwenda ACT na kuahidi kumpa ushirikiano kwa maendeleo ya Taifa.
Viongozi wa CHADEMA na hasa Wabunge vijana ambao wataondoka CDM na kujiunga na ACT , kwa nyakati tofauti kwa masharti ya kutotajwa majina yao wamesema kinachosubiriwa ni kumalizika kwa Bunge maalum la Katiba na kusisitiza kuwa mpaka mwezi februari mwakani watakuwa wameshatimiza azma yao ya kumfuata kijana ZITTO KABWE ambaye wanaamini ni mzalendo wa kweli, mpenda maendeleo na mtu mwenye kupenda kuona demkorasia ya kweli ndani ya vyama vya siasa.

Wewe unajifanya mtoto wa madiba,labda kama ni mtoto wa ka
 
Hata wasipoondoka watafukuzwa tu...... So they know the end of their roads.
 
Chama cha ukabila na ukanda actaha aka kigoma mwisho wa reli. Eti kabla uchaguzi huru na wademokrasia kama wanavyojinadi hawa wasaliti tayari washamtangaza mwenyekiti kuwa anatoka kigoma kwa wahaya. Wabinafsi na waroho wakubwa hawa. Mshindwe kwa Jina.la Yesu ktk ulaghai wenu wa nchi hii. Na hakika hamtasarvive.

Acha kutumia miguu kufikiri, tulia ujadili unacho kijua. Lini wanakigoma wakawa wahaya?
 
Khaa!!! " Zitto ni mwanasiasa mahiri na mwenye akili nyingi" - Dr Mtei ( Mmoja wa waasisi wa chadema)
 
Viongozi taifa wa CHADEMA wajiandaa kukihama kumfuata ZITTO KABWE ambaye yuko mbioni kutangazwa kuwa Mwenyekiti wa ACT taifa. Wasomi wa vyuo vikuu wameunga mkono hatua ya ZITTO kuamua kwenda ACT na kuahidi kumpa ushirikiano kwa maendeleo ya Taifa.
Viongozi wa CHADEMA na hasa Wabunge vijana ambao wataondoka CDM na kujiunga na ACT , kwa nyakati tofauti kwa masharti ya kutotajwa majina yao wamesema kinachosubiriwa ni kumalizika kwa Bunge maalum la Katiba na kusisitiza kuwa mpaka mwezi februari mwakani watakuwa wameshatimiza azma yao ya kumfuata kijana ZITTO KABWE ambaye wanaamini ni mzalendo wa kweli, mpenda maendeleo na mtu mwenye kupenda kuona demkorasia ya kweli ndani ya vyama vya siasa.
kwa kuanzisha Chama kingine hakika itajidhirisha wazi zito alikuwa na anatumiwa na CCM. ndio maana haongelei ESCROW Account ingawa yeye ndio Mwenyekiti wa PAC?
 
anajitesa mwenyew..mpuuzi tu...anakunya anaambiwa zoa mavi anatunisha msuli wa mende...piga teke kule...pimbi mkubwa.
 
Kuna watu wanashabikia hata ujinga fanya uchunguzi ndio useme.swala la eskow mh zito alishazungumzia tena hata star tv
 
Mkuu hivi ni vichekesho! Kama yeye kidume sii angefuta kesi yake ili ile hukumu ya kufukuzwa itekelezeke! Huku anataka na kule anataka ndio nini sasa? Halafu fa.la mmoja anakuja kusema hapa eti anaitesa Chadema! Sii aondoke basi! Huo ubunge wake ni wa Chadema lakini hawezi hata kukanyaga ofisi za Chadema hivi haoni aibu? Ni sawa na mke aliyekwenda mahakamani kupinga talaka na ikazuiwa kutolewa lakini mume hampi chakula cha usiku maana keshamuacha.
Uchawi wake apeleke hukohuko Mwandiga.
yaani mkuu nilipoteza muda wangu mwingi sana kukashabikia haka kajamaa hasa wakati wa ile saga la Buzwagi, yaani nikakaona ni kama kana-mageuzi ka kweli - lah kumbe ni kachumia stomach tu.
 
Watz wengi wanapenda vitu hata kama vibovu hata akijua stil ataendelea.may be type of foods it cnt activate the brain.
 
Back
Top Bottom