Tungezee na hili..Chama cha wahuni
Ongeza yote, lakini mwisho wa siku utaisoma namba.Tungezee na hili..Chama cha wahuni
Nani wakuisoma namba? CCM inapeta tu! Nyie wapinzani mtabaki kulia lia tu!Ongeza yote, lakini mwisho wa siku utaisoma namba.
Nani wakuisoma namba? CCM inapeta tu! Nyie wapinzani mtabaki kulia lia tu!
hata rais wa Zambia na chama chake MMD aliwaza kama wewe.Yuko wapi leo?Nani wakuisoma namba? CCM inapeta tu! Nyie wapinzani mtabaki kulia lia tu!
Upinzani wa Zambia ni upinzani wa kweli..tofauti na huu wa TZ. Wapinzani wa TZ wengi hawaijui siasa bado, hawajui mbinu za kuteka minds za wananchi.hata rais wa Zambia na chama chake MMD aliwaza kama wewe.Yuko wapi leo?
Mbona amechelewa sana kwenda Igunga
Hata katika mpira wa miguu, si kila anaengia "sub" basi hajui kuliko wale walioanza mwanzo,
Ni program tu za kocha!!
Nguruwe kwenye shamba la mihogo!
My GAWD!!!! Igunga haijawahi kuona umati kama huo katika maisha yake yote! Muulize mtu yoyote pale mwenye umri mkubwa atakueleza hivyo. Kilichobaki kwa CCM ni kufanya kawaida yao ya ujambazi waliozoea na kunyang'anya kwa nguvu. Namna nyingine hakuna. Najua CCM watasema wote hao hawakujiandikisha.
Tatizo lenu mnataka kila kitu mtafuniwe,Hujajibu swali..
Mbona amechelewa sana kwenda Igunga
Alikuwa na majukumu mengine ya chama kumbuka kuna chaguzi zingine zina endelea.Mbona amechelewa sana kwenda Igunga