Zitto afunika Igunga

Hakuna lolote ni kelele tu.amefunika kombe tu kwa kutimiza wajibu.ccm itatoa kipigo kikali kwa vyama vyote.sijui mtakimbilia wapi maana mnachonga sana.kudadadadeki ccm mziki mzito.

Sawa sheikh wa BAKWATA
 
Huo ni uwongo, hapa Igunga ZITO hana ubavu wa kufunika wala CDM haina lolote zaidi ya kufanya fujo za kitoto ambapo wapiga kura titaipiga chini CDM

Unadhihirisha kwa vitendo pumba anazozizungumzia Zitto. Mmezoea kupotosha ukweli lakini kila siku CHADEMA wako makini kukabiliana na mbinu zenu, sasa hata video unataka tusiiamini, hahahaa, mnalo mwaka huu. Na hizo vurugu mnazozifanya kila siku na kusigizia ni chd hata wananchi wameshawabaini, ndio sababu mhe. Zitto anawaambia wananchi wachague chama makini kutetea wananchi na si kwenda kueneza chuki, udini, ukabila na umbea wa kike bungeni, tunataka watendaji na wawajibikaji, tumechoka na magamba kulala lala tu bungeni.
 
yani jamani hadi natamani kwenda Igunga. Wananchi wanaonyesha mwamko wa aina yake, maneno haya lazima yawaingie wananchi, tunahitaji kuongeza watendaji bungeni kuendeleza chachu ya maendeleo, na sio kwenda kulala lala bungeni wala sio kwenda kusema sijui vikosi vya ugaidi vimeingizwa nchini bila hata kutafakari kwa undani impact za wanayoyasema kuwa zinawarudi wao wenyewe, hao wazee wameshazeeka wapishe sasa vijana wafanye kazi. Igunga wasijesema kwamba Zitto hakuwaambia kwamba wakifanya makosa watabaki wao na shida zao, wao na umaskini wao. Zitto kafunika sanaaaa, you've to deal with the fact
 
Hakuna lolote ni kelele tu.amefunika kombe tu kwa kutimiza wajibu.ccm itatoa kipigo kikali kwa vyama vyote.sijui mtakimbilia wapi maana mnachonga sana.kudadadadeki ccm mziki mzito.

Sawa sheikh wa Bakwata na peni yako ya CCM. Yani povu linakutoka mdomoni kumbe umepewa peni 2?
 
huyu hapa!!! comical ally
291697_172465046163975_120770791333401_359147_1118526925_s.jpg

Hakuwa Chemical Ally, Bali ni Al Saafu. Ngoja Tuone nani atakuwa Mussa Ibrahim Wa Libya.
 
Huo ni uwongo, hapa Igunga ZITO hana ubavu wa kufunika wala CDM haina lolote zaidi ya kufanya fujo za kitoto ambapo wapiga kura titaipiga chini CDM

mafilifili hata Zambia MMD magamba yao yalisema hivihivi kama wasemavyo weye. we are counting the days.
 
Ngojeni, mwenyekiti wetu JK atakapoingia huko atawafunika wote maana tutasomba watu kwa malori hata kutoka Shinyanga. He he he!
 
As i know Zitto, huu ni mtaji kwake binafsi katika harakati zake za kuwania U-enyekiti wa CDM Taifa.Kama tulivyompongeza hapa nadhani ni wakati muafaka tumuunge mkono yeye kumrithi Mbowe.

Siasa yoyote ni mvuto kwa watu,hivyo kwa hili ni mtaji kwa Hon. Zitto kama alivyozoea kutamka kuwa '' my motive in the politics is just to gain people's popularity''.Through BBC dialogue with Kondoa MP Hon. Juma Nkamia against MP's Sitting Allowances Saga.
 
CDM imeshazoeleka kwa mbwembwe.
Cha msingi ni siku ya kupiga kura..je nani ataibuka mshindi?
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom