Zitto afunika Igunga

Hakuna lolote ni kelele tu.amefunika kombe tu kwa kutimiza wajibu.ccm itatoa kipigo kikali kwa vyama vyote.sijui mtakimbilia wapi maana mnachonga sana.kudadadadeki ccm mziki mzito.[/QUOTE Igunga kazi ipo jamani hayo mengine yanabaki kuwa ni ushabiki tu
 
Huo ni uwongo, hapa Igunga ZITO hana ubavu wa kufunika wala CDM haina lolote zaidi ya kufanya fujo za kitoto ambapo wapiga kura titaipiga chini CDM
Mafilili
Wakati madiwani wa CHADEMA Arusha walipofukuzwa ulijitapa kwamba ingekula kwa chadema kuliko kwa madiwani wenyewe,siku chadema wakishinda Igunga usikimbie forum
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom