Tindo
JF-Expert Member
- Sep 28, 2011
- 59,312
- 103,892
Kama anayepiga kura ni TISS Basi itakuwa hivyo, lakini Kama wapiga kura ni watz wenyewe hata mje na ripoti zote za kibeberu na kifisadi, Magu bado atashinda kwa ushindi wa juu Sana ambao haijawahi tokes nchini...just wait n see na mkongomani wenu!
Hana sifa ya kushindana kwa njia ya box la kura. Fuatilia historia yake, na tazama chaguzi zote toka aingie awamu hii, zote ni mapichapicha.